Nibanduke niache bebi wangu wamnyanyapae...alipo nipooWewe hapa leo hubanduki
ila pambana tu huko pm




Huo udada unataka kuninyima nini?hahahaaa daah pisi zimekuogopa?
si uziambie ukweli tu mi ni dadaako..



Wewe ndo kidume sasa..Nibanduke niache bebi wangu wamnyanyapae...alipo nipoo![]()

Huo udada unataka kuninyima nini?
We demu wangu bana![]()



Wallh hupati tena pisi kali humu ndani
Miaka michache iliyopita ulimtusi alipoomba ushauri kuwa anapenda ngono kupita kawaida.Nakuhakikishia, hao ni wakupuuza kabisa.
KAMA KUNA MWANAJF ANAYETAKIWA KUPEWA TUZO YA HESHIMA NA KUTUKUKA BASI Hornet ANAFAA 100%.
Hiki kitendo chake tu mbele ya jamii ambayo inamjua kama "Hornet" kinaenda kuokoa watu wengi sana humu ndani.




Akili za wanawake unazijua vizurii?Wallh hupati tena pisi kali humu ndani



Nikichoka naomba akoroge glucose anipe tuendelee....mpaka kielewekeeWewe ndo kidume sasa..
Hakuna kuachana![]()


shida nini?Miaka michache iliyopita ulimtusi alipoomba ushauri kuwa anapenda ngono kupita kawaida.
Ungemshauri leo usingesikitika, badala yake ulimbeza.
Ninaposema wabongo wengi ni wanafiki ninamaanisha.
Wote mnajibaraguza humu nimesoma posts zenu za 2017 sijaamini, ushahidi mmoja
Extrovert
Wangari Maathai View attachment 1568516
Msalimiw p aisee....au alishahama?hivi bangi haujaachaga tu
we kama mamdogo tayari nini dada
Wanaume au madalali?
Mimi mwanaume wangu mzuri bwana![]()
umemuumbua vilivyo, watu wanafiki sana wakija hapa ndio wa kwanza mara pole mara sijui nini, ukifukua kaburi uko nyuma ni wa se nge na wanafiki wakutupwa, ndio walikua wa kwanza kum beza HornetMiaka michache iliyopita ulimtusi alipoomba ushauri kuwa anapenda ngono kupita kawaida.
Ungemshauri leo usingesikitika, badala yake ulimbeza.
Ninaposema wabongo wengi ni wanafiki ninamaanisha.
Wote mnajibaraguza humu nimesoma posts zenu za 2017 sijaamini, ushahidi mmoja
Extrovert
Wangari Maathai View attachment 1568516
Ahsante Cole.Kwahiyo sisi wengine wabaya, nakusalimu amu
Mpe pole auntyUnaweza kukisaga kinakuwa unga unatia maji, unasereresha kooni
Naonaga my aunt anafanya hivo