My dad watu 8......

My dad watu 8......

usijali ma mkwe.. naahidi kwa moyo wangu woote kuwa miss neddy atakuwa wangu peke yangu.. nami wake peke yake!

ba mkwe anarudi lini?

nimefurahi kusikia hivyo mkwe wangu... Nami nawapa baraka zote.

Anarudi wiki ijayo
 
Last edited by a moderator:
yeah nimepata muda si mrefu mkwe, we umeshapata?

ma mkwe usijali kuhusu mimi, si unajua tena mfalme anavyojaliwa na malikia? haipiti dakika hujalishwa zabibu!

ipo siku ntakukaribisha kwenye castle yangu angalau upumzishe akili..
 
ma mkwe usijali kuhusu mimi, si unajua tena mfalme anavyojaliwa na malikia? haipiti dakika hujalishwa zabibu!

ipo siku ntakukaribisha kwenye castle yangu angalau upumzishe akili..

Asante sana mkwe wangu walah mwaka huu ntanenepa
 
nimeshasamehe your sweet love, ameniletea zawadi nimeipenda maana inaendana na hii hali ya hewa ya Singapore

hahahaha umeona eeeeh mom yani hapa jihesabie umepata mkwe asiekimbia majukumu anaweza kutupa good time ukoo mzima
 
aisee niseme ahsante... sasa tuanze kujipanga lini hasa tutangaze hii kitu yetu.. kifalme zaidi..!

mhhhhhh kwanza my dad hayupo around lakini nadhan weekend hii itabidi ukajitambulishe kwa ukoo wa watu8 my dear
 
Last edited by a moderator:
I HATE YOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU am not your queen anymore

waaat is happening here😕dnt take any decision that will make u regret jaman we naniliu ukuje huku kwenye njia kuu yako achana na michepuko
 
Mama mbona hukuniambia mapema na mimi nikaja kulima?
nimekasirika ndo maana shamba limeharibika.

sasa mwanangu ungekuja huku huko mjini kazi ungemuachia nani na sie sasa ndo tanasubiria mtume pesa za matumizi huku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom