KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,174
Sio kweli unayosema hapo juu.Sijui watu wengine wanawaza nini aukwakutumia nini chanzo kilikuwa ni mwalimu kumuita mtakatifu mimi nikasema mtakatifu nimungu pekee sintomwita mungine jina hilo isipokuwa mungu tu sasa hapo namtisha nani kifupi ndugu ukipenda uamini au ukufuru
Tazama ulivyotishia huku chini.
"---kama huamini basi jaribu wewe tuone kama hutotoka katika dunia hii." Haya maneno mara hii unataka kuyakana?Naamini katika vitabu takatifu hakuna alie mbora kumzidi mungu kamahuamini basi jaribu wewe tuone kama hutotoka katika dunia hii