Mwongozo Ndg zanguni! Kwn nimechelewa kutokana na pilika ya maisha!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Ndg zangu naombeni direction ya mtu mzima kupata elimu ya watu wazima kama ilivyokuwa ada kwa ndg yangu mmoja aliyetaka nimwulekeze nami nikamwambia awe mpole kwn nitamwelekeza aanze wapi na amalize wapi! Sasa Mi mwenyewe si mwongozo wowote katika hili,naombeni mwenye kujua anifahamishe na natanguliza shukrani! Nawasilisha!!
 
Ya kiwango gani?
Msingi, sekondari au A level?
LiverpoolFC,
Swali hili la Andare ni muhimu sana ukitaka kusaidiwa!
Weka wazi huyo mtu amesoma level gani, ndipo utapata mwongozo...
Angalizo: Elimu haina Mwisho!
 
Jarbu kuwa straight to the point. Unapaswa kueleza mambo muhimu
1. Kiwango cha elimu yake kwasasa.
2. Malengo yake i.e anataka afikie wapi?
3. Umri pia ni muhimu.
n.k
 
Ya kiwango gani?
Msingi, sekondari au A level?

Ndg zangu! Mtaniwia radhi! Huyu ndg ni kwmb hakusoma kbs na kwa sasa anataka aanze darasa
Ukiangalia ni mtu mwenye umri wa miaka 26-27 na ndiyo anataka aingie darasani. Mwongozo Ndg zangu! Elimu ya msingi tu angalau!
 
dah?
Mwambia atafute mwalimu wa elimu ya awali, ambaye atakuwa akimfundisha nyumbani. Ni nowmer mtu mzima kuvikwa uniform...
 
alikuwepo mzee mmoja raia wa Kenya, ni marehemu sasa hivi. Kimani Maluge alianza nursery na miaka 84,walimruhusu aingie darasani na watoto wa miaka 5,mbona aliweza tu(alifahamu kusoma na kuandika) Lengo lake alitaka ajue kusoma biblia na kusomea udaktari wa mifugo. RIP mzee Kimani! Alikuwa my role model.
 
Huyu sasa si mkubwa kiumri kihivyo!
Yeye ana umri kt ya 22-26!
Je? Hafai jamani kupata angalau elimu ya darasani kbs!
 
Back
Top Bottom