My confession

My confession

Pole sana dada huyo mtoto amesikia kitubio chako na hatokuzuia kupita kwenye mlango wa paradiso

Na wanaume wa namna hiyo wako wachache sana ila huaribu wanawake wengi kwa maana wanaume wapole hawapendwi na wanawake wengi

RIP bazazi popote ulipo
Safi sana mkuu, umeiva kwenye Guidance and counseling...


Kimsingi nikwamba wanaume wapole hawapendwi na wanawake wengi, madada walio wengi wanapenda mabrazamen wanaonekana wajanja, wenye sagz etc.
 
pole sana mmi nilipokuwa undergraduate nilikutana na katoto kapo form two kazuri nilikatia mimba zisizopungua tisa sasa kameolewa na jamaa namwonea huruma mana yule sio wa kuoa
Kwahiyo ww ni msafi kuliko huyo mwanamke? Kwahiyo ulitegemea asiolewe ili nafsi yako ifurahi? kwahiyo hana sifa kabisa za kuolewa? basi na ww hupaswi kuoa na hata huyo mwanamke uliyenaye hapaswi kuwa na ww sbb ww ni muuaji. Unapiga mimba 9 halafu unajisifu kuwa huyo mwanamke hafai. Kwahiyo hizo mimba alikuwa anajipa yeye? Hao watoto ni wako na hapo WW NA HUYO MWANAMKE MNAHESABIKA NI BABA WA WATOTO 9 MAREHEMU.
NIMESIKITIKA SANA, ILA NAKUPA POLE SANA MAANA UNAONESHA HAUJAKUWA KIAKILI.
Utakuta na ww upo kwenye nyumba za ibada unasali (sijui unasali nini). KWELI NYANI HAONI KUNDURE LAKE
 
Wala sijali kupigwa mawe
Tatizo imenikaa akilin all those years
Najua iko siku nitashare na baba watoto,sijui ataichukuliaje bt i will tell him one day.
Achana na huo ujinga,MUNGU alishakusamehe ndio maana akakupa na watoto pia,MUNGU akikusamehe maanake unakuwa kama vile haujawai kutenda dhambi,sasa ukienda kumwambia mumeo unaenda kuifufua dhambi tena na kujitafutia matatizo ya sio na laazma,kuna vitu hata MUNGU mwenyewe hapendi tuvijue kuhusu watu fulani cause anajua tutakuwa very judgemental about them,jisamehee haki yako haitokani na matendo yako bali ni huruma ya MUNGU
 
Safi sana mkuu, umeiva kwenye Guidance and counseling...
Kimsingi nikwamba wanaume wapole hawapendwi na wanawake wengi, madada walio wengi wanapenda mabrazamen wanaonekana wajanja, wenye sagz etc.
Ila ukiwauliza wanawake wengi watakuambiwa wanawapenda wanaume wapole, waminifu na wacha Mungu ila ukija kwenye matendo wanawapenda sana mabrazameni, wakorofi na wasaliti maana SIKU ZOTE MWANAMKE NI MTU WA KUTAABIKA KWENYE MAHUSIANO NA ANAPENDA KASHIKASHI. Kwenye mapenzi kama mwanaume hautakiwi umpende mwanamke, kuwa na mwanamke mmoja, mpole na muaminifu maana akijua lazima atakusumbua sana.
 
Kwahiyo ww ni msafi kuliko huyo mwanamke? Kwahiyo ulitegemea asiolewe ili nafsi yako ifurahi? kwahiyo hana sifa kabisa za kuolewa? basi na ww hupaswi kuoa na hata huyo mwanamke uliyenaye hapaswi kuwa na ww sbb ww ni muuaji. Unapiga mimba 9 halafu unajisifu kuwa huyo mwanamke hafai. Kwahiyo hizo mimba alikuwa anajipa yeye? Hao watoto ni wako na hapo WW NA HUYO MWANAMKE MNAHESABIKA NI BABA WA WATOTO 9 MAREHEMU.
NIMESIKITIKA SANA, ILA NAKUPA POLE SANA MAANA UNAONESHA HAUJAKUWA KIAKILI.
Utakuta na ww upo kwenye nyumba za ibada unasali (sijui unasali nini). KWELI NYANI HAONI KUNDURE LAKE
Mkuu unaamini hiyo comment uwezo wa kumpa mwanamke mimba 9 autoe wapi?
 
Cousin wangu tumeishi naye nyumbani... siku za siku akampa mimba mtoto wa mzee mkali mimba akiwa shule.

Akaenda kutafuta dawa akapewa...akapewa hakuna ajuaye zinavyotumika. Alimchukua msichana akamwingiiza hii guest iliyopo Shivas upande wa kushoto. Akamnyesha bhana....

Katoto kakaanza kupiga kelele tumbo linataka kupasuka limekuwa la moto saana. Akakimbia akamwacha akajua anafariki... nakutana naye anahema nikamwambia twende...

Kufika msichana anavunja jasho alimfungia chumbani kuna joto hajampa hata chakula kipindi cha kummezesha dawa..inshort ilibaki kidogo afariki... alikaa hapo siku tatu... sijui waliimalizaje kesi na baba yake ila alikaa central masaa 12.

Kademu nako hakakumwaachaa kakazidi kumpenda.
Hiyo gesti inaitwa monjes
 
Hapo hapo..utakuwa mteja mkubwa.

Unakata kushoto ukiiangalia shivas.
Hahaha napakumbuka Sana Hapo. Kuna msala ulinipataga pale baada ya kutoka shivaz sitasahau mademu wa r nyoko
 
We ni muwaji imeandikwa msiziue nafsi za watoto wenu kwa kuogopa kula nao aisee umeshatubia kwanza?
 
Inawezekana mzazi au mlezi wako hakuwahi kukaa na wewe akakupa elimu kwa kina juu ya tahadhari za kuzingatia hasa unapokuwa umevunja ungo, hili jambo wazazi / walezi wengi tunafeli sana.

Mtoto /watoto wanapokua ni vema kukaa nao na kuwaelimisha kwa kina sana juu ya mabadiliko ya ukuaji wa miili yao na utendaji wa viungo vyao vya uzazi.

Unakuta mzazi / mlezi unaogopeka kwa watoto kiasi ambacho hawawezi hata kuelezea shida zao. Mathalani mtoto wa kike anapovunja ungo anafikia hatua ya kujificha na kuficha hali hiyo kwa hisia kwamba ataonekana hafai ( kuvunja ungo / kubalehe ) sio dhambi ni jambo la kawaida kwa binadamu.

Mzazi anafanya kukisia kisia tu kwamba bintiye au kijana wake kakomaa, matokeo yake anabaki tu kumwelezea maneno ya vitisho kama vile; ukikutana na mwanaume utapata mimba (how??????.....mfafanulie mtoto aelewe kila kitu kwa uwazi) au ukitembea na mwanaume wazazi wako wanakufa (really!!!!!...... seriously!!!!!!!......)


Wazazi na walezi tuseme na watoto, ikishindikana tutumie hata marafiki zetu tunaowaamini.
Shida hapa sio wazazi kuwaelimisha watto wao shida ni kipindi hiki huwa ni kigumu kuliko maelzo kwa mabint na vijana hata umwambie vipi inapofika wakat wa Abdallah kichwa wazi kusumbua hawasikii elimu yoyote utakayo wapa
 
Ellimu kwa watoto ni ya muhimu...vunja barrier uloweka kati yako na watoto..le them knw the importants tips.....kuna wanaume wanaambia wake zao..ongea na hawa watoto wakko wa kike juu ya masuala flani hv.....wachen hizo tabia....kaa mwenyewe baba eleza wanao wa kike...nakuambia ...kati yako na mke wako mkieleza watoto....wata consider wat theey hear from dad than mom.....le them be ur friends ratjer than enemies......watakupenda..watasikia unachosema....Msimwache Mungu nyuma.
 
Jirani yangu kijana wake alifaulu kwenda form V ya bweni na ni ya wavulana watupu. Ni moja ya shule za vipaji inasifika sana.

Headmaster na familia yake wanaishi ndani ya shule. Headmaster ana binti mrembo anasoma form IV day.

Huyu mtoto wa jirani yangu sijui alimuimbisha nini yule binti, binti akawa anamuingiza chumbani kwake usiku. Siku moja saa kumi na moja asubuhi anakutana na headmaster kwenye corridor.

Kesi ilifika nyumbani, wazazi waliitwa. Yule headmaster alivyokuwa mkali hakutegemea kitendo kile kifanyike chini ya pua yake.
Wadada mnaujasiri sana kuwaingiza vidume ndani hamjambo
 
Safi sana mkuu, umeiva kwenye Guidance and counseling...


Kimsingi nikwamba wanaume wapole hawapendwi na wanawake wengi, madada walio wengi wanapenda mabrazamen wanaonekana wajanja, wenye sagz etc.
shukrani mkuu
huo ndo ukweli japo itachukuwa miaka wanawakekuja kushituka
 
Kwani mie nilimwambia nataka anioe,angenionyesha ushirikiano huenda nisingepotoshwa kufanya niliyofanya,ingawa hilo halijustify niliyofanya
nimefurahi sana.. kufuatilia comment zako kwamba unajutia kiukweli huku ukijua kabisa hakuna justification chini ya jua ya wewe kufanya hivyo.

Mungu ni mwema. Sasa kwangu pia ni miaka mitano nilipata ujauzito nikiwa chuo sasa kumwambia jamaa akasema tutoe aisee nikamwambia mama alisema nikitoa nitakufa.. jamaa alikuwa ndio mpenzi wangu wa kwanza. sikuwa najua 'a wala b' nakiri nilikuwa na ushamba fulani hivi kuhusu mapenzi maana nilikuwa namuamini sana sana. sasa niligoma kutoa na nikampa tahadhari kuwa nitatunza mimba ila nikitoka leba uelekeo ni kwao nitamwachia mama yake mtoto, nikaendelee na maisha yangu. miezi 8 baadae nilijifungua mtoto mzuuuuuuri wa kiume. Aiseee tulifunga ndoa na hadi sasa anamshukuru mungu kwa kutoepusha na uuaji ule..!
 
Nakumbuka kuna mdogo wangu wakike alibeba alipomaliza2 kidato cha4, nilichukia sana yaani nilihisi kama vile nimtoto wangu alafu hata bwana aliyempa ujauzito hana mbele wala nyuma, nikaanza kumshawishi aitoe hiyo mimba ila aligoma kabisa akavumilia mpaka akajifungua mtoto wakike ila sasa siri yangu tu yaani najisikiaga vibaya sana nikimuonaga mtoto wake yaani najiambiaga mama yake angesikilizaga ushauri wangu uenda asingekuwepo duniani yaani in short huwa inaniumiza sana yaani najionaga nimkosaji sana!!
pole mkuu. usiendelee kujisikia vibaya hayo ni madhaifu katika ubinadamu wetu. mshukuru Mungu kwakua hakumtoa huyo mtoto pia jitahidi kumpenda sana huyo mtoto ili uwe ma amani.
[QOUTE]
 
Kawaid ktk maisha pole sana wapo watakoukoponda lakini mama wa marehemu tuko wengi sana humuu
 
Back
Top Bottom