Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,721
- Thread starter
-
- #81
Hata mimi naamini mimi ni tajiri namba moja duniani!😂 N sawa na wanaoamini kuna pepo na jehanamu, ukiwaambia walete ushahidi wanakupa vifungu vya Biblia na Quran
usihamishe Goli! Magu aliongea 3hrs kabla ya Lissu kupigwa risasi! na waliomsaidia Lissu walitimuliwa kazi kuanzia Mkuu wa Mkoa, Daktari mama moja hivi mpaka amehojiwa mtandaoni na Aliyetoa helcopter kwenda Nairobi naye alikufaWhat if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
ukiachana na hayo sijui kuondoa walinzi area D, ambalo ni suala dogo sana, mbona hamshangai ilikuwaje hao wanamtandao kumfyekelea mbali jpm?
I thought about it hasa baada ya polepole kuanza kuexpose mambo ya ndani.What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Swala la TAL kupigwa risasi lina utata sana sana, eti wafyatua risasi 30+ na bado mtu anatoka hai?!
Waliofanya hilo tukio walikuwa na lengo la kumharibia JPM tu...
Sina ushahidi, ila mazingira tu yanaonyesha alihusika.Em tupe ushahidi mkuu 😎
Laq..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.
..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.
..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.
..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
Sasa kama wanamtandao wanatajwa kumuua Rais, hilo la kuondoa walinzi linauzito gani was kufikiri linafanywa na rais tu?..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.
..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.
..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.
..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.
..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.
..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.
..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
Laq
Sasa kama wanamtandao wanatajwa kumuua Rais, hilo la kuondoa walinzi linauzito gani was kufikiri linafanywa na rais tu?
Hiyo nakubali for the sake of argument. Vipi na Ben Saanane?What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….
Wewe ni zaidi ya wapumbavuKwani Magufuli ndo alikuwa anawajibika na matibabu ya Lissu?
Magufuli ndo alikuwa mwajiri wa Lissu?
Magufuli ndo alikuwa mmiliki wa damu za watu?
Stupid idiot!
Then he was not fit for the position. Kwa matukio yale alipaswa kuyashughulikia na kuwawajibisha walioshindwa kufanya wajibu zao.Mtu mmoja hawezi kujua kila kitu.
Kwakweli amezingua sana; reasoning yake ktk hii nadharia yake haijazingatia empirical evidence ipasavyo. Ktk utawala wake wote Magufuli alikwepa hata tu kutoa pole kwa wafiwa, achilia mbali kuzungumzia mauaji yaliyofanyika chini ya utawala wake. That, in and of itself, is pretty telling of his position and role on the issue in question.Kwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?
Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
Mkuu hapa unapoteza muda tu na hii post. Suala la kushmbuliwa Lissu tulikwisha funga ukurasa, muuaji ni Wasiojulikana chini ya Makonda kwa amri ya Magufuli.What if…..just what if wanamtandao ndo waliosuka njama za kutaka kumuua Tundu Lissu huku wakijua kwamba endapo watafanikiwa, basi lawama zote atabeba/ atabebeshwa Rais Magufuli kwa sababu tayari watu hao wawili [Magufuli na Lissu] walikuwa na vita baridi ya maneno?
Crazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
Watu huwa wanajua sana ku exploit fursa.
What say you? Am I way off base? Or am I onto something here….