My Best 5 Comedians

nakubaliana na wewe katika 1 na 4
 
Sijafanikiwa kumwelewa Kevin Hart.

Lakini nikiri wengi wa black comedians wa Marekani sijawaelewa hasa lugha yao.... Katy na Kevin muda mwingi sisikii wanachokiongea. Na Nigerians pia siwasikii wanachokisema.
Wanaongea chap
 
1. George Carlin (The GOAT)
2. Dave Chappelle
3. Russell Peters
4. Paul Mooney
5. Eddie Griffin
Honourable mentions
DL Hughley, Aries Spears, Lewis Black.
 
1. Dave Chappelle
2.Ralphie May (RIP)
3.Patrice O'Neil (RIP)
4.Corey Holcomb.

Nenda kasikilize hizo vichwa, utanishukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…