Ngonepi JF-Expert Member Jun 2, 2013 1,872 1,206 Jun 23, 2016 #1 MWOGA KULIKO YEYOTE YULE KUPATA KUTOKEA!!
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,051 6,386 Jun 24, 2016 #3 Nani tena huyo au ni ********** wa pale kwenye ule mjengo wa rangi ya *********
Lusajo11 JF-Expert Member Dec 13, 2014 1,887 1,962 Jun 24, 2016 #6 Hahahaha yani kuna watu vichwani mwao ni shoti tupu
oneman JF-Expert Member Jun 12, 2016 355 189 Jun 24, 2016 #7 Lusajo11 said: Hahahaha yani kuna watu vichwani mwao ni shoti tupu Click to expand... Hahaha kumbe kichwani mwako wewe umeme unawaka
Lusajo11 said: Hahahaha yani kuna watu vichwani mwao ni shoti tupu Click to expand... Hahaha kumbe kichwani mwako wewe umeme unawaka
Ngonepi JF-Expert Member Jun 2, 2013 1,872 1,206 Jun 24, 2016 Thread starter #8 oneman said: Hahaha kumbe kichwani mwako wewe umeme unawaka Click to expand... Tena huyu kunakaribia kulipuka kabisaa kwa mkichwa yake!!
oneman said: Hahaha kumbe kichwani mwako wewe umeme unawaka Click to expand... Tena huyu kunakaribia kulipuka kabisaa kwa mkichwa yake!!
Lusajo11 JF-Expert Member Dec 13, 2014 1,887 1,962 Jun 24, 2016 #9 oneman said: Hahaha kumbe kichwani mwako wewe umeme unawaka Click to expand... Kumbe umeme huwa unawaka mkuu hahaha
oneman said: Hahaha kumbe kichwani mwako wewe umeme unawaka Click to expand... Kumbe umeme huwa unawaka mkuu hahaha
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jun 24, 2016 #12 Ujumbe wa picha unaoeleweka vema. Asanteeeeee
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,413 38,696 Jun 24, 2016 #13 Hata wewe ni mwoga mbona hunamtaja huyo mwoga mwenzio.
bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 Jun 24, 2016 #14 Ngonepi said: MWOGA KULIKO YEYOTE YULE KUPATA KUTOKEA!! Click to expand... Yebaaaaaa
Ngonepi JF-Expert Member Jun 2, 2013 1,872 1,206 Jun 24, 2016 Thread starter #15 mkorinto said: Hata wewe ni mwoga mbona hunamtaja huyo mwoga mwenzio. Click to expand... Nashukuru kwa kuwa USHAMJUA!!
mkorinto said: Hata wewe ni mwoga mbona hunamtaja huyo mwoga mwenzio. Click to expand... Nashukuru kwa kuwa USHAMJUA!!