My confession

My confession

nimefurahi sana.. kufuatilia comment zako kwamba unajutia kiukweli huku ukijua kabisa hakuna justification chini ya jua ya wewe kufanya hivyo.

Mungu ni mwema. Sasa kwangu pia ni miaka mitano nilipata ujauzito nikiwa chuo sasa kumwambia jamaa akasema tutoe aisee nikamwambia mama alisema nikitoa nitakufa.. jamaa alikuwa ndio mpenzi wangu wa kwanza. sikuwa najua 'a wala b' nakiri nilikuwa na ushamba fulani hivi kuhusu mapenzi maana nilikuwa namuamini sana sana. sasa niligoma kutoa na nikampa tahadhari kuwa nitatunza mimba ila nikitoka leba uelekeo ni kwao nitamwachia mama yake mtoto, nikaendelee na maisha yangu. miezi 8 baadae nilijifungua mtoto mzuuuuuuri wa kiume. Aiseee tulifunga ndoa na hadi sasa anamshukuru mungu kwa kutoepusha na uuaji ule..!
Aseehh!hongera sana dear!Mungu mwema sana
 
Una bahati umewapata hao. Wengine wameishia kutozaa tena.

Mungu wetu ni wa Rehema na huruma
I have friend alitoa mimba form four since then hana mtoto she is 31 now hana aliolewa kaachika,kaolewa tena hana mtoto hata mmoja
 
I lost my niece kwa huo upumbavu wa kutoa mimba. A grown up girl decides to abort lakini hata hajui athari za utoaji mimba, angefuata basi njia sahihi akawaona madaktari apewe prescription zinazoeleweka.

Upumbavu wa hali ya juu, ila wahamasishaji wakiwa vijana wa kiume, unamtia mtoto wa watu mimba wakati huna hata uwezo wa kununua kijiko..
How it happened?do pole sana!!!naogopa sana halafu haya mambo ni hatari sana baasi tu!!mimba ni too risk to abort though wanawake tunaweka pamba maskioni
 
I have friend alitoa mimba form four since then hana mtoto she is 31 now hana aliolewa kaachika,kaolewa tena hana mtoto hata mmoja
Dah, pole sana.
Hospital vipimo vinasemaje kuhusu kizazi chake?

Kuna wengine wanatoa mimba, kizazi kinabaki salama lkn hawezi kubeba mimba kwa sababu za kiroho.

Kama kizazi kipo safi, aombe toba mbele za Mungu, hakika atapata mtoto
 
No need to tell him labda miaka 20 ijayo ila sio Leo au hivi karibuni
Wala sijali kupigwa mawe
Tatizo imenikaa akilin all those years
Najua iko siku nitashare na baba watoto,sijui ataichukuliaje bt i will tell him one day.
 
Wala sijali kupigwa mawe
Tatizo imenikaa akilin all those years
Najua iko siku nitashare na baba watoto,sijui ataichukuliaje bt i will tell him one day.
USIJARIBU, USITHUBUTU... Huo unaive wako baki nao please. Kama unaing'ang'ania dhambi uliyokwisha samehewa ni shauri yako usimtie matatizoni mtt wa watu.
Unasema umelelewa katika mazingira ya dini mbona huoni kama ukitubu Mungu anasamehe? Na umekiri umepata mtoto baada ya toba it means Mungu amekuhurumia amekusamehe sasa iweje unaona bado hujasamehewa? Unapingana na maandiko? Unatilia shaka huruma ya Mungu? HEBU ACHANA NA HILO JAMBO ENDELEA NA MAISHA YAKO. It is irreversible
 
Jirani yangu kijana wake alifaulu kwenda form V ya bweni na ni ya wavulana watupu. Ni moja ya shule za vipaji inasifika sana.

Headmaster na familia yake wanaishi ndani ya shule. Headmaster ana binti mrembo anasoma form IV day.

Huyu mtoto wa jirani yangu sijui alimuimbisha nini yule binti, binti akawa anamuingiza chumbani kwake usiku. Siku moja saa kumi na moja asubuhi anakutana na headmaster kwenye corridor.

Kesi ilifika nyumbani, wazazi waliitwa. Yule headmaster alivyokuwa mkali hakutegemea kitendo kile kifanyike chini ya pua yake.
Sasa hii stori inaingiaje kwenye hii toba ya mwenzetu
 
Cousin wangu tumeishi naye nyumbani... siku za siku akampa mimba mtoto wa mzee mkali mimba akiwa shule.

Akaenda kutafuta dawa akapewa...akapewa hakuna ajuaye zinavyotumika. Alimchukua msichana akamwingiiza hii guest iliyopo Shivas upande wa kushoto. Akamnyesha bhana....

Katoto kakaanza kupiga kelele tumbo linataka kupasuka limekuwa la moto saana. Akakimbia akamwacha akajua anafariki... nakutana naye anahema nikamwambia twende...

Kufika msichana anavunja jasho alimfungia chumbani kuna joto hajampa hata chakula kipindi cha kummezesha dawa..inshort ilibaki kidogo afariki... alikaa hapo siku tatu... sijui waliimalizaje kesi na baba yake ila alikaa central masaa 12.

Kademu nako hakakumwaachaa kakazidi kumpenda.

Haya mambo magumu sana
 
wewe mtwara ipi unayokaa ?nafikiri ya jf
Ahahahhahahahah me nakaa mtwara mjini huko chikongola Sijui wapi hata sikujui.... Huwezi amini nipo mtwara muda tu ila naff hotel nimepajua wiki iliyopita
 
Za asubuh wana jukwaa.Mungu ni mwema Kila wakati.

Wakati nasoma chuo,about 10 years ago,nikiwa mwaka wa kwanza.Nikiri i was virgin and still naive.Basi nikakutana na bazazi moja likanishawishi tukaanza mahusiano ya mapenzi.Tulikuwa wote first year sema course tofauti.Nakumbuka ilikuwa second semester,katika mahusiano hayo nikabeba ujauzito.

Nikatafuta wasaa nikamweleza mhusika,akanijibu,we waulize wanawake wenzio huwa wanafanyaje,akaondoka zake.Niliumia Sana,then jioni nikakutana na room mate ambaye yeye alikuwa kanitangulia miaka miwili nikamweleza akanambia umepima nikamjibu nope,ila Nina mwezi nimemiss period.Akanambia nenda kapime kwanza,next day nikaenda dispensary ya chuo nikapima majibu yakawa positive.

Nakumbuka nilirud room nalia Sana,hata lecture za sikuhiyo sikuingia.Niliwaza mengi ikiwemo nitawaambiaje nyumbani.Muda wa lunch akaja room,huyo roommate,akanambia majibu vipi nikampa karatasi ya hospital.Akaniuliza mhusika umemwambia,nikajibu ndiyo.Akaniuliza tena kasemaje,nikamwambia kanambia niulize wanawake wenzangu huwa wanafanyaje na since then hata simu zangu hapokei.Akanambia usihofu kesho ntakupeleka sehemu.Kweli kulipopambazuka akanipeleka maeneo ya makumbusho,kulikuwa na kihospital flan bubu,akaongea na dokta,tukalipa,then nikaandaliwa nikapigwa nusu kaputi.Yaliyoendelea sikumbuki,ila ikawa the end of my precious first baby that day.

Nikakata mahusiano na yule bazazi na sikuwahi date tena hadi nagraduate.Ila nilipata depression kwa kile kitendo,niliteseka semester nzima GPA yangu ilishuka vibaya Sana.

Kila nikikumbuka moyo waniuma,huenda saivi ningekuwa na vidume vyangu vitatu manake saivi ninao wawil.Baby wherever you're am sorry,i was young,naive and stupid.Hiyo ni mistake nilifanya nikiwa undergraduate lakini hadi leo yanitafuna consious yangu.
Pole sana Girlzia.
No one is perfect.
 
Back
Top Bottom