My Boss Huyu

My Boss Huyu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
IMG-20161011-WA0009[1].jpg
 
mzima kweli huyo? au ndio mambo ya cha malawi
 
Unaweza mlaumu mtu kumbe hajui matumizi yake [emoji87] [emoji87]
 
Its how you tune your mind
Wote mliocoment hapa hamjielewi.
0p

Hivi hiyo pot kabla haijatumika inatofauti yoyote na bakuli ya plastic?

Hicho anachokula hapo ni chakula na siyo mavi
 
Assuming chombo hicho ni kipya na hakijatumika kwa matumizi yake, je, lipo tatizo????? I am just thinking aloud...
Mhhhh kwahiyo ni sawa kwenda kula chakula juu ya sink jipya la choo???? nonesense
 
Pengine hajui matumizi yake so nikawaida!

Kuna nchi flani nilishawah kwenda nikafikia hotel flani! Wakati wa kwenda kuoga kule bafuni nilitafuta bomba la maji sikuliona kidogo nilale bila kuoga!!


We ambae ulifika mjini kwa hisani za wana ukoo ndiyo utamuona huyo dada ni mshamba!
 
Wote mliocoment hapa hamjielewi.
0p

Hivi hiyo pot kabla haijatumika inatofauti yoyote na bakuli ya plastic?

Hicho anachokula hapo ni chakula na siyo mavi
Af we ni jiniaz ujue[emoji23]
 
Assuming chombo hicho ni kipya na hakijatumika kwa matumizi yake, je, lipo tatizo????? I am just thinking aloud...
Tatizo lipo. Hivi unafikiri ni sawa kuchukua condom ambayo haijatumika na kuifanya baloon?!
 
Back
Top Bottom