Pole Mkuu, Hii inasababishwa na wewe Kukaa Muda Mrefu katika Internet Ukiwa una-Download vitu mbali mbali hasa katika site ambazo sio Safe ambazo zilipelekea Adwares kama Vile Counter Flix kuwa instilled kwenye simu yako.
Kuna njia Mbili Kuziondoa hizo Adwares :-
1) Fanya Scaning ya Hiyo Devise yako with Trusted Anti-Virus (Recommended KasperSky) then hakikisha baada ya Scanning kumalizika, una install Adware Removers (Recommended tumia Ccleaner).
2)Factory Resert. Njia hii itafuta kila Kitu kwenye simu yako, hivyo hakikisha Umehifadhi vile vitu vyako vya maaana kwenye SD card yako ndipo ufanye Hiyo process. Njia hii itatumika kama Shortcut ili kuondoa hizo Systems kwa kua huwezi ukaigundua hiyo system kwa mara moja ila kwa njia hii utakua umefagia kila kitu.
Je ni nini Kifanyike kuzuia Tatizo Hili kujirudia?
>>Hakikisha una Anti-Virus yenye uhakika katika kifaa chako.
>>Epuka kutembelea Site ambazo Sii salama(Hasa Porn Site)
>> Punguza Kuinstall app nyingi ambazo huna Uhakika nazo(yaani hufahamu utendaji kazi wake kamili).
Ni hayo tuu japo kwa Uchache wake ila natumaini Kidogo hichi kitakusaidia.