My Boyfriend Said I Look Old

Girls bwana.. Mnapenda sana kudanganywa. You look good, prety, beautfull, nk. Akikuambia the other way round, hata kama ndo ukweli unalalamika.

sure mdoe, kama kweli she loooks old what is wrong with telling someone the truth? to me, ukiniambia ukweli nafurahi kwasababu kama inawezekana nafanya mabadiliko. afterall if you claim you are young, beutiful etc then why bother? take easy kama umekereka na kauli hiyo chapa lapa anza mbele ambako u think atakusifia kwamba you look young, sweet 16!!!!! as for me looking young or old doest matter a lot, what I care is true love!
 
This is a very depressing statement to tell someone,

especially coming from someone you are intimate with

i am so depressed this morning i dont think i can work

i am only 24 young ,beatiful also i love styles

what do you guys think?:sad:

Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart):cool:

tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli, mnataka muambiwe nyie ni young wkt mna-look na ku-behave old.
 
saa nyingine waume wanasema vitu tu but they dont mean any thing....if ur only 24 u have got another 66 years to look old lol . so is 24+66.. :smile:

hahaha ama ngoja nimchunguze kidogo inawezekana waligombana jamaa akaona ili amuumize amwambie umezeeka ?
ila na nyie mtu unampenda kwa nini unamtesa kimawazo?
 
This is a very depressing statement to tell someone,

especially coming from someone you are intimate with

i am so depressed this morning i dont think i can work

i am only 24 young ,beatiful also i love styles

what do you guys think?:sad:

Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart):cool:
FL naona umeweka pingamizi mapema kuepuka PM's
Nazaidi mlengwa kama amezeeka niukweli labda jamaa kazoea tenagers!hivyo lazima amuone kikongwe zaidi mimi nimechoka wangu nipe contact tunaweza tukafanya nice and wnder!pls FL...need it!
 
amuulize kaka ivi ujui km umefanana na mugabe?
una undugu na masud masud?tatizo nina penda wanaume wanaotisha bt kwa vile haujskii tena poa nasepa naenda kwa wanaume kweli mahand sam!!!!
byeeeeee

heheheheh Rose1980 una vituko wewe ukimwambia hivo unaweza shangaa anakurushia ngumi kama WWE undertaker na Kean
 
FL naona umeweka pingamizi mapema kuepuka PM's
Nazaidi mlengwa kama amezeeka niukweli labda jamaa kazoea tenagers!hivyo lazima amuone kikongwe zaidi mimi nimechoka wangu nipe contact tunaweza tukafanya nice and wnder!pls FL...need it!

Kakakiiza wewe ndani ya mwaka mmoja unawachoka hilo ni tatizo sikupi Contact :nono::smile:
 
This is a very depressing statement to tell someone,

especially coming from someone you are intimate with

i am so depressed this morning i dont think i can work

i am only 24 young ,beatiful also i love styles

what do you guys think?:sad:

...Spoilt brat!
 
loloooo .....mapenzi bwana ni kama hiiiziiiii bongoflva zetu once u listean song for the fist day loloooo yani unaweza weka hata mara 1000 times ila tu ikija mpya inachakachua ile ya mwanzoo,so bi dada take time na wewe ujipange bwana Bila huyo kaka mapenzi yaawezekana just be :happy:
 
Kakakiiza wewe ndani ya mwaka mmoja unawachoka hilo ni tatizo sikupi Contact <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/nono.gif" border="0" alt="" title="Nono" smilieid="233" class="inlineimg" /><img src="images/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="60" class="inlineimg" />
Mkataba usihofu hiyo ndani ya mwaka kunavitu vingi vimejificha!FL bring the contact please is promise!
 
Alisema umezeeka sehemu gani? ni vizuri kujua maana kuna sehemu huwa hazizeeki.
 
This is a very depressing statement to tell someone,

especially coming from someone you are intimate with

i am so depressed this morning i dont think i can work

i am only 24 young ,beatiful also i love styles

what do you guys think?:sad:

Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart):cool:

I think You should ask him kitu gani kinakufanya uonekane mzee, jaribu kujua ukweli dada yangu pengine ulivaa gauni au nywele zilikua zimekaa vibaya ndio akasema unaonekana mzee. Some man wanapata turn off kwa kitu kidogo, Mind you fashion and Trends can be faux...sio kila unachokiona online, magazetini au kwenye mannequin kitaonekana kizuri kwenye mwili wako.
 
hahaha ama ngoja nimchunguze kidogo inawezekana waligombana jamaa akaona ili amuumize amwambie umezeeka ?
ila na nyie mtu unampenda kwa nini unamtesa kimawazo?

saa nyingine watu tunaporoka tu tukiwa na hasira.......... i mean we say things we dont mean it at all..... lakini depends alikuwa kwenye situation gani????? i mean alikuwa amekasirika, amechoka ama vipi....??
 
This is a very depressing statement to tell someone,

especially coming from someone you are intimate with

i am so depressed this morning i dont think i can work

i am only 24 young ,beatiful also i love styles

what do you guys think?:sad:

Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart):cool:

FL naona msisitizo hapo chini hahah ....... lakini na nyie muache kututega ... mimi huwa nakuwa honest tu nasema ukweli kama hujapendeza .... na kwambia mi sijaipenda hiyo ... but it is funny maana saa nyingine our comments don't seem to count especially kama ulishaamua kwamba mi leo natoaka na hili gauni au hiki kimin ......... si ndo zako na wewe FL ...:wink2:
 
Huyu Binti baada ya kazi jioni kamkuta BF kajipumzika baada ya kutulia alimuuliza ,kama yale aliyoongea asubuhi alikuwa anamaanisha akasema ndio ujana wa Binti unazidi kupotea .mdada anasema afanyeje kama ni kujipenda anajipenda sana tu
kweli mapenzi kizunguzungu ..:tape::tape::tape::tape:
 
Oh safi mama me nilifikiri umeambiwa wewe wakt najua unaye ndani. hiyo post kama wimbo hivi. Back to ze mada, nadhani hyo dada anapaswa kuwa anajiupdate mwenyewe automatically kama antivirus. Pengine amekaa muda mrefu na huyo bwana na hajawahi kubadili style yake ya mapenzi (maisha) may be she is still living in the past na hii imempelekea huyo bwana kuelekeaa kuchoka. Nadhani nyie watu wa ndoa mnafahamu zaidi ni kwa jinsi gani mnafanya ili muendelee kupendana.

I don't mean that she has to me artificial no, it is not even among my options what i mean is that she can be natural but up to date. Na anapaswa kuangalia mienendo ya huyo bwana manake yawezekana ashapata mwingine mweye kuyajua na imemfanya acompee na yeye na kuona "she is old and lives in the past" kazi mnayo wanandoa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom