Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

Oct 14, 2019
19
16
MWL. NYERERE HAKUWA MUNGU
Kudai kwamba Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote ni ajali kubwa sana kuliko ajali ya M.V Bukoba ziwa Viktoria na Treni kule Dodoma zilizosababisha maafa makubwa katika nchi yetu.Ni ajali kwa sababu kauli hii inaweza kuua kifikira vijana wengi ambao hawaijui historia ya nchi yetu.Hii ni kwa sababu;
  • Binadamu yeyote anafanana na mwingine kwamba wote wanazaliwa, wananyonya, wanakufa na pia wanaweza kufanana kwa mawazo au matendo ndiyo maana watu wanakuwa katika imani moja ya dini na itikadi mbalimbali ambazo zimeundwa na watu wanaofanana katika imani na itikadi hizo.Kauli hii inaukana ubinadamu wa Nyerere na kumweka katika daraja la malaika au Mungu. Nyerere alikataa jambo hil na hata hakutaka kuitwa mtukufu kwani alijua utukufu ni wa Mungu tu. Alipenda aitwe ‘’Ndugu Rais au Mwalimu’’
  • Kusema Nyerere hafanani na mtu yeyote ni kufuru kwa Nyerere mwenyewe na aibu kubwa kwa msemaji.Nyerere katika kitabu chake cha UJAMAA anasema “Hakuna binadamu asiyekosea (No man is infallible)”. Mwaka 1971 aliandika kitabu kidogo kinaitwa TUJISAHIHISHE na wakati anang’atuka urais alisema yeye si malaika na hata malaika mkuu Gabriel angepewa Tanzania kuongoza asingemaliza matatizo yake yote.Hii ina maana alikiri alikuwa na mapungufu kama binadamu yeyote. Hivyo, kusema hawez kufananishwa na mtu mwingine ni dhambi kubwa.
  • Baada ya uhuru mwaka 1961, serikali ya Nyerere mwaka 1965 ilifuta vyama vingi na kuunda katiba ya chama kimoja (mono-party system) na chama cha TANU kikashika hatamu (party- supremacy). Mwalimu Nyerere aliendelea kugombea chaguzi za urais kwa kutumia picha yake na kivuli. Mpiga kura alitakiwa kuweka tiki kwenye picha ya Nyerere au kwenye kivuli. Ndiyo demokrasia mnayotaka Mh. Magufuli afanye ili afanane na Nyerere? Mko tayari mh. Magufuli akifanana na Nyerere katika hilo?
  • Nyerere hakuleta vyama vingi. Vyama vingi vilianza zamani sana katika mataifa ya Ulaya magharibi lakini katika mataifa ya ulaya mashariki vilianza baada kuanguka kwa ukomunisti wa Urusi chini ya utawala wa Mikael Gorvachev na sera zake za ‘’Perestroika na Glassnots. Wimbi hili la kuvunjika kwa ukominist na kutaka mfumo wa vyama vingi lilikuwa kubwa sana kiasi cha kuathiri nchi nyingine. Nyerere alisoma majira akaona asipokubali hapa atalazimishwa na nguvu za nje ikawa ni aibu. Hivyo, akatangulia kusema kuzungumzia vyama vingi si dhambi tena. Nchi nyingine za Afrika ambazo hazikuwa zimeanza kama Kenya na Uganda zililazimishwa na mataifa makubwa kuingia mfumo wa vyama vingi na ilikuwa ni aibu kwao.Katika kupiga kura tuwe na vyama vingi au kimoja katika Tanzania, asilimia themanini (80%) ya watanzania walichagua chama kimoja lakini Nyerere kwa kuona hali halisi wakati huo alishawishi serikali ya Mwinyi ikubali kuwa na vyama vingi na kwa kuwa yeye ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama, serikali ilikubali.Tusipotoshe vijana wetu, tuwafundishe ukweli kuhusu nchi yao.
  • Nyerere alitaka vyama vingi visimpotezee muda wa kujenga taifa akavifuta, Magufuli anataka vyama visiwapotezee muda wananchi ili watumie muda huo kujenga uchumi wetu na amevipa muda wa kufanya siasa na namna ya kufanya siasa hizo.Hapo ni nani afadhali?
  • Matumizi ya vyombo vya dola yapo dunia nzima na kusudi la vyombo vya dola (State apparati) kuzaliwa duniani ni kulinda tabaka tawala (The dominant class) na tabaka tawala ndilo linaamua vifanye nini, wapi, lini na kwa namna gani kulingana na mazingira yaliyopo.Hii hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Karl Marx na Lenin walitabiri kuwa dola zingetoweka duniani(withering away of states) lakini halikutokea. Nyerere alikwisha kusema dola ni chombo cha mabavu ni sheria,polisi,mahakama ,magereza na majeshi. Hivyo usitarajie kubembelezwa na dola unapotishia usalama wake.
 
Inaelekea kuna waliodai Marehemu Mwl. J.K. Nyerere alikua mungu (Mungu)! Sasa ndio kaanzisha uzi kuwajibu.
Aisee!
Ahsante sana mkuu
Ngoja nirudi jukwaa la MMU nikasuuze akili, huku kwenye siasa pagumu.
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Nakuja huko huko. Topic za leo huku ni nzito sana 🤷‍♀️
 
Na kusema fulani anafanana na Nyerere pia ni kufuru
 
Haya haraka,weka namba yako ya simu hapo!, ile uliyoiweka kwenye uzi wako wa mwanzo haipatikani!
 
Wewe ni mtoto wa Matiku Matare? Yule aliyeleta matata na kumtukana Mzee Mwinyi kwa kujificha kwenye kichaka cha Mzee Punch pale Chuo Kikuu cha Manzese? Wakati huo akiwa na wenzake kina Bazigiza, Mbatia, Ally Salehe na wengine?
 
What's your point Joseph Matiko Matare?
 
"Mwalimu Nyerere hakuwa Mungu" - wewe umesikia wapi kuwa alikuwa 'Mungu'?

Uliamini hayo uliyosikia hadi ukaona uyalete hapa tuyajadili?
 
Actually ni yeye sio mtoto wake.
My point is that we should not consider other people so unique that they become demi-gods. All human beings have got similarities and differences as well strengths and weaknesses including whoever happened to be a leader of this noble country of Tanzania even Magufuli. Read my articles and understand what they stand for otherwise you will end up misjudging me for nothing wrong. THANK YOU FOR ASKING!
 
I think you are right buddy
 
We Joseph Matiko Matare una mambo ya ajabu kweli? Kwahiyo huamini kuwa watu ni unique?

Nikwambie:kila mtu ni wa pekee duniani,ndivyo Mungu alivyotuumba. Au hata elimu ndogo ya DNA kule O'level hukuipata? Mbali na DNA hata accomplishments zetu nazo ni unique sana tu.

Halafu, kama kwa kusema hivyo unaona ni KUKUFURU na DHAMBI; Je, hii ya mtu fulani kutamani kutamani kuwa Mkuu wa Malaika (ilhali yeye ni mwanadamu mdhaifu sana na aliyeumbwa kwa material duni) na hivyo kumpindua Malaika Gabriel/ Jibril unaizungumziaje? Na unadhani Gabriel au Jibril anamchukuliaje huyo mtu?
 
Back
Top Bottom