JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,014
Sababu zilizo tumika na serikali kumfungia Dr.Mwaka ofisi yake ya dawa za asili ndiyo sababu hiyo hiyo inayo tumiwa na Jf kuondoa mabandiko yote yenye mrengo huo.....kwa nn matangazo ya dawa asilia mmnayafuta
hakuna waraka wwote uliotolewa na serikal wa kuzuia matangazo ya dawaasilia zile zilikua ni chuki tu je na nyie mna mrengo huoSababu zilizo tumika na serikali kumfungia Dr.Mwaka ofisi yake ya dawa za asili ndiyo sababu hiyo hiyo inayo tumiwa na Jf kuondoa mabandiko yote yenye mrengo huo.....
kwa nn matangazo ya dawa asilia mmnayafuta
Kumradhi mkuu. Swali lako haliendani na muktadha wa jukwaa hili.Haya sawa.lakini mbona hamuelezi mlifuta uzi wangu wa papa kutoa harufu sababu zake ni zipi wakati pumbu kutoa harufu mliuacha?
Asante mkuu ila twende hilo jukwaa husika tujadili pliz.Kumradhi mkuu. Swali lako haliendani na muktadha wa jukwaa hili.
Asante.
Ni sahihi kabisa. Kinyume na hapo tangazo litaondolewa na huenda likaondolewa pasipo taarifa..Mkuu naomba uwaambie kabisa kua Tangazo lisipotimiza haya masharti ni kapuni tu, no way
AhsanteNi sahihi kabisa. Kinyume na hapo tangazo litaondolewa na huenda likaondolewa pasipo taarifa..
Hauwezi kufuta hiyo post yake hapo?Kumradhi mkuu. Swali lako haliendani na muktadha wa jukwaa hili.
Asante.
Ni sahihi kabisa. Kinyume na hapo tangazo litaondolewa na huenda likaondolewa pasipo taarifa..
Ndiyo Mkuu, kuweka tangazo katika jukwaa hili ni BURE kabisa!Mkuu nauliza tu..'kuweka tangazo ni bure au kuna gharama zake.!?
Ahsanteni kwa kutoa muongozo wa kutoa Matangazo ya Biashara.Ni sahihi kabisa. Kinyume na hapo tangazo litaondolewa na huenda likaondolewa pasipo taarifa..
We soma tangazo tuNaashukuru Mmmeliona hilo, Ila muwaambie TANESCO hilo Tangazo lao linatuvuruga sana especialy picha ya huyo mdada watafute mtu mwengne.View attachment 637085
Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.