Mtazamo wako mzuri.nimesoma kwa makini kumbe ni shudu
Asante kwa povu mkuu.
Si busara kuhukumu usichokijua. Dar sijawahi fika kabisaWanaume wa dar bwana
Kazi kwelikweli.Haya handsome boy.
inabidi aichangie jf aiseee...Tangazo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba kuona picha yako ili niweze kutoa ushauri kwa umakini zaidiUshari wako unahitajika please.
Hahaha.. Nitachangia kama umechukulia kihivo.inabidi aichangie jf aiseee...
Sidhani kama itafaa kumbuka natumia fake id kwasababu mbalimbali.
Kama ni wakutafuna tu wapo wengi ila sipendelei kufanya hivo kutokana na imani yangu naiogopa zinaa mkuu.mimi ni hb na nakula papunch sana huku wakipenda kuolewa na mimi hakuna aliye wahi hata kuchomoa kuolewa so mimi tu any tm and any one