my all time favorite JF Thread

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
kuna post moja niilpenda sana, yani uwa naisoma tena na tena, pia mwandishi wake uwa ana post zinazonifanya nivunjike mbavu mwenyewe, post yenyewe hii hapa http://jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/282885-nikapigwa-ndoa-ya-mkeka-ununio%85-4.html Je, wewe post iliyokwisha kukuvutia sana ni ipi??????
 
thread ya KATARERO jukwaa la wakubwa.....kwa kweli ile uzi imenipa heshima sana kwa dada zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom