...mnh,
yataka moyo, 'mwonja asali japo kwa dole ataonja tena...'
mapenzi yana majira yake; kiangazi, masika, kipupwe, na vuli...
Kujizuia siku za 'kiangazi' kwataka moyo wakti ushaonja alternative ya kuganga njaa!...
Kila la kheri mkuu, kila mtu ana skeletons zake kabatini,...
Usijidanganye kuungama kwa mkeo/mumeo,...
"...to forgive and to forget are two different things!"