KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,174
Hiyo bangi ni ya wapi, Arusha au Tarime!Lakini Jamani huyu anafaa kuitwa mtakatifu kwa wenzetu Sawa kwani hatamitume kila mwenyemazingaombwe huitwa mtume baadae wanaishia kupeperushwa mapicha nabinti naomba utakatifu utumike kwa baadhi yaimani tusilazimishwe imani zote tumtamke hivyo mimi sintotumia jina hilo hatakama namuona jaji pale waangalie mpaka kufikia vizazi vyawatoto wetu watajikuta wanamwita mungu watajijua walioanzisha nawalio ona wakaliacha lipevuke mbeleni wasaga meno nakilio kikuu tumeamrishwa tukatazane mbaya ambayo humchukiza muumba tukumbushane yanaompendeza muumba
Nenda taratibu nayo, la sivyo ubongo utanyauka haraka ungali kijana. Bado unayo maisha marefu sana hapo ulipo, kunyaukiwa na ubongo wakati huu.