Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 675
- 439
ni yule mama wa upanga mtaa wa olimpyo?dear jamii members
i am very sad to announce the death of my dear cousin mary mwingira who has passed away today
rip
Dear jamii members
I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today
RIP
Kwa hiyo Ngalimecha naye kafiwa na dada, basi ni msiba wetu soteOh, very sad! Huyu ni dada yake John Ngahyoma wa BBC. Huyu Mama alizaliwa MARY NGAHYOMA akaolewa na one MWINGIRA. Ni msiba mkubwa, na unatuhusu wengi. Ngoja tupite hapo Upanga kupata taarifa zaidi.
Tunaomba mnaojua shughuli za msiba zitakuwa wapi mtujulishe kwani nimeambiwa utakuwa Kunduchi na sio Upanga pale ambapo wengi tunapafahamu. Ni Kunduchi sehemu gani?
Dear jamii members
I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today
RIP
Alikuwa ni Mkurugenzi mtendaji wa TANGO na mmoja kati ya Roman catholic professionals