Mhmm..!! Hebu soma ulichoandika kwa utulivu..!!Kwa Magufuli na Falsafa zake, kwake Lissu ni sehemu ya Wahuni na Wanamtandao. Lissu alitumika na hao kina Rostam kumuhujumu Magufuli.
Katika michezo yao, wakaamua kumuumiza mwenzao ili kumuharibia Magufuli. Kama Magufuli alibaini hili, kamwe asingeweza hata kuigiza kutoa pole kwa Lissu.
Binafsi naamini, kama kweli hili lipo vile mtoa mada asemavyo, basi LISSU ATAKUWA ANALIJUA VIZURI NA IPO SIKU ATALITAMKA WAZI MWENYEWE, ila tu kama ni mwenye kujali ustawi wa umma.
Ua brain works really well.....What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Kuna kitu hukijui na siwez kukiongelea hapa.
Watambe vipi wakati wengine walikimbia Nchi? Rostam alienda Kenya. Aliwanyoosha ndio maana wakaamua kumchafua hata kwa gharama za damu zao wenyewe.Mhmm..!! Hebu soma ulichoandika kwa utulivu..!!
Hivi unavyosema ni kwamba wengine hatumfahamu Magu?
Au wewe unamuongelea Magu yupi?
Yule mzee narudia tena, kwa jinsi alivyokuwa na visasi asingekubali kuwaacha wahuni watambe na yeye kuchafuka..!!
Kilichotokea kwenye mipango yake alikuwa anafanya kazi na vibaraka wa wahuni..!!
Ndiomana mara ya mwisho alimshtukia kondakta akampa kikono..!!
When late Mchungaji Christopher Mtikila died, everyone knew that he was assassinated. The unsolved question was, who killed him? While Kagame's name came up, phone records of Mtikila's step son revealed that, past 2 days before the incident, he had close communication with Aikael Mbowe, Chairman of CHADEMA who entrusted Lowassa to run for presidency and Mtikila oppossed him openly.What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Lissu mwanamtandao??!! 😹😹😹Watambe vipi wakati wengine walikimbia Nchi? Rostam alienda Kenya. Aliwanyoosha ndio maana wakaamua kumchafua hata kwa gharama za damu zao wenyewe.
Magufuli hakuwa MTU wa kuigiza, akikuchukia atakuonesha wazi, na hakuna ubishi kuwa alimchukia Lissu. Asingeweza kuhangaika na mwanamtandao kwa kuogopa kuchafuka yeye.
La Lissu ni la Magufuli hilo wala msitake kumvua lawama; uzuri adhabu yake alikwishaipata tayari keshakuwa mifupa mikavu katu hatanyanyua bichwa lake tena!What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Hakuna kitu kama hicho, mbona JPM hakuwakamata hao wanamtandao waliohusika? I doubt kama wanamtandao pia walitoa katazo kwa Ndugai kuidhinisha malipo ya matibabu ya Lissu!! N.kWhat if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Vipi kuhusu kukamata? Nao unaogopa itakuchafua?wewe ukiwa Rais huwezi ukatuma watu waende kuua
Kukamata sheria ya ukamataji ipo ni suala la kisheria.Vipi kuhusu kukamata? Nao unaogopa itakuchafua?
Sasa why JPM hakuwakamata wahusika ili ajitenge na shutumaKukamata sheria ya ukamataji ipo ni suala la kisheria.
Hizo ni speculations zako tu.Hakuna kitu kama hicho, mbona JPM hakuwakamata hao wanamtandao waliohusika? I doubt kama wanamtandao pia walitoa katazo kwa Ndugai kuidhinisha malipo ya matibabu ya Lissu!! N.k
JPM did it, na ukimya wake kukamata mhusika ndio unamfanya kuwa prime suspect
Lusajo unaona kipi kwenye hi picha ?When late Mchungaji Christopher Mtikila died, everyone knew that he was assassinated. The unsolved question was, who killed him? While Kagame's name came up, phone records of Mtikila's step son revealed that, past 2 days before the incident, he had close communication with Aikael Mbowe, Chairman of CHADEMA who entrusted Lowassa to run for presidency and Mtikila oppossed him openly.
Police hurriedly closed the investigation, concluding that, Mtikila's death was due to a car accident and there was no faul associated to both the accident and death.
Ktk comment yangu hakuna mahali nimekutukana.Kwani Magufuli ndo alikuwa anawajibika na matibabu ya Lissu?
Magufuli ndo alikuwa mwajiri wa Lissu?
Magufuli ndo alikuwa mmiliki wa damu za watu?
Stupid idiot!
Kama sio basi alikubali kutumika na wanamtandao. Hili liko wazi sana!Lissu mwanamtandao??!! 😹😹😹
Wewe naona natwanga maji kwenye kinu, hoja zako zimeegemea kwenye mahaba binafsi na sio majadiliano..!!
Sasa kama JPM hahusiki mbona wauwaji hawakukamatwa? Hivi JPM alivyokua anaogopwa vile na mkatili vile angeshindwa mfahamu muuaji wa Lissu?Hizo ni speculations zako tu.
Hujaweka ithibati yoyote ile kuonyesha na kuthibitisha Magufuli ndiye aliyehusika.
Na wewe na wenzako mnaodai haiwezekani ikawa ni watu wengine waliofanya hivyo ili kumchafua Magufuli, mnaonyesha jinsi mlivyo naive na workings za deep state.
Hata sasa hivi watu wanaweza kumuua Lissu na lawama zote mkazielekeza kwa Samia kwa sababu ya hali ilivyo sasa ilhal waliofanya hivyo ni watu wengine kabisa walioamua kui exploit hali ya kisiasa iliyopo sasa kwa dhumuni la kupoteza lengo.