My Best 5 Comedians

mkuu niambie kuhusu jamaa anaitwa Max Amini. Jamaa ana punchline nzuri
Yupo vizuri ila anatumia sana refference za mizagamuo kwenye punchline zake yeye pamoja na russel peters na adrew schulz hicho ndo kinaboa muda mwingine
 
Yupo vizuri ila anatumia sana refference za mizagamuo kwenye punchline zake yeye pamoja na russel peters na adrew schulz hicho ndo kinaboa muda mwingine
Mtu kama Trevor utamsikiliza na mkeo, mama, baba na watoto wako and you're still comfortable.
 
Namba 6 Makongoro Nyerere .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…