beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
mmmm......!!!!
Mmmmm wat? Au wataka uwe wewe docmmmm......!!!!
Mmmmm wat? Au wataka uwe wewe doc
jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana
Maumivu ya kichwa huanza pole pole!!!
mi nakuogopa kiukweli!
Anza wewe halaf mi ntafuataVipi nikuletee na pemba na maembe mabichi?
Judgement ndo daktariii dats why bt akishindwa atatafutwa mwingneTafuta magnezium umeze au kuna dawa nyingine ya tumbo inaitwa judgement maanake siku hizi!!!
beibe nasty pole sana shemeji yangu kipenzi....jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana
LolJudgement ndo daktariii dats why bt akishindwa atatafutwa mwingne
Naona Erick unajipigia pande mdo mdo..Lol
Asipopatikana unambie tujue la kufanya hata kama ni kureport police ila si kwa kumtafuta mwingine na kwa wakati hajapatikana ntakusaidia kupunguza maumivu sawa eeeeh
jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana
beibe nasty pole sana shemeji yangu kipenzi....
Nakuombea upone haraka....
Ngoja nimtafute huyu Judgement