Kuchakuro Ps
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 443
- 525
Pole Sana.
Mungu amekusamehe.
Mungu amekusamehe.
Kwahiyo ww ni msafi kuliko huyo mwanamke? Kwahiyo ulitegemea asiolewe ili nafsi yako ifurahi? kwahiyo hana sifa kabisa za kuolewa? basi na ww hupaswi kuoa na hata huyo mwanamke uliyenaye hapaswi kuwa na ww sbb ww ni muuaji. Unapiga mimba 9 halafu unajisifu kuwa huyo mwanamke hafai. Kwahiyo hizo mimba alikuwa anajipa yeye? Hao watoto ni wako na hapo WW NA HUYO MWANAMKE MNAHESABIKA NI BABA WA WATOTO 9 MAREHEMU.
NIMESIKITIKA SANA, ILA NAKUPA POLE SANA MAANA UNAONESHA HAUJAKUWA KIAKILI.
Utakuta na ww upo kwenye nyumba za ibada unasali (sijui unasali nini). KWELI NYANI HAONI KUNDURE LAKE
Pole sana Girlzia.
No one is perfect.
Siinga'ang'aniiUSIJARIBU, USITHUBUTU... Huo unaive wako baki nao please. Kama unaing'ang'ania dhambi uliyokwisha samehewa ni shauri yako usimtie matatizoni mtt wa watu.
Unasema umelelewa katika mazingira ya dini mbona huoni kama ukitubu Mungu anasamehe? Na umekiri umepata mtoto baada ya toba it means Mungu amekuhurumia amekusamehe sasa iweje unaona bado hujasamehewa? Unapingana na maandiko? Unatilia shaka huruma ya Mungu? HEBU ACHANA NA HILO JAMBO ENDELEA NA MAISHA YAKO. It is irreversible
Ikitokea akajua ukwel kabla sijamwambia je?No need to tell him labda miaka 20 ijayo ila sio Leo au hivi karibuni
Ikitokea akajua ukwel kabla sijamwambia je?
He is a very loving man,and ananiamini sana
Very handsome, charming,ananikubali sana
Si bora asikie toka kwangu kabla majitu hayaja mletea umbea?
And I love him,sisemi yuko perfect ila kama ni mwanaume Mungu alinipa
Tatizo hiyo Siri niloitunza mweeeh
Kaaah!!we nomaa!!Ahahahhahahahah me nakaa mtwara mjini huko chikongola Sijui wapi hata sikujui.... Huwezi amini nipo mtwara muda tu ila naff hotel nimepajua wiki iliyopita![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


haya wasalimie Shangani kwa mabosi hukoo!!wewe mvivu kutembea!Hahahahahahah kumbe waijua mtwara eeehKaaah!!we nomaa!!haya wasalimie Shangani kwa mabosi hukoo!!wewe mvivu kutembea!
kwenye uvivu wa kutembea sasa yaani nisipoenda chuo sitoki nje kutwa nzima....mpaka wapangaji wengine wananiona Nina roho mbaya jamani doooohNimekaa nilikua km wewe nilipoanza kuijua mtwara mwezi uliofuata nkahama...Hahahahahahah kumbe waijua mtwara eeeh![]()
![]()
![]()
![]()
kwenye uvivu wa kutembea sasa yaani nisipoenda chuo sitoki nje kutwa nzima....mpaka wapangaji wengine wananiona Nina roho mbaya jamani dooooh
Dooh karibu tenaNimekaa nilikua km wewe nilipoanza kuijua mtwara mwezi uliofuata nkahama...
Hapana huko siyooo maisha magumuuu rahisi chumvi tu kila kitu juuDooh karibu tena
Kha eti nikataeAtaambiwa na nani?who else knows more than u?!!!jifunze vingine kufa navyo mwenyewe... Mpenzi kuna siri za kusema na za kukaa kimya
Haijalishi anakupenda na kukujali vipii!!akiambiwa kataaa....for good reasons
Shogaaa kumbe uliliona hilo eeeeh jamani mtwara mweeeeeeh huu mji hapana ....sabuni nusu kg 4000 jamani hatari kwakweli huku bidhaa bei zake sio rafiki tuHapana huko siyooo maisha magumuuu rahisi chumvi tu kila kitu juu
Acha utoto.... Miaka yote hiyo na umeshaolewa aje aseme amwambie nani. Hebu tulia dada unajuaje kama mmeo na yeye ametolesha wasichana alio date nao?! Atakudharau na kuona upo kama wale aliiwapitia zamani.. Umeona some comments humu wanasema waliwatolesha wasichana mimba nyingi na kuwaona hawafai kuolewa... Ila mtu akichagua wa kumuoa anamuheshimu na hataki kujua maisha yake ya nyuma. ACHA WENGE... Let bygone be bygone.Siinga'ang'anii
Sema jamaa lenyewe twakutana kwenye kazi sometimes,inaninyima raha,inanikumbusha ya kale
Zaid nahofu lisije ropoka liliwahi date nami na hiyo situation,kwani Wengi wanijuao hawamjui wala hawajui Kama niliwahi toka naye
Acha mapepe dada... Kwani mmeo ni malaika aliyepotea njia ya mbinguni au binadamu hawahawa wa kiume? Grow up girl aaaghh!!!Ikitokea akajua ukwel kabla sijamwambia je?
He is a very loving man,and ananiamini sana
Very handsome, charming,ananikubali sana
Si bora asikie toka kwangu kabla majitu hayaja mletea umbea?
And I love him,sisemi yuko perfect ila kama ni mwanaume Mungu alinipa
Tatizo hiyo Siri niloitunza mweeeh
Pole sana.I lost my niece kwa huo upumbavu wa kutoa mimba. A grown up girl decides to abort lakini hata hajui athari za utoaji mimba, angefuata basi njia sahihi akawaona madaktari apewe prescription zinazoeleweka.
Upumbavu wa hali ya juu, ila wahamasishaji wakiwa vijana wa kiume, unamtia mtoto wa watu mimba wakati huna hata uwezo wa kununua kijiko..
Hukoo hapana kwa kweli sipataki hata kwa bahati mbaya miyee...yaani huko kila kitu juu!nilikua napata hasira balaa....!!!sikutaki hata kwa bahati mbaya hukoo!wakae wenyewe wamakondeShogaaa kumbe uliliona hilo eeeeh jamani mtwara mweeeeeeh huu mji hapana ....sabuni nusu kg 4000 jamani hatari kwakweli huku bidhaa bei zake sio rafiki tu
Yaap sio roho ngumu dear...umuambie ile agundue nini?hilo tendo sio na lilishapita...achana nae na ukitak kujuta muambie utakuja simulia humuKha eti nikatae
Una loho ngumu wewe
Anyways hope haitofika huko
Ni juzi tu ulikua nao watatu ukiwa hujui utulie na yupi. Tayari umeshakua na mmoja na ameshakua baba watoto?Ikitokea akajua ukwel kabla sijamwambia je?
He is a very loving man,and ananiamini sana
Very handsome, charming,ananikubali sana
Si bora asikie toka kwangu kabla majitu hayaja mletea umbea?
And I love him,sisemi yuko perfect ila kama ni mwanaume Mungu alinipa
Tatizo hiyo Siri niloitunza mweeeh