My Apology to JamiiForums, by Chris Lukosi

Status
Not open for further replies.
Sawa mkuu ila usirudie tena kupiga kile kitu kikali sana we si umeona kilichomtokea ngwea
 
hiyo ichukuliwe kuwa tabia yako binafsi haihusiani na uhehe wahehe siyo wazushi kama wewe kuhusisha tabia binafsi na uhehe ni kuzalilisha uhehe.
 
Mkuu my apologise,

Daniel Nsanzugwanko alikuwa kiongozi wa kitaifa wa Chadema, akahamia CCM lakini ameendelea kuheshimiana na wana Chadema huku akipambana nao kiitikadi. Amejitunzia heshima yake na utu wake.

Dr. Aman Walid Kabourou alikuwa Kiongozi wa Taifa wa Chadema na Mbunge wa kwanza wa kuchaguliwa kwa tiketi ya Chadema, amehamia CCM ameendelea kuonyesha uungwana wake, na anafanya siasa za kistaarabu.

Kwenye siasa huwezi kujijenga nakutengeneza mvuto kwa kuwa mropokaji na kuendekeza kushambulia watu. Mtu mwema yeyote hawezi kutumia mtaji wa kuchafuana kujijenga.

Jitambue kama unavyoandika kwenye threads zako.
 
Mkuu Chris Lukosi, tembea kwa tahadhari CCM wanakutumia kisha wanakutupa, badili mawazo ndugu yangu anza kujifunza siasa za kistaarabu, mchezo umebadilika soma mchezo!
 
kitendo cha kuomba msamaha ni kuwa inakiri makosa yako na kuapa kutokurudia tena hivyo yetu sisi ni macho tu kuanzia leo na siku zijazo.
 
Wewe mhehe wa kuchongwa, wahehe ni watu shupavu ambao huwa wanasimamia ideology za kimaendeleo. Huwezi kuwaona wakijihusisha katika majungu na kutafuta cheap popularity kam wewe.

Nimeishi na kufanya kazi na wahehe wengi, lakini sijawahi ona tabia kama za kwako ( na hapa ni kwenye mtandao tu...je uhalisia si ni balaa zaidi!). Hadi sasa umeshagaragaza sana personality yako kiasi kwamba haiwezi kunyanyuka tena hata ungeomba apology mara mia tisa tisini na tisa
 
"My apologise"....na anaishi London kwa Malkia!
Mkuu sikatai nimekosea lugha hapo.
Lakini ujue lugha zangu ni kama ifuatavyo
1. KIHEHE
2. KISWAHILI
3. KIINGEREZA
4. KITSWANA
5. KIFIPA
6. KINGONI.
7. KINYAKYUSA
8. KISAFWA
9. KIHAYA
10. KIHA

Hapo ndhani utakuwa umenielewa. Hivyo badala ya kunicheka ulitakiwa unikosoe, ningekosea kihehe hapo una haki ya kunicheka kwani ndio lugha ya baba na mama yangu, na ni lugha ya kwanza kwenye familia yangu. Mimi nim muhehe 100%
 
Mkuu sikatai nimekosea lugha hapo.
Lakini ujue lugha zangu ni kama ifuatavyo
1. KIHEHE
2. KISWAHILI
3. KIINGEREZA
4. KITSWANA
5. KIFIPA
6. KINGONI.
7. KINYAKYUSA
8. KISAFWA
9. KIHAYA
10. KIHA

Hapo ndhani utakuwa umenielewa. Hivyo badala ya kunicheka ulitakiwa unikosoe, ningekosea kihehe hapo una haki ya kunicheka kwani ndio lugha ya baba na mama yangu, na ni lugha ya kwanza kwenye familia yangu. Mimi nim muhehe 100%
Hakuna lugha inayoitwa KIINGEREZA ... Very poor indeed.. C est table? Tchao!
 
Toba ya Kweli lazima iambatane na Malipizo .Kauli na jinsi unavyojiamini katika kutika kutubu kwako hakuonyeshi nia ya toba na wala hayo unayo andika hayatoki moyoni bada una kiburi cha majibizano.
Usije kuwa kama Mzee wa upako
 
Hakuna lugha inayoitwa KIINGEREZA ... Very poor indeed.. C est table? Tchao!
Ulitaka niandike kiinglish au?
Mkuu unanikumbusha mlevi fulani wa ulanzi yeye kila akilewa ni kujisifu tun kuwa anaongea kiingereza kuliko Nyerere lakini koti lake chwa na vumbi tupu hana hata kiatu

JIVUNIE LUGHA YAKO KWANZA. naweza kuwa siongei kiingereza cha kjisomi kama wewe lakini najua kiingereza cha kutengenezea hela
 
I do apologize to you C Lukosi and I hope you will take my sincerely apology with open hands (Let by gone and be by gone). Regardless of our deference in ideologies, locations and Social status, I hope we will come together to build our new Tanganyika. Viva Tanganyika
 
Nimeyasoma maelezo yako yote na nililoling'amua ni kuwa hata kama umeomba "msamaha" inaonesha you were not serious. Maelezo yanaonesha kiburi ndani yake. Take it from me!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom