"My dear bottle"

Kumbe mwanao wa kiume... Mi nnaye wa kike...:clap2::clap2::clap2:

Eheeeeeee,tuwakutanishe basi jamani.......wajuane kama wazazi wao.......lol :clap2:

Mimi natafuta baba sasa,nipate wa pili wa kike.....wewe unaye wa kiume??
 
tom jina zur teh teh !...asikwambie mtu mbona haukumwta mwanao CHNGWAMBE,KANDIMBA..
ahh bwana tom jina zuri
na katika madogo zangu wote nampenda uyu tom
bt matom weng wana tabia izi
watundu,wavivu,mapleya
bt wanajalisana

wanapenda hesabu

Yaani we acha tu,i wish i could buy him his favourite car...lamborgini......lol
Nampenda huyu mwanangu jamani......:A S 20:
 
Eheeeeeee,tuwakutanishe basi jamani.......wajuane kama wazazi wao.......lol :clap2:

Mimi natafuta baba sasa,nipate wa pili wa kike.....wewe unaye wa kiume??

Nami nilikuwa natafuta wa kiume...
Tunaweza badilishana etie...
 
Muache bwana,huwezi jua nimemsubiri muda gani,sasa anaelekea huko wewe unaleta za kuleta,i hate you with passion.....lol:laugh:

Tatizo unasubiri tu... ungekuwa nawe unakuja ili tukutane mapema...
 
Nami nilikuwa natafuta wa kiume...
Tunaweza badilishana etie...

Mi sitaki kumpa mtu Tom wangu nataka nipate mtoto mwingine wa kike,sasa kwa kuwa unaye wa kike nami wa kiume......malizia mwenyewe bwana??..............................ungependa wa kiume wewe???:roll::laugh:
 
Sanaa... si vibaya akiwa mdogo wake Tom... lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom