My confession

My confession

Za asubuh wana jukwaa.Mungu ni mwema Kila wakati.

Wakati nasoma chuo,about 10 years ago,nikiwa mwaka wa kwanza.Nikiri i was virgin and still naive.Basi nikakutana na bazazi moja likanishawishi tukaanza mahusiano ya mapenzi.Tulikuwa wote first year sema course tofauti.Nakumbuka ilikuwa second semester,katika mahusiano hayo nikabeba ujauzito.

Nikatafuta wasaa nikamweleza mhusika,akanijibu,we waulize wanawake wenzio huwa wanafanyaje,akaondoka zake.Niliumia Sana,then jioni nikakutana na room mate ambaye yeye alikuwa kanitangulia miaka miwili nikamweleza akanambia umepima nikamjibu nope,ila Nina mwezi nimemiss period.Akanambia nenda kapime kwanza,next day nikaenda dispensary ya chuo nikapima majibu yakawa positive.

Nakumbuka nilirud room nalia Sana,hata lecture za sikuhiyo sikuingia.Niliwaza mengi ikiwemo nitawaambiaje nyumbani.Muda wa lunch akaja room,huyo roommate,akanambia majibu vipi nikampa karatasi ya hospital.Akaniuliza mhusika umemwambia,nikajibu ndiyo.Akaniuliza tena kasemaje,nikamwambia kanambia niulize wanawake wenzangu huwa wanafanyaje na since then hata simu zangu hapokei.Akanambia usihofu kesho ntakupeleka sehemu.Kweli kulipopambazuka akanipeleka maeneo ya makumbusho,kulikuwa na kihospital flan bubu,akaongea na dokta,tukalipa,then nikaandaliwa nikapigwa nusu kaputi.Yaliyoendelea sikumbuki,ila ikawa the end of my precious first baby that day.

Nikakata mahusiano na yule bazazi na sikuwahi date tena hadi nagraduate.Ila nilipata depression kwa kile kitendo,niliteseka semester nzima GPA yangu ilishuka vibaya Sana.

Kila nikikumbuka moyo waniuma,huenda saivi ningekuwa na vidume vyangu vitatu manake saivi ninao wawil.Baby wherever you're am sorry,i was young,naive and stupid.Hiyo ni mistake nilifanya nikiwa undergraduate lakini hadi leo yanitafuna consious yangu.

Pole mama. You cant change the past , the ink is already dry. Believe that you are forgiven and live a happy life.
 
Endelea kufanya toba kila siku mpaka upatapo amani ya moyo
 
Pole sana dada huyo mtoto amesikia kitubio chako na hatokuzuia kupita kwenye mlango wa paradiso

Na wanaume wa namna hiyo wako wachache sana ila huaribu wanawake wengi kwa maana wanaume wapole hawapendwi na wanawake wengi

RIP bazazi popote ulipo
eet #r.i.p bazazi
 
Kweli bazazi mm ata kama cna mpango na uyo mwanamke ila nitampa ushirikiano na kuamua kwa pamoja tufanyaje pole sana
 
Hakuna ambaye hakosei wengi Wetu tunajifanya wema wakati ukute ww apo ushawai muingilia mtoto wa watu kinyume na maumbilie usiwe mwepesi kuukumu na kujiona mkamilifu
I lost my niece kwa huo upumbavu wa kutoa mimba. A grown up girl decides to abort lakini hata hajui athari za utoaji mimba, angefuata basi njia sahihi akawaona madaktari apewe prescription zinazoeleweka.

Upumbavu wa hali ya juu, ila wahamasishaji wakiwa vijana wa kiume, unamtia mtoto wa watu mimba wakati huna hata uwezo wa kununua kijiko..
 
Hakuna ambaye hakosei wengi Wetu tunajifanya wema wakati ukute ww apo ushawai muingilia mtoto wa watu kinyume na maumbilie usiwe mwepesi kuukumu na kujiona mkamilifu
Nani kakuambia najifanya mwema, hivi umesoma hata nilichoandika?
 
Usijilaumu sana mkuu kikubwa kubali ulijikwaa na kukubaliana kilichotokea kwa sasa tubu mrudie mungu wako maisha yaendelee
 
Lipo maporini huko,nilishalisahau sema nikikutana nalo nakumbuka manake kazi zetu zinaingiliana sana.
Najaribu kuwaza hapa iyo miaka 10 mlikuwa ulivyotoa mimba na mlikuwa class moko ilokuwaje kuwaje yani kuonana umo class mambo ua hapa na pale classini umo kwa ujumla kichuo chuo yani
 
Nakumbuka kuna mdogo wangu wakike alibeba alipomaliza2 kidato cha4, nilichukia sana yaani nilihisi kama vile nimtoto wangu alafu hata bwana aliyempa ujauzito hana mbele wala nyuma, nikaanza kumshawishi aitoe hiyo mimba ila aligoma kabisa akavumilia mpaka akajifungua mtoto wakike ila sasa siri yangu tu yaani najisikiaga vibaya sana nikimuonaga mtoto wake yaani najiambiaga mama yake angesikilizaga ushauri wangu uenda asingekuwepo duniani yaani in short huwa inaniumiza sana yaani najionaga nimkosaji sana!!
 
Hatukuwa class moja au course moja,ila tulikuwa tunaonana Sana na iliniathiri Sana ,nilipata depression
Hadi leo nikimwona namwona kama mtu katili na muuaji tu.Sina chuki naye ila namwona katili na asiye na utu.
 
Nakumbuka kuna mdogo wangu wakike alibeba alipomaliza2 kidato cha4, nilichukia sana yaani nilihisi kama vile nimtoto wangu alafu hata bwana aliyempa ujauzito hana mbele wala nyuma, nikaanza kumshawishi aitoe hiyo mimba ila aligoma kabisa akavumilia mpaka akajifungua mtoto wakike ila sasa siri yangu tu yaani najisikiaga vibaya sana nikimuonaga mtoto wake yaani najiambiaga mama yake angesikilizaga ushauri wangu uenda asingekuwepo duniani yaani in short huwa inaniumiza sana yaani najionaga nimkosaji sana!!
Huwa inatesa sana
Watu hawajui tu,kama una dhamiri Safi lazi ma uumie tu
 
Kwani mie nilimwambia nataka anioe,angenionyesha ushirikiano huenda nisingepotoshwa kufanya niliyofanya,ingawa hilo halijustify niliyofanya
Mimi ninamaombi mabaya Kwa wanaoua/wanaotoa mimba kisa, Ohio nyumbani wakali,Mara Ohio maisha duni.
Natamani na wao wawe wanapilitiza tu wasizae tena.Binadamu sisi ni wakatili mno ata Kwa viumbe visivyo na makosa yeyote.
Pia wanaume wanaotelekeza mimba au watoto,MFANO:BABANGU daaa!hawa wanapaswa kunyongwa kabisa,hawastaili kuishi katika dunia yetu,wanasababisha majonzi na vilio vingi Kwa watoto na mabinti/wasichana wengi
 
Huwa inatesa sana
Watu hawajui tu,kama una dhamiri Safi lazi ma uumie tu
Inanibidi nitubu aisee maana nakumbuka ishawatoresha mimba wanawake wangu kama watatu hivi, Mungu anisamehe aisee nanimeapa sitakuja tena kufanya ufuska waaina hiyo tena
 
Mie pia niliapa kutokuja kutoa mimba Tena hata iweje
Watoto ni barka toka Kwa Mungu,halafu huwezi jua kesho atakuwa nani
 
Back
Top Bottom