My Boyfriend Said I Look Old

Sas kam mlikua mna meet mchan na ck hy cjui ndio mli lala pa1 au alikuj kwak kabla hujaamka ndio akaona hali ya halic y uso wak unatak acsem. Kam old old 2. Ila kumbk old iz gold
 
Oh safi mama me nilifikiri umeambiwa wewe wakt najua unaye ndani. hiyo post kama wimbo hivi. Back to ze mada, nadhani hyo dada anapaswa kuwa anajiupdate mwenyewe automatically kama antivirus. Pengine amekaa muda mrefu na huyo bwana na hajawahi kubadili style yake ya mapenzi (maisha) may be she is still living in the past na hii imempelekea huyo bwana kuelekeaa kuchoka. Nadhani nyie watu wa ndoa mnafahamu zaidi ni kwa jinsi gani mnafanya ili muendelee kupendana.

I don't mean that she has to me artificial no, it is not even among my options what i mean is that she can be natural but up to date. Na anapaswa kuangalia mienendo ya huyo bwana manake yawezekana ashapata mwingine mweye kuyajua na imemfanya acompee na yeye na kuona "she is old and lives in the past" kazi mnayo wanandoa!

ha ha ha ha ha ha ha umenifurahisha Genekai
 
Ngoja Uchaguzi uiishe then i will be back dah niliisha pasahau nyumbani kwangu
 
From what i see kuna ule uzee wa nafsi (sio sura wala mwili)......
If you behave like Gabriella, the nun, then you are surely older than yourself....
 
Hivi hapa mnachakachua nini?

Njooni hapa Kawe Ukwamani tumzalishe Halima wetu. Atuzalie watoto kibao, waje wawe madiwani wetu.

Kwaherini wapwaz...ntapotea kidogo....niko bize na Halima, mtanisahau kama nimekufa vile.:tape::tape::tape:
 
Ona sasa. Mdada wa watu cku hiyo makeup haijakaa vizuri, kaambiwa ukweli, unamshauri amuache mpenzi wake. Utalaumiwa Rose. Mimi namshauri abadili muonekano. awe kama cku aliyoambiwa "you look sooooo bbbbeautfull"
mmh huwa hawana jema wanaume hasa akishakuchoka inawezekeana tena siku hiyo ndo alikuwa bomba kuliko sk zote ndo kaambiwa hivyo,huyo kapata mwingine basi hawezi kumwambia live
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom