Mwonekano unanikondesha

Mwonekano unanikondesha

Nyie waongo hamna u handsome wowote, mada km hizi Jf za kujipigia promo wanaume wengi nnimezisoma na mm kujihakikishia nilikuwa nawafuata pm badaa ya mda kupita tangu alivyo post mada km hii namuingiza kingi nampeleka whatsap na muomba namb, wanasura mbaya km fenesi pori, haina hata mvuto kuvaa kwenyewe ziroo, wengi mnooo nomewaingiza kingi bila wao kukijua kwaza asilimia kubwa ya wanaume wa jf ni wazeee/watu wazimaa
inaonekana unapenda sana mambo yetu yale eeeh
 
Tafuta demu mkali mkuu.. Yaan awe mkali kama mtoto wa kagame.. Then utaona kama atasema hayo mengine...
 
Hope mpo poa kabisa.
Nakumbana na changamoto sana katika kumpata mwanamke wa kuoa ili tutengeneze familia kutokana na fikra mbovu upande wa jinsia b. Nilijaribu kutafuta ushauri kwa watu wa karibu na nikashauriwa kujiweka simple haswa kimwonekano na nikafanya hivo kwa kuvaa simple sana huku kichwani nikinyoa low cut tu lakini bado tatizo lipo palepale. Tatizo ni kuwa kila mwanamke ninayem-face ili kuwa naye kwa lengo la ndoa anadai hawezi kuolewa na mwanaume handsome kama mimi labda kama ni dating tu isiyo na future kwa madai ya kuwa ni rahisi sana kwangu mimi kuonwa na kusumbuliwa na Wanawake wengine na ni kweli mambo haya yanatokea sana lakini binafsi najiheshimu sana.
Wadau naombeni ushauri nifanyeje au wengine walitumia mbinu gani ili kuepukana na huu mtazamo kwasababu naamini mi sio wa kwanza kukumbwa na hili. Nawasilisha.

Pole kaka handsome boi ungetupiamo na kapicha basi tukuonee [emoji16]
 
Endelea tu na utafiti wako,unachokitafuta utakipata
 
Ni sahihi, hivyo ndivyo Wanawake wengi wanavyofikiri, Niliwahi kusikia kutoka kwa mke wangu kuwa yeye hakuwahi kuwapenda Wanaume mahandsome kwasababu aliamini kuwa sio watulivu.
 
Back
Top Bottom