My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

Kwa hili nakubaliana nawe, innocent until proven guilty beyond any reasonable doubt. haya mawasiliano ya simu yanaweza pia kuwa manipulated, sio kielelezo cha msingi kwa wanaojuwa network zinazoweza kuwa manipulated. Hata ukisoma zile alleged msg from Kapuya utaona ni uzushi mkubwa, nafikiri freedom of speech imekuwa abused kwa faida ya wachache na dirty politics.
Mbunge na Waziri mstaafu anayekutwa kwenye mazingira ya namna hii

attachment.php


Halafua anaunganishwa na tuhuma za namna hii, naelekea kuamini kuwa ni kweli.

Angalia mkono wa kushoto wa Mheshimiwa Mbunge na waziri wetu wa zamani.

Ana kazi kubwa ya kujisafisha.
 
- mimi nikiwa mwana ccm na kiongozi pia wa ccm ngazi ya taifa na blogger, naomba kusimama mbele ya mheshimiwa mbunge kapuya na taifa zima la tanzania pamoja na wasomaji wangu wote wa blog na meble ya mungu, kukubali makosa na kuomba radhi, kwake na kwa mungu wangu zaidi. Mimi ni mmoja wa watu wa kwanza kuamini hadithi iliyojitokeza hivi karibuni kwamba mheshimiwa kapuya amembaka na kumuambukiza ukimwi na kutishia kumuua msichana wa miaka 14.

- leo ninaomba kusimama hapa na kusema kwamba hii habari ni uongo na ni uzushi wa hali ya juu sana uliotengeenzwa na msichana mzoefu wa uzushi ambaye kwanza si kweli kwamba ni mwanafunzi, pili ni mtumzima mwenye mtoto tayari hata kabla hajakutana na mh. Kapuya, pia ni muongo na mzushi mzoefu aliyewahi kuwadanganya pamoja na mkurugenzi wa crdb bank, pamoja na kuidanganya tamwa ambayo iliishia kumuripoti polisi na kuishia kwake kukaa rumande segerea kwa muda mrefu sana.

- kwa nini niliaiamini hii hadithi ni kwamba kuna siku mimi binafsi tulikuwa tumekaa faragha na viongozi wengine watatu wakubwa wa taifa ambapo mbunge mmoja aliyedai kuijua kwa undani hii hadithi na kuhusiaka nayo, alianza kutuelezea hii hadithi kwa kutmia details kubwa kubwa sana, binafsi nilikuwa ninamuamini sana yule mbunge mpaka leo nilipothibitisha kwa 100% kwamba hii hadithi haiko sawa either na yeye ni muongo wa makusudi mwenye nia mbaya na mh. Kapuya au na yeye alidanganywa na huyu msichana, ambaye jina lake kamili ni hamida as opposed na majina mengi ya uongo ambayo amekuwa akiyatumia kudanganyia watu.

- ninaomba kuwa wa kwanza kubeba huu msalaba, najua kwamba sio rahisi kueleweka na wengi ambao tulishamuhukumu mh. Kapuya, lakini ukweli ni kwamba ni hadithi ya kutunga iliyoutngwa na msichana mmoja aliyebobea katika uzushi na uongo wa hali ya juu sana. Majuzi waziri mmoja ninayemuamini sana katika serikali ya sasa alinishitua kwamba hii hadithi ni ya uongo niiifuatilie tena, lakini sikuamuamini mpaka leo asubuhi sana nilipopigia sim na gazeti moja maarufu sana la udaku, walioniambia kwamba hii habari si ya kweli na kwamba wanaye huyu msichana pale ofisini kwao, toka asubuhi mpaka sasa nimekuwa kwenye uhakiki wa hii ishu, na sasa ninasema wazi na tena kwamba:-

ninamuomba radhi sana mh. Kapuya na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba wale wote tuliohusika na kumhukumu tutakubali mapungufu yetu kama wanadamu na kumuungamia chini mungu wetu, ni kweli mh. Kapuya alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyu binti lakini ya hiari sio kama iliyoelezwa na si kweli kwamba huyu binti ni mwanafunzi, hapana ana mtoto tayari na pia alishawahi kulidanganya jeshi la polisi huko nyuma.

- wale wote tunahusika na media tujifunze tena na hili fundisho, tujitahidi kuwa waadilifu na kufanya utafiti wa kina kabla ya kuruka na hadithi nzito kama hii ambayo inaweza kummaliza mwananchi mwenzetu, au kiongozi bila sababu za msingi wala ukweli.

- again ni matumaini yangu kwamba wale tuliohusika na kumhukumu mheshimiwa kapuya, tutajitokeza tena in the public na kumuomba radhi na msamaha.

- mungu ibariki tanzania na kidumu chama cha mapinduzi!!

huu ni upumbavu kwa hiyo unaunga mkono tabia ya viongozi km kapuya ambaye ni public figure kufanya uasherati nje ya ndoa yake kisha apande kwenye majukwaa kuhamasisha wananchi waepuke ukimwi. Kwahiyo hata mke wake wa ndoa na sisi wananchi tumuombe radhi kwa uchafu huu na usaliti kwa mke na watoto wake
 
Unajua ndugu yangu @w.j. malecela hata kama una hoja ya msingi lakini bado hujajibu hoja za msingi ambazo Prof Kapuya anatuhumiwa.

1.0 Alijuanaje na yule mtoto. Kwa hiyo unataka kutumbia kuanzia diwani wa CCM aliyempeleka kwa Kapuya alianza kudanganywa? Na kama Kapuya alimuona mara moja au mbili kisha akatembea nae kwa nini Kapuya asionekane ni bazazi kulingana na umwi wa mtoto huyo hata kama amezaa???

2.0 Hujagusia kabisa suala la namba ya simu na vitisho anavyodaiwa Kapuya kutoa kupitia sms mpaka akakiri kuwa message zile ni feki na zimetoka kwenye mtambo ambao Tanzania Daima waliusema hapo awali umenunuliwa na CCM kwa ajili ya kazi hiyo ya kuchafuana!!

3.0 Hujagusia kuhusu tamko la mwansheria wake kupingana na mwenyewe Kapuya? Wewe huoni kuna kitu kimejificha ila Kapuya anajaribu kutumia mbinu moja baada ya nyingine kuonekana imeshindikana ili kujinusuru na suala hili ili lionekane ni uongo?
 
Yaani hapa ni uthibotisho tu kuwa ccm wameoza,tuseme Kwa vyovyote vile je no halali yeye kuwa na mahusiano na mtoto huyo?,ata kama ana mtoto mwenzake?,sheria ya SOSPA 1998 inasemaje,je mheshimiwa hapo hajabaka amebaka?,usitetee ujinga wewe Kwa kisingizio cha kidumu ccm,alafu huyo ndio ameumbuka bado kuna mizee mingi tu ccm yenye tabia hii ndio maana mnaona rahisi tu na kutoa utetezi wa kijinga.Amna ata chembe ya aibu.
 
Willy mkuu,

Nasita sana kusema maoni yangu juu ya uandishi wako hapo juu. Alieandika hapa juu sio Willy tulieanza kumfahamu kimaandishi miaka ya 2005 kabla ya uchaguzi.

Umeandika kama mtu aliefuatwa na mh mbunge kuwa upo kwenye social media muda mrefu nisaidie.

1. Nakuelewa kuhusu huyo mtoto kutobakwa kwanza ukisoma story line unagundua hilo.

2. Elezea kuhusu matumizi ya simu. Namba alioikataaa wakili lakini kwenye taarifa ya mh mbunge ipo.

3. Elezea hela za kila mwezi alikua anatuma za nini.

4. Elezea gari aina na funguo zilizopelekwa polisi.

Mie nionavyo mh mbunge alikua anapiga akawa blackmailed akawa anatoa hela kuwatunza sasa anaona it is too much anataka kujichomoa. Inashindikana. Hiyo kubaka nina hakika sio kweli. Ukimwi sijui maana sijawapima.

Mkuu Le mutuz. Achana na hii story itazidi kukipunguzia hadhi yako. Prof hakupata washauri wazuri kuhusu hii story.

Yangu ni hayo tu mzee mwenzangu

Asalaam aleykum. Mpe pole Prof. Kuku wa kienyeji nomaaaa sana

Ndugu yangu Wewe umenena vema na yoote kabisa. Sintoshangaa kusikia kuwa Le Mutuz nae pia amelipwa na Kapuya kama PR Consultant wake kuja kufifisha (dilute) makali ya huu mjadala hapa JF. Maana toka huu mjadala uanze JF imekuwa mwiba mkali kwa Kapuya na hata amedai kuwa ataiburuta mahakamani.

Tanzania ya leo imejaa watu na wasomi wa ajabu kabisa. Ni mara nyingi tumeshuhudia watu wenye heshima zao katika jamii wakitumika kama PR kutetea jambo ambalo hata wao wenyewe wanaposisima mbele ya press conference ukiwaangalia machoni nafsi zao zinawasuta na wana taabika kutoa maelezo toshelezi juu ya mambo waliyotumwa kutetea/ au mtu wanaojaribu kumkingia kifua.

Kuna msemo kuwa 'Kila Mtanzania ana bei yake'. Na hata wale wanao thubutu kujipiga kifua kuwa 'hawana bei' kwenye ghadam nasi nao pia wana bei yao. Hivyo bado naamini Le Mutuz ana bei yake katika jambo hili. Na kama ni 'volunteer' tu ati amsadie Kapuya basi "Le Mutuz must be so naive to allow yourself to come this low"
 
- Mimi nikiwa Mwana CCM na Kiongozi pia wa CCM ngazi ya Taifa na Blogger, naomba kusimama mbele ya Mheshimiwa Mbunge Kapuya na Taifa zima la Tanzania pamoja na wasomaji wangu wote wa Blog na meble ya Mungu, kukubali makosa na kuomba radhi, kwake na kwa Mungu wangu zaidi. Mimi ni mmoja wa watu wa kwanza kuamini hadithi iliyojitokeza hivi karibuni kwamba Mheshimiwa Kapuya amembaka na kumuambukiza Ukimwi na kutishia kumuua msichana wa miaka 14.

- Leo ninaomba kusimama hapa na kusema kwamba hii habari ni uongo na ni uzushi wa hali ya juu sana uliotengeenzwa na msichana mzoefu wa uzushi ambaye kwanza si kweli kwamba ni Mwanafunzi, pili ni Mtumzima mwenye mtoto tayari hata kabla hajakutana na Mh. Kapuya, pia ni muongo na mzushi mzoefu aliyewahi kuwadanganya pamoja na Mkurugenzi wa CRDB Bank, pamoja na kuidanganya TAMWA ambayo iliishia kumuripoti polisi na kuishia kwake kukaa rumande Segerea kwa muda mrefu sana.

- Kwa nini niliaiamini hii hadithi ni kwamba kuna siku mimi binafsi tulikuwa tumekaa faragha na Viongozi wengine Watatu wakubwa wa Taifa ambapo mbunge mmoja aliyedai kuijua kwa undani hii hadithi na kuhusiaka nayo, alianza kutuelezea hii hadithi kwa kutmia details kubwa kubwa sana, binafsi nilikuwa ninamuamini sana yule mbunge mpaka leo nilipothibitisha kwa 100% kwamba hii hadithi haiko sawa either na yeye ni muongo wa makusudi mwenye nia mbaya na Mh. Kapuya au na yeye alidanganywa na huyu msichana, ambaye jina lake kamili ni Hamida as opposed na majina mengi ya uongo ambayo amekuwa akiyatumia kudanganyia watu.

- Ninaomba kuwa wa kwanza kubeba huu msalaba, najua kwamba sio rahisi kueleweka na wengi ambao tulishamuhukumu Mh. Kapuya, lakini ukweli ni kwamba ni hadithi ya kutunga iliyoutngwa na msichana mmoja aliyebobea katika uzushi na uongo wa hali ya juu sana. Majuzi Waziri mmoja ninayemuamini sana katika Serikali ya sasa alinishitua kwamba hii hadithi ni ya uongo niiifuatilie tena, lakini sikuamuamini mpaka leo asubuhi sana nilipopigia sim na gazeti moja maarufu sana la Udaku, walioniambia kwamba hii habari si ya kweli na kwamba wanaye huyu msichana pale ofisini kwao, toka asubuhi mpaka sasa nimekuwa kwenye uhakiki wa hii ishu, na sasa ninasema wazi na tena kwamba:-

NINAMUOMBA RADHI SANA MH. KAPUYA NA NI MATUMAINI YANGU MAKUBWA SANA KWAMBA WALE WOTE TULIOHUSIKA NA KUMHUKUMU TUTAKUBALI MAPUNGUFU YETU KAMA WANADAMU NA KUMUUNGAMIA CHINI MUNGU WETU, NI KWELI MH. KAPUYA ALIKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA HUYU BINTI LAKINI YA HIARI SIO KAMA ILIYOELEZWA NA SI KWELI KWAMBA HUYU BINTI NI MWANAFUNZI, HAPANA ANA MTOTO TAYARI NA PIA ALISHAWAHI KULIDANGANYA JESHI LA POLISI HUKO NYUMA.

- Wale wote tunahusika na media tujifunze tena na hili fundisho, tujitahidi kuwa waadilifu na kufanya utafiti wa kina kabla ya kuruka na hadithi nzito kama hii ambayo inaweza kummaliza mwananchi mwenzetu, au kiongozi bila sababu za msingi wala ukweli.

- AGAIN NI MATUMAINI YANGU KWAMBA WALE TULIOHUSIKA NA KUMHUKUMU MHESHIMIWA KAPUYA, TUTAJITOKEZA TENA IN THE PUBLIC NA KUMUOMBA RADHI NA MSAMAHA.

- MUNGU IBARIKI TANZANIA NA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Nawe mtunzi na mpotoshaji mzuri kuliko huyo Hamida. Kwa maelezo yako yaonyesha wazi kuwa nawe wamfahamu vizuri huyo Hamida. Na kwa saikolojia yangu ndogo ynipambambanulia kuwa nawe mwenyewe ni mteja kwake. Hata huyo Mkurugenzi wa CRDB Bank (Kime...) ni mtu wa wanawake sana. Usaili wa kupata kazi CRDB kwa wasichana kama utapitia kwake ni uke wako, hiyo siyo siri inafahamika wazi. Any way tuliache hilo.

Langu ni kubwa ni hili. Watanzania tunafahamu sana kuwa viongozi wakubwa wa serikali, WAKURUGENZI na CHAMA asilimia 80 ni watu wa ngono nje nje. Kwa Marekani tumeshuhudia Clinton akifikishwa mahakamani kwa ajili ya ngono, na ni viongozi wengi Duniani tumeshudia hayo kama akina Beluccikoni n.k. KWA TANZANIA SIJAWAHI KUSIKIA HATA SIKU MOJA, KIONGOZI MKUBWA WA SERIKALI AU CHAMA AKAFIKISHWA MAHAKAMANI. Kwa mantiki hii ndio inayonifanya mimi kuamini yaliyoelezwa juaa ya Mh Kapuya, kwani hawa wanajisikia kuwa "wasioguswa"

La mwisho kwako Malecela, Mwanamke hata akiwa mlevi namna gani au chizi, haimaanishi kuwa wewe mwanaume umuingilie bila yeye mwenyewe kukubali. Kama wewe au Mh Kapuya alifanya hivyo ni lazima afikishwe mahakamani kwa kubaka. NUKTA.
 
- Amesema alipobakwa na Kapuya alikuwa bikira wa miaka 14, ukweli hauko hivyo ni msichana mtumzima mwenye mtoto tayari.

Le Mutuz

Hakuna popote katika sheria za Tanzania panapoonyesha kuwa TAFSIRI YA KUBAKWA ni kuingiliwa msichana BIKIRA na mwanaume pasi na ridhaa yake. Ondoa neno Bikira, unaweza pata tafsiri nzuri ya kubakwa.

Kama hivyo ndivyo basi Maudhui ya habari nzima yamebebwa na NENO KUBAKWA na sio BIKIRA. Tukiwa pamoja tuendelee.
 
- Msichana alikuwa na mtoto tayari alipoanza mapenzi ya hiari yake na Kapuya, Kapuya hakatai kwamba hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana kama ni Crime then we can take it from there, lakini habari za kubaka na kumtishia kuua si za kweli!!Le Mutuz
Mkuu W.J.M mbona unatuchanganya!! Please revisit post yako.
 
we mzee hembu nenda ukaonge na mzee mwenzio jinsi ya kujisafisha.!? huku vijana watakuweka uchi sasa hivi,washaanza na mwanao sasa wanasaka zako.huku hakukufai mzee.
 
Kumbe ni hawara yake halali? Hivi kapuya ameoa?
- Msichana alikuwa na mtoto tayari alipoanza mapenzi ya hiari yake na Kapuya, Kapuya hakatai kwamba hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana kama ni Crime then we can take it from there, lakini habari za kubaka na kumtishia kuua si za kweli!!

Le Mutuz
 
Nimesikitishwa sana. Nimepandwa na hasira mbaya sana na huyu mtu anajehita Lemutuz ambaye ni mzee kabisa miaka 55 kutetea uozo wa kulala na mtoto wa miaka 14, yatima na kumuita muongo huku akimtetea fisadi na mtu mwenye historia ndefu ya ngono na huyo si mwingine bali Juma Kapuya

Lumutuz aliondoka marekani baada ya kuhachwa na mkewe. Alikuwa anakaa sehemu moja inaitwa Mt. Vernon ambako shuguli yake ilikuwa ni kuendesha lori la takataka. Anao watoto wawili majini yao siwezi kutaja hapa, ila anaye teenager ambaye yuko high school mwigine ndio anamaliza middle school na sijui atajisikiaje akiambiwa kabakwa na mzee wa miaka 70

Ingawa kwa kipindi kirefu mwanamke alikuwa akihisi kwamba mumewe ni shoga (Gay) Miaka ya karibuni aliporudi kutoka kazini, alikuta “boxer” ya mwanamme kitandani mwake. Alishtuka na kunyamaza. Siku moja baada ya kutoka kazini, William alitumia computer na kujisahau. Baadhi ya wanafamilia wanasema kwamba huyu bwana ameanza ushoga akiwa baharia

Mwanamke aligundua kwamba mumewe alikuwa akifanya ngono kwenye mitandao na wanaume, wengine wakidiriki kuja nyumbani ambako alimkuta William Malechela kwenye kitando chao cha ndoa akikobolewa na mwanaume mwingine. William aliendelea na wanaume wengine waki wanatumiana picha ambazo alikuwa anasave kwenye computer. Baada ya haya kugundulika na kuwa mengi, mwanamke aliamua kuondoka na kumuacha huyu bwana

Baada ya kuhachwa, William alianza kumtishia yule mwanamke kwamba atamuua pamoja na watoto kisha naye ajiue. Vitisho vilivyozidi, mwanamke alibidi aombe msaada polisi. Ilibidi huyu Lemutuz azuiliwe kwenda kwa yule mwanamke na pia akapelekwa mahakamani kwa ajili ya child support. Siku alipotakiwa kwenda mahakamani, William alidanganya kwamba anaenda DC na ndo siku hiyo alipanda ndege na kuja Tanzania. Kwa ujumla William alitelekeza familia. Hakuna cha simu, hela wala usaidizi wa aina yoyote kwa familia.

Kwa sasa William anakaa nyumbani kwa babake. Ana ugomvi kila siku na mama Anna Kilango ambaye hamtaki pale nyumbani. William amegoma, haondoki pale. Kwa hiyo huyu mzee ni kula, kun.ya na kulala. Kazi yake mjini ni kuuza warembo. Wasichana wengi wanaowekwa kwenye blogu yake ni wa kupigwa bei.

Ukiona mwanaume anasifia sana wanaume wenzake, ujue kuna jambo. Ni kweli, mara mtasikia tajiri la ajabu, Super mogul, Mwenyekiti, Billionea. Hawa wote ni mabwana zake wanaomuweka mjini. Huyo anayeitwa Chicago sijui nini, ndo bwana alomnunulia gari aina ya Toyota Noah ya blue. Jamaa anagawa nyuma balaa......hadi kwa waarabu. Jestina George ameeleza wazi wazi jinsi huyu jamaa anavyokobolewa. Aliingia chumbani na Jestina mara akaanza, naumwa tumbo mara ikapanda ikashuka. Basi Jestina akaona hapo hakuna kitu akahachana naye . Kwa kifupi huo ndo ukweli kuhusu Lemutuz. Ningetitirika zaidi, lakini kwa leo nihachie hapa hadi pale atakapoleta za kuleta kama kawaida zake…..

Next time tutataja hadi na majina…………………………
 
Hebu atusaidie kufafanua zaidi Mkuu haya yafuatayo

1.Kabla ya kukanusha msimamo wake jambo ambalo ni haki yake Kikatiba ameisha mhoji huyo anayedai kuwa ni mzushi ili kupata uhakika kabla ya kutoa maelezo ya namna hii nadhani watu wote walichokuwa wakifanya ni expression of thouhgt and not accession of fact anayetakiwa kutuweka sawa ni Kapuya Mwenyewe Jambo ambalo ameshindwa kulifanya katika maelezo yake ya Kukanusha.

2.Je kwanini hawajatoa maelezo ya mahusiano ya Namba ya Mheshimiwa "iliyotolewa zawadi"Kinyume cha sheria kutumika kwa mawasiliano na Kapuya Mwenyewe hata baada ya kuitoa zawadi.

3.je Kitendo hiki ni sawa kufanywa na Kiongozi kimaadili na kwanini ajivunie ulinzi wa Serikali kwa vitendo viovu anavyo wafanyia wanyonge?

4.Mbona maelezo ya mleta hoja hayaowani na yale ya Kapuya Mwenyewe ina maana mleta hoja anajua vizuri suala hili zaidi ya Mtuhumiwa?

Mkuu kipengele namba 4 napata kizungu zungu tu na mleta hoja.Sijui anatuona -------, au mapimbi,hata sielewi anatuchukuliaje.Maelezo yake na huyu mzee " zenze awanai" ( hayaoani kabisa).
 
Huwa nawaDHARAU sana! wasionufaika na CCM lkn huwaambii kitu! CCM wanaDHARAU watu! wanaona kila m2 ni mPUUZI km wao wanalazmisha UCKU kuwa MCHANA mbele ya watu 2lio TIMAMU nackitika sana! Upumbavu huu wakumsafisha Mr u.k.mw.i nilianza kuuona Juzi kwenye hako kaPEPERUSHI kayule Jamaa anaewatia UJINGA wanafunzi anaejifanya anaAKILI kuliko waTZ wt wametoa Picha ya huyo Mschana na Maelezo km haya aliyoleta huyu KUBWA JINGA napatwa HACRA sana Wanafanya hv 7bu huyo Mschana hajafunguka LIVE kwenye MEDIA shenz CCM
 
Mkuu Malecela wewe ni kiongozi msomi wa jumuiya ya wazazi wa chama chako. Ni mzazi na mwakilishi wa wazazi. Umefanya 'armchair research' - 'nimepiga simu', ninayemuamini sana', nimeambiwa n.k. Umeshindwa nini kumtafuta mtoto huyo kwa aidha wadhifa wako wa mwakilishi wa wazazi au mwandishi/mmiliki wa chombo cha habari na kumuuliza? Kwanini uliegemea gazeti la udaku pekee?

Unajuaje gazeti hilo kama mengine mengi 'yamenunuliwa' ili kumsafisha waziri mkuu mtarajiwa. Kwa sababu toka habari itoke kumekuwa na sintofahamu kubwa. Watu wamechagua upande wa kuamini.
 
- Mimi nikiwa Mwana CCM na Kiongozi pia wa CCM ngazi ya Taifa na Blogger, naomba kusimama mbele ya Mheshimiwa Mbunge Kapuya na Taifa zima la Tanzania pamoja na wasomaji wangu wote wa Blog na meble ya Mungu, kukubali makosa na kuomba radhi, kwake na kwa Mungu wangu zaidi. Mimi ni mmoja wa watu wa kwanza kuamini hadithi iliyojitokeza hivi karibuni kwamba Mheshimiwa Kapuya amembaka na kumuambukiza Ukimwi na kutishia kumuua msichana wa miaka 14.

- Leo ninaomba kusimama hapa na kusema kwamba hii habari ni uongo na ni uzushi wa hali ya juu sana uliotengeenzwa na msichana mzoefu wa uzushi ambaye kwanza si kweli kwamba ni Mwanafunzi, pili ni Mtumzima mwenye mtoto tayari hata kabla hajakutana na Mh. Kapuya, pia ni muongo na mzushi mzoefu aliyewahi kuwadanganya pamoja na Mkurugenzi wa CRDB Bank, pamoja na kuidanganya TAMWA ambayo iliishia kumuripoti polisi na kuishia kwake kukaa rumande Segerea kwa muda mrefu sana.

- Kwa nini niliaiamini hii hadithi ni kwamba kuna siku mimi binafsi tulikuwa tumekaa faragha na Viongozi wengine Watatu wakubwa wa Taifa ambapo mbunge mmoja aliyedai kuijua kwa undani hii hadithi na kuhusiaka nayo, alianza kutuelezea hii hadithi kwa kutmia details kubwa kubwa sana, binafsi nilikuwa ninamuamini sana yule mbunge mpaka leo nilipothibitisha kwa 100% kwamba hii hadithi haiko sawa either na yeye ni muongo wa makusudi mwenye nia mbaya na Mh. Kapuya au na yeye alidanganywa na huyu msichana, ambaye jina lake kamili ni Hamida as opposed na majina mengi ya uongo ambayo amekuwa akiyatumia kudanganyia watu.

- Ninaomba kuwa wa kwanza kubeba huu msalaba, najua kwamba sio rahisi kueleweka na wengi ambao tulishamuhukumu Mh. Kapuya, lakini ukweli ni kwamba ni hadithi ya kutunga iliyoutngwa na msichana mmoja aliyebobea katika uzushi na uongo wa hali ya juu sana. Majuzi Waziri mmoja ninayemuamini sana katika Serikali ya sasa alinishitua kwamba hii hadithi ni ya uongo niiifuatilie tena, lakini sikuamuamini mpaka leo asubuhi sana nilipopigia sim na gazeti moja maarufu sana la Udaku, walioniambia kwamba hii habari si ya kweli na kwamba wanaye huyu msichana pale ofisini kwao, toka asubuhi mpaka sasa nimekuwa kwenye uhakiki wa hii ishu, na sasa ninasema wazi na tena kwamba:-

NINAMUOMBA RADHI SANA MH. KAPUYA NA NI MATUMAINI YANGU MAKUBWA SANA KWAMBA WALE WOTE TULIOHUSIKA NA KUMHUKUMU TUTAKUBALI MAPUNGUFU YETU KAMA WANADAMU NA KUMUUNGAMIA CHINI MUNGU WETU, NI KWELI MH. KAPUYA ALIKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA HUYU BINTI LAKINI YA HIARI SIO KAMA ILIYOELEZWA NA SI KWELI KWAMBA HUYU BINTI NI MWANAFUNZI, HAPANA ANA MTOTO TAYARI NA PIA ALISHAWAHI KULIDANGANYA JESHI LA POLISI HUKO NYUMA.

- Wale wote tunahusika na media tujifunze tena na hili fundisho, tujitahidi kuwa waadilifu na kufanya utafiti wa kina kabla ya kuruka na hadithi nzito kama hii ambayo inaweza kummaliza mwananchi mwenzetu, au kiongozi bila sababu za msingi wala ukweli.

- AGAIN NI MATUMAINI YANGU KWAMBA WALE TULIOHUSIKA NA KUMHUKUMU MHESHIMIWA KAPUYA, TUTAJITOKEZA TENA IN THE PUBLIC NA KUMUOMBA RADHI NA MSAMAHA.

- MUNGU IBARIKI TANZANIA NA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

kweli ccm mko makini.

pamoja na message za vitisho, majibu ya kamanda wa polisi, utetezi wa wakuu wenu wa nchi, leo hii inaonekana zilikuwa ni hadithi tu?
Nimeipenda hii..
 
Kapuya ni mbakaji. siyo tu alimbaka mtoto, bali pia kamwagia mkojo wake wenye virusi
 
- Nimeomba msamaha kwa sababu nimeisikia hadithi hii miezi miwili iliyopita kutoka kwa mbunge mmoja, kwa hiyo ilipoanza kurudiwa na details zile zile nilizozisikia kwa mbunge nikaamini kwamba ni kweli, until leo kuanzia asubuhi mpaka sasa ninapoandika ndio nimaeamini kwamba ni 100% a big lie!!

- Na ndio maana hata huyu Mschana leo hapo kwenye ofisi za hilo gazeti la Udaku amekimbia bila kuaga baada ya kuwekwa kiti moto sana, na pia kutokea watu wanaomjua kwa karibu sana.

Le Mutuz

Akili za kuambiwa changanya na za kwako = Sufuria (0).
Kubwa JINGA
 
Back
Top Bottom