My crazy theory…..

Whaaat? Iraq stands against America 😃😃
 
Ukweli mtupu,!
 
Kwa Magufuli na Falsafa zake, kwake Lissu ni sehemu ya Wahuni na Wanamtandao. Lissu alitumika na hao kina Rostam kumuhujumu Magufuli.

Katika michezo yao, wakaamua kumuumiza mwenzao ili kumuharibia Magufuli. Kama Magufuli alibaini hili, kamwe asingeweza hata kuigiza kutoa pole kwa Lissu.

Binafsi naamini, kama kweli hili lipo vile mtoa mada asemavyo, basi LISSU ATAKUWA ANALIJUA VIZURI NA IPO SIKU ATALITAMKA WAZI MWENYEWE, ila tu kama ni mwenye kujali ustawi wa umma.
 
Ndivyo ilivyo fanyika kwa Ben saa8 Chini ya mbowe akishirikiana na wana mtamndao
 
Sasa nae Magu alifeli vipi kuhakikisha anawajua wahuni wanaomchafulia utawala wake. He blessed every bad action.

Alikuwa na nafasi bora sana ya kuwadhibiti wahuni kwa ushahidi wa baadhi tu ya matukio tunayohisi yalifanyika kumhujumu.

Kama alipotezea, he was among wahuni.
 
Mtu mmoja hawezi kujua kila kitu.
 
wanamtandao ndio walimnyima Lissu hela ya matibabu? ndio walimfukuza ubunge? ndio walimnyima mafao? ndio walikataza asichangiwe damu? ndio walikataza wana ccm kumjulia hali? ndio walimkaripia yule mwanamke aliyeenda kumjulia hali? ndio waliotoa cctv camera kwenye yale makazi? ndio waliozuia polisi kufanya uchunguzi?
 

..Jpm alifanya zaidi ya kumuacha TL apambane na hali yake.

..kwa mfano, aliyezuia TL asitibiwe na Bunge ni Jpm, sio Spika Ndugai.

..kwa hiyo hata kama Jpm hakutuma wauwaji kwenda kumshambulia TL, alimuongezea machungu kwa kuzuia matibabu yake, pamoja na uchunguzi wa tukio.

..lakini pia kuna swali ambalo halijibiwi. Je, ni nani aliyeondoa walinzi wa area D ili kuwezesha shambulizi dhidi ya TL? Je, ni genge lipi, kati ya Mtandao, na genge Jpm, inawezekana ndilo lililoondoa walinzi eneo la tukio?
 
Kwani Magufuli ndo alikuwa anawajibika na matibabu ya Lissu?

Magufuli ndo alikuwa mwajiri wa Lissu?

Magufuli ndo alikuwa mmiliki wa damu za watu?

Stupid idiot!
 
Hawa wazee wa network kuna asilimia kubwa ndio walifanya hilo jambo...
kumbuka hiki kikundi wana malengo ya muda mrefu sana na huandaa mikakati yao kwa umakini wa hali ya juu.. yani ni ngumu kufahamu kwa wakati huo unapokuja kugundua it's too late..

mfano jpm hakumpenda sa100 awe msaidizi wake lakini njemba zilitumia mbinu wanazojua hadi bibi akakaa pale, kumbe walikuwa na mipango ya muda mrefu...

Suala la TAL , matibabu yule mzee asingeweza kutoa, walikuwa na ugomvi mkubwa tayari, hata hapa Tanzania nimeshuhudia watu wakishangilia kifo cha mtu kwa sababu tu walitofautiana katika mambo flani flani... hata kifo cha Ndugai juzi hapa kuna raia walifurahi... hio ni hulka ya mwanadamu...

Kama juzi tu hapa wana ccm wameanguka na lori, kuna raia wamekuja hapa wanafurahi kweli kweli, wengine wakisema dereva alitisha sana, wengine wakisema kwanini hawakufa wote, hali ya kuwa watu walikuwa wameumia vibaya, wengine walipoteza maisha, lakini yote hio kufurahia wengine wanapata matatizo kisa ni tofauti za kisiasa.

sasa wanakujaje tena kumshangaa jpm ambae alikaa kimya kwenye matibabu...?

lakini tukumbuke kwamba hawa wazee wa network wana nguvu sana, maana ilifika muda na yeye wakampeleka mbele za haki...
 
ukiachana na hayo sijui kuondoa walinzi area D, ambalo ni suala dogo sana, mbona hamshangai ilikuwaje hao wanamtandao kumfyekelea mbali jpm?
 
Kasema anaamini. Unamwomba ushahidi wa nini sasa ilhali hiyo ndo imani yake?

Imani huwa haina ushahidi. Unaweza kuamini chochote kile.
😂 N sawa na wanaoamini kuna pepo na jehanamu, ukiwaambia walete ushahidi wanakupa vifungu vya Biblia na Quran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…