My crazy theory…..

Huu sio ushahidi, hizi ni fikra zako na kila mtu analo la kufikiria khs hilo.
 
Huyu Nyani Ngabu amekuwa degraded to Nguchiro-Ngabu,
 
Huu sio ushahidi, hizi ni fikra zako na kila mtu analo la kufikiria khs hilo.
Lakini nimesema ninaimani na ushahidi wa kimazingira, nyie ndio huwa mnapenda sana kubadilisha ndimi za watu. Nimesema "ninaamini", and that's my opinion!!
 
..kama ni mission ya Msoga basi Jpm alitakiwa ampe kila msaada TL ili apate ahueni na tukio lile baya.
Aliyempiga risasi lissu sio magu
ni msoga au mtandao ni hao hao wakimshirikisha dkt mmoja ambae boss wa msoga anampa promo...
Can't you see
can you?
 
Kigoma Malima alikuwa ni Kristo.

USSR
 
..naamini Jpm alikufa natural death.

..pia alishaunda urafiki na Rostam na Lowassa.

..kwa hiyo Jpm alikuwa mwanamtandao.
jpm hakuunda urafiki na Rostam ni katika harakati za kutumia matajiri wa ndani ili kusudi kuleta manufaa katika Tanzania chini ya sera za viwanda, aliamini angebadilika....

Aliamini Rostam angeweza kuleta ajira nyingi kwa Watanzania...

Aliamini anaweza kuwabadili perspective zao(mtandao/matajiri), kuwa wazalendo wa kweli...
 
Hiyo ni lazima wangekamatwa unaitoa wapi mkuu? Kwamba Maguuli alikuwa na mfumo fanisi 100% , hakuna dunia ya namna hiyo. Labda liwe ni jambo unaloplp

llenda kuliaamini tu, ila halihalisiki. Ni imani tu.
 
Ndio maana wale polisi walimwamwambia Max watu watapiga kelele Mwezi watasahau ,it's easy to switch narratives here in Tanzania.
 
Ilo genge ulijui vizuri mkuu nyamaza

Hili genge ni hatari nakwambia
 
Kwamba unafikiri Rais anajishauri mwenyewe? Pole sana
 
Hiyo ni lazima wangekamatwa unaitoa wapi mkuu? Kwamba Maguuli alikuwa na mfumo fanisi 100% , hakuna dunia ya namna hiyo. Labda liwe ni jambo unaloplp

llenda kuliaamini tu, ila halihalisiki. Ni imani tu.

..Nipe ushahidi unawaunganisha mtandao na kifo cha Magufuli.

..Huwezi kusema tu fulani kamuua Magufuli bila kuwa na nadharia inayoaminika nyuma ya madai yako.

..Kwa mfano, ukisema Magufuli kauwawa na radi, unaweza kuaminika kama siku hiyo kulikuwa na mvua.
 
..ndio urafiki wenyewe huo.

..halafu Rostam akamtongoza Magufuli ili amrudishe Lowassa na kumtoa mkwe wa Lowassa kizuizini.
 
Yawewezekana.

Wanamtandao huwa wanapanga mambo yao miaka 50 mbele. Kama leo Mkapa angekuwa hai huyu NYWINYWINYWI asingekuwa mgombea wa chama kile na wala Lissu asingekuwa jela kwa kesi hii ya kubumba.
 
Uhalifu upo kila sehemu hata USA kuna marais waliuwawa wakiwa madarakani
 
Aliyempiga risasi lissu sio magu
ni msoga au mtandao ni hao hao wakimshirikisha dkt mmoja ambae boss wa msoga anampa promo...
Can't you see
can you?

..waliondoaje walinzi wa serikali ya Magufuli pale Area D?

..pia walizuiaje Polisi wa Magufuli wasifanye uchunguzi wa tukio?

..pia walimzuiaje Magufuli asitoe fedha za matibabu, au asimuombee msaada TL kwa nchi wafadhili ili akatibiwe?
 
Unaomba ushahidi kwani tupo mahakamani? Tunachojadili hapa ni nadharia tu, uwezekano wa hili au lile kuwa hivi ama vile.
Hakuna mwenye ushahidi wa madai yoyote kati yangu nawe.
 
..waliondoaje walinzi wa serikali ya Magufuli pale Area D?

..pia walizuiaje Polisi wa Magufuli wasifanye uchunguzi wa tukio?

..pia walimzuiaje Magufuli asitoe fedha za matibabu, au asimuombee msaada TL kwa nchi wafadhili ili akatibiwe?
Kuna kitu hukijui na siwez kukiongelea hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…