Oh safi mama me nilifikiri umeambiwa wewe wakt najua unaye ndani. hiyo post kama wimbo hivi. Back to ze mada, nadhani hyo dada anapaswa kuwa anajiupdate mwenyewe automatically kama antivirus. Pengine amekaa muda mrefu na huyo bwana na hajawahi kubadili style yake ya mapenzi (maisha) may be she is still living in the past na hii imempelekea huyo bwana kuelekeaa kuchoka. Nadhani nyie watu wa ndoa mnafahamu zaidi ni kwa jinsi gani mnafanya ili muendelee kupendana.
I don't mean that she has to me artificial no, it is not even among my options what i mean is that she can be natural but up to date. Na anapaswa kuangalia mienendo ya huyo bwana manake yawezekana ashapata mwingine mweye kuyajua na imemfanya acompee na yeye na kuona "she is old and lives in the past" kazi mnayo wanandoa!
from what i see kuna ule uzee wa nafsi (sio sura wala mwili)......
If you behave like gabriel, the nun, then you are surely older than yourself....
Aseee nakutafuta!:A S angry:
mmh huwa hawana jema wanaume hasa akishakuchoka inawezekeana tena siku hiyo ndo alikuwa bomba kuliko sk zote ndo kaambiwa hivyo,huyo kapata mwingine basi hawezi kumwambia liveOna sasa. Mdada wa watu cku hiyo makeup haijakaa vizuri, kaambiwa ukweli, unamshauri amuache mpenzi wake. Utalaumiwa Rose. Mimi namshauri abadili muonekano. awe kama cku aliyoambiwa "you look sooooo bbbbeautfull"