My confession

My confession

Kuna muda unaweza kujilaumu ama kumlaumu mtu kwa kukupitisha sehemu fulani. Ni Mungu tu huwa naamini, kila past huwa na mambo yake. My dearest sister, just let the past pass na sikuambii usahau ila make peace with your past. Una watoto ni jambo la kumshukuru Mungu. Uliteleza na kuanguka lakini hukuzama moja kwa moja. Mungu hakutazami katika jicho unalojitazamia, anaingalia nadhiri yako na kilio chako. Naamini kupitia story yako kuna watu wamechukua ABC's. Mungu atuhurumie
 
Dah kuna kabinti kalikua kamemaliza la saba kanakuja kusoma pre form one shule nilikosoma advance kalikua mapepe sana kutokana na kujiona kazuri jamaa yangu akakatokea kakakubal siku zikaenda kakaingia 4m1 kakawa kamepata mimba wakaenda kuitoa dadeki dogo alikufaga ilikua mimba ya mapacha shida ikaja kwa yule rafiki yake kumweleza dada yake aliyekua anaishi naye kilichotokea ilikua balaa.

R.i.p asha
 
Hahahaaa... Hiki kibaraza, acha tu....
Ni juzi tu ulikua nao watatu ukiwa hujui utulie na yupi. Tayari umeshakua na mmoja na ameshakua baba watoto?

 
Shida hapa sio wazazi kuwaelimisha watto wao shida ni kipindi hiki huwa ni kigumu kuliko maelzo kwa mabint na vijana hata umwambie vipi inapofika wakat wa Abdallah kichwa wazi kusumbua hawasikii elimu yoyote utakayo wapa
Suala sio kuwalazimisha kwamba hawatafanya isipokuwa hata ikitokea akafanya ajue madhara yake walau na namna ya kujikinga na mimba za bila kupangilia na magonjwa ya zinaa.
 
Back
Top Bottom