Katika kupitia tovuti ya NECTA nimekutana na huo mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaoinesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama zilizotumika Kidato cha Nne 2014 zenye A, B+ C, D, E na F. Tofauti na miaka iliyopita E itamaanisha kufeli na siyo principal pass tena.
Kwa maelezo zaidi fungua hiyo link
http://www.online.necta.go.tz/BRN/MWONGOZO_WA_MATUMIZI_YA_VIWANGO_VYA_UFAULU.pdf
Kwa maelezo zaidi fungua hiyo link
http://www.online.necta.go.tz/BRN/MWONGOZO_WA_MATUMIZI_YA_VIWANGO_VYA_UFAULU.pdf