Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,377
AsanteHIV, ninaye jamaa yangu ana zaidi ya 25 yrs since he was first diagnosed with HIV. Nowadays it is no longer a threat as long as you don't smoke and drink and keep on using the protection during "kale kamchezo" while using ARV drugs.
Kuna watu nchi hii wanataka kutuharibia; wanawaita hao wanaotengeneza ARV drugs: Mabeberu, siku wakigoma kuleta hizo dawa, tumekwisha.
Tunaenda tu mabaharia hatujawahi kuogopa ngwengwe.....