Mwonekano unanikondesha

Mwonekano unanikondesha

kintonono

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
96
Reaction score
67
Hope mpo poa kabisa,

Nakumbana na changamoto sana katika kumpata mwanamke wa kuoa ili tutengeneze familia kutokana na fikra mbovu upande wa jinsia b. Nilijaribu kutafuta ushauri kwa watu wa karibu na nikashauriwa kujiweka simple haswa kimwonekano na nikafanya hivo kwa kuvaa simple sana huku kichwani nikinyoa low cut tu lakini bado tatizo lipo palepale.

Tatizo ni kuwa kila mwanamke ninayem-face ili kuwa naye kwa lengo la ndoa anadai hawezi kuolewa na mwanaume handsome kama mimi labda kama ni dating tu isiyo na future kwa madai ya kuwa ni rahisi sana kwangu mimi kuonwa na kusumbuliwa na wanawake wengine na ni kweli mambo haya yanatokea sana lakini binafsi najiheshimu sana.

Wadau naombeni ushauri nifanyeje au wengine walitumia mbinu gani ili kuepukana na huu mtazamo kwasababu naamini mi sio wa kwanza kukumbwa na hili.

Nawasilisha.
 
Basi utakuwa tatizo we we hamna mwanamke anae mkataa mwanaume kisa handsome boy
 
Ni rahisi sana, jipake gilisi chafu na oil chafuuuuu ndani ya mwaka mmoja tu utaoa na hutakaa usumbuliwe hata sekunde moja.

Wewe ni kipoyoyo Kweli na huu uzi wako mnafanana kabisa.

Angalia, mwandiko wenyewe kama vitoto vidogo vya chekechea, hapo ni kwenye devices ukiandaka kwenye daftari watu si watazimia kabisa!!
 
Asante kwa povu mkuu.
 
Back
Top Bottom