My dream cabinet 2015 - 2020

My dream cabinet 2015 - 2020

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,201
Reaction score
23,030
kutakuwa na mawaziri kamili 15 (badala ya 30 wa sasa) na deputies 18 (badala ya 23 wa sasa).

uteuzi huu umezingatia kazi zaidi - so vigezo kama gender, dini, jiografia, etc havijapewa nafasi badala yake nawaachia wengine wanaooamini kuwa vina manufaa yoyote.

Rais: Dr Slaa / Prof Lipumba

PM: Dr Slaa / Prof Lipumba

AG: Tundu Lissu

Mawaziri:

1. Fedha & uchumi: Freeman Mbowe (2 deputies mmojawapo atoke Z'bar aka CUF)

2. Ulinzi: James Mbatia (deputy atoke Zanzibar aka CUF)

3. Kilimo, mifugo na uvuvi: Deo Filikunjombe (deputy Silinde)

4. Mawasiliano & Uchukuzi: David Kafulila (2 deputies)

5. Miundombinu: Machali / Mkosamali (mmoja waziri mwingine naibu wake)

6. Katiba & sheria: Prof Safari

7. Elimu (levels zote ikiwemo VETA): Wenje (2 deputies wa UKAWA)

8. Nishati, Maji & Madini: John Mnyika (2 deputies)

9. Mambo ya nje (pamoja na EAC): John Mrema (deputy atoke Z'bar aka CUF)

10. Habari, Vijana, Utamaduni & Michezo: Jenerali Ulimwengu (deputy Julius Mtatiro)

11. Ardhi & makazi: Halima Mdee (deputy Mr Sugu)

12. Mambo ya ndani: Mabere Marando (deputy Godbless Lema)

13. Tourism, Industry & Trade: TBA (2 deputies)

14. Afya & Ustawi: TBA

15. Kazi na ajira (idara ya civil service humu nayo): TBA (1 deputy)
 
Line-up nzuri ndugu hasa hapo kwa AG umempatia vizuri Lissu.Ila Deo Filikunjombe kaingiaje hapo? Anyway, natamani sana Richard Mabala ateuliwe mbunge ili aongoze wizara ya elimu akisaidiwa na Wenje.
 
..! Filikunjombe Na Ulimwengu Hawako Ukawa. Ni Maccm Yote. Wizara Ya Fedha Sidhan Kama Utakua Umeitendea Haki
 
Line-up nzuri ndugu hasa hapo kwa AG umempatia vizuri Lissu.Ila Deo Filikunjombe kaingiaje hapo? Anyway, natamani sana Richard Mabala ateuliwe mbunge ili aongoze wizara ya elimu akisaidiwa na Wenje.

mkuu, Deo yupo vizuri sana japo amezungukwa na magamba. nimemfikiria hata Esther Bulaya - naye ni jembe!
 
Mkuu ningetamani sana Elim aishike Mbatia na Wenje aende aliko Mbatia. Mengine yoote sawa ila Bulaya msimwache nje. Ni Jembe lile siyo wa miavuli wakati hakuna mvua.
 
Inapendeza sana. Ila umemsahau makamu wa RAIS (huyu lazima awe Mzanzibari)
 
kutakuwa na mawaziri kamili 15 (badala ya 30 wa sasa) na deputies 18 (badala ya 23 wa sasa).

uteuzi huu umezingatia kazi zaidi - so vigezo kama gender, dini, jiografia, etc havijapewa nafasi badala yake nawaachia wengine wanaooamini kuwa vina manufaa yoyote.

Rais: Dr Slaa / Prof Lipumba

PM: Dr Slaa / Prof Lipumba

AG: Tundu Lissu

Mawaziri:

1. Fedha & uchumi: Freeman Mbowe (2 deputies mmojawapo atoke Z’bar aka CUF)

2. Ulinzi: James Mbatia (deputy atoke Zanzibar aka CUF)

3. Kilimo, mifugo na uvuvi: Deo Filikunjombe (deputy Silinde)

4. Mawasiliano & Uchukuzi: David Kafulila (2 deputies)

5. Miundombinu: Machali / Mkosamali (mmoja waziri mwingine naibu wake)

6. Katiba & sheria: Prof Safari

7. Elimu (levels zote ikiwemo VETA): Wenje (2 deputies wa UKAWA)

8. Nishati, Maji & Madini: John Mnyika (2 deputies)

9. Mambo ya nje (pamoja na EAC): John Mrema (deputy atoke Z’bar aka CUF)

10. Habari, Vijana, Utamaduni & Michezo: Jenerali Ulimwengu (deputy Julius Mtatiro)

11. Ardhi & makazi: Halima Mdee (deputy Mr Sugu)

12. Mambo ya ndani: Mabere Marando (deputy Godbless Lema)

13. Tourism, Industry & Trade: TBA (2 deputies)

14. Afya & Ustawi: TBA

15. Kazi na ajira (idara ya civil service humu nayo): TBA (1 deputy)

Mkuu endelea kuota lakini UKAWA kuchukua nchi hapo october ni ngumu sana na tena haiwezekani maana hawana mipango yoyote ya kumuondoa mkoloni ccm huwezi ungana na wanafiki ukashinda.
 
mkuu lisu hatagombea ubunge? mwanasheria mkuu wa serikali anapaswa kuwa mtumishi wa umma. any way tusubiri tuone..
 
James mbatia angefiti kwenye elimu ama fedha. Ulinzi ungemweka lema ama sugu
 
kutakuwa na mawaziri kamili 15 (badala ya 30 wa sasa) na deputies 18 (badala ya 23 wa sasa).

uteuzi huu umezingatia kazi zaidi - so vigezo kama gender, dini, jiografia, etc havijapewa nafasi badala yake nawaachia wengine wanaooamini kuwa vina manufaa yoyote.

Rais: Dr Slaa / Prof Lipumba

PM: Dr Slaa / Prof Lipumba

AG: Tundu Lissu

Mawaziri:

1. Fedha & uchumi: Freeman Mbowe (2 deputies mmojawapo atoke Z'bar aka CUF)

2. Ulinzi: James Mbatia (deputy atoke Zanzibar aka CUF)

3. Kilimo, mifugo na uvuvi: Deo Filikunjombe (deputy Silinde)

4. Mawasiliano & Uchukuzi: David Kafulila (2 deputies)

5. Miundombinu: Machali / Mkosamali (mmoja waziri mwingine naibu wake)

6. Katiba & sheria: Prof Safari

7. Elimu (levels zote ikiwemo VETA): Wenje (2 deputies wa UKAWA)

8. Nishati, Maji & Madini: John Mnyika (2 deputies)

9. Mambo ya nje (pamoja na EAC): John Mrema (deputy atoke Z'bar aka CUF)

10. Habari, Vijana, Utamaduni & Michezo: Jenerali Ulimwengu (deputy Julius Mtatiro)

11. Ardhi & makazi: Halima Mdee (deputy Mr Sugu)

12. Mambo ya ndani: Mabere Marando (deputy Godbless Lema)

13. Tourism, Industry & Trade: TBA (2 deputies)

14. Afya & Ustawi: TBA

15. Kazi na ajira (idara ya civil service humu nayo): TBA (1 deputy)

Sio Cabinet mbaya..., ila sijamwona 'goliath' wa 'Elephant Desntist' - Kinana, yaani Mh Mch Peter Msigwa! ile namba nyingine!...Pia tusiwasahau NCCR wenzetu, nahisi ukiacha Mbatia & Kafulila, wapo pia vichwa wengine wanafaa kuingizwa hapo palipo na 'TBA's'...
 
NCCR wamo 4 mkuu (Mbatia, Machali, Mkosamali & Kafulila)
 
Sio vibaya kuota.
Naamini hata Yanga yaamini itachukua Klabu Bingwa ya Afrika na Club WorldCup
 
Back
Top Bottom