Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

Mwl. Nyerere hakuwa Mungu

Wewe ni mtoto wa Matiku Matare? Yule aliyeleta matata na kumtukana Mzee Mwinyi kwa kujificha kwenye kichaka cha Mzee Punch pale Chuo Kikuu cha Manzese? Wakati huo akiwa na wenzake kina Bazigiza, Mbatia, Ally Salehe na wengine?
NI MIMI.Punch kilikuwa ni kikundi kisichojulikana ambacho hakikuwa na jukwaa la kusemea na hakikujulikana tangu mwaka 1961 UDSM ilipoanza kilikuwapo kukosoa uongozi wa chuo na serikali bila kujulikana. Matiko Matare, Rudovick Bazigiza, James Mbatia, Mosene Nyambabe, Antony Komu ,Kangi Lugola, Harun kimaro, Ally Salehe na Dr.Kebwe walikuwa ni viongozi wa serikali ya DARUSO 1989 hadi 1992 na mashujaa wa wakati huo waliotetea hadhi ya chuo na kuikosoa serikali ya Rais Mwinyi Nkurumah Hall, hadharani na kwenye magazeti. Tume ya Jaji Koroso iliyopewa jukumu la kuchunguza mgogoro huo haikukuta mwanafunzi yeyote na hatia. Rais Mwinyi alitusamehe kama baba na sisi kama watoto tukamwomba msamaha yakaisha . Yale yote tuliyopigania yafanyike, ndiyo yanafanyika sasa chini ya serikali ya awamu ya tano. Sasa utapingaje mtu anayefanya yale unayotaka yafanyike? POLE SANA NDUGU YANGU KWA KUDANGANYWA!
 
MWL. NYERERE HAKUWA MUNGU
Kudai kwamba Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote ni ajali kubwa sana kuliko ajali ya M.V Bukoba ziwa Viktoria na Treni kule Dodoma zilizosababisha maafa makubwa katika nchi yetu.Ni ajali kwa sababu kauli hii inaweza kuua kifikira vijana wengi ambao hawaijui historia ya nchi yetu.Hii ni kwa sababu;
  • Binadamu yeyote anafanana na mwingine kwamba wote wanazaliwa, wananyonya, wanakufa na pia wanaweza kufanana kwa mawazo au matendo ndiyo maana watu wanakuwa katika imani moja ya dini na itikadi mbalimbali ambazo zimeundwa na watu wanaofanana katika imani na itikadi hizo.Kauli hii inaukana ubinadamu wa Nyerere na kumweka katika daraja la malaika au Mungu. Nyerere alikataa jambo hil na hata hakutaka kuitwa mtukufu kwani alijua utukufu ni wa Mungu tu. Alipenda aitwe ‘’Ndugu Rais au Mwalimu’’
  • Kusema Nyerere hafanani na mtu yeyote ni kufuru kwa Nyerere mwenyewe na aibu kubwa kwa msemaji.Nyerere katika kitabu chake cha UJAMAA anasema “Hakuna binadamu asiyekosea (No man is infallible)”. Mwaka 1971 aliandika kitabu kidogo kinaitwa TUJISAHIHISHE na wakati anang’atuka urais alisema yeye si malaika na hata malaika mkuu Gabriel angepewa Tanzania kuongoza asingemaliza matatizo yake yote.Hii ina maana alikiri alikuwa na mapungufu kama binadamu yeyote. Hivyo, kusema hawez kufananishwa na mtu mwingine ni dhambi kubwa.
  • Baada ya uhuru mwaka 1961, serikali ya Nyerere mwaka 1965 ilifuta vyama vingi na kuunda katiba ya chama kimoja (mono-party system) na chama cha TANU kikashika hatamu (party- supremacy). Mwalimu Nyerere aliendelea kugombea chaguzi za urais kwa kutumia picha yake na kivuli. Mpiga kura alitakiwa kuweka tiki kwenye picha ya Nyerere au kwenye kivuli. Ndiyo demokrasia mnayotaka Mh. Magufuli afanye ili afanane na Nyerere? Mko tayari mh. Magufuli akifanana na Nyerere katika hilo?
  • Nyerere hakuleta vyama vingi. Vyama vingi vilianza zamani sana katika mataifa ya Ulaya magharibi lakini katika mataifa ya ulaya mashariki vilianza baada kuanguka kwa ukomunisti wa Urusi chini ya utawala wa Mikael Gorvachev na sera zake za ‘’Perestroika na Glassnots. Wimbi hili la kuvunjika kwa ukominist na kutaka mfumo wa vyama vingi lilikuwa kubwa sana kiasi cha kuathiri nchi nyingine. Nyerere alisoma majira akaona asipokubali hapa atalazimishwa na nguvu za nje ikawa ni aibu. Hivyo, akatangulia kusema kuzungumzia vyama vingi si dhambi tena. Nchi nyingine za Afrika ambazo hazikuwa zimeanza kama Kenya na Uganda zililazimishwa na mataifa makubwa kuingia mfumo wa vyama vingi na ilikuwa ni aibu kwao.Katika kupiga kura tuwe na vyama vingi au kimoja katika Tanzania, asilimia themanini (80%) ya watanzania walichagua chama kimoja lakini Nyerere kwa kuona hali halisi wakati huo alishawishi serikali ya Mwinyi ikubali kuwa na vyama vingi na kwa kuwa yeye ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama, serikali ilikubali.Tusipotoshe vijana wetu, tuwafundishe ukweli kuhusu nchi yao.
  • Nyerere alitaka vyama vingi visimpotezee muda wa kujenga taifa akavifuta, Magufuli anataka vyama visiwapotezee muda wananchi ili watumie muda huo kujenga uchumi wetu na amevipa muda wa kufanya siasa na namna ya kufanya siasa hizo.Hapo ni nani afadhali?
  • Matumizi ya vyombo vya dola yapo dunia nzima na kusudi la vyombo vya dola (State apparati) kuzaliwa duniani ni kulinda tabaka tawala (The dominant class) na tabaka tawala ndilo linaamua vifanye nini, wapi, lini na kwa namna gani kulingana na mazingira yaliyopo.Hii hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Karl Marx na Lenin walitabiri kuwa dola zingetoweka duniani(withering away of states) lakini halikutokea. Nyerere alikwisha kusema dola ni chombo cha mabavu ni sheria,polisi,mahakama ,magereza na majeshi. Hivyo usitarajie kubembelezwa na dola unapotishia usalama wake.

Ukikutana na Binadamu / Mtu anamchukia kabisa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere basi jua ya kwamba huyo si tu kwamba atakuwa ni ' Mpumbavu / Popoma ' lakini pia ni lazima tu atakuwa na Matatizo makubwa mno ya Akili ( Fikra ) na huenda hadi muda huu alipaswa / alitakiwa awe ameshawahishwa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili pale Mirembe Mji Mkuu Mkoani Dodoma. R.I.P Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere.
 
We Joseph Matiko Matare una mambo ya ajabu kweli? Kwahiyo huamini kuwa watu ni unique?

Nikwambie:kila mtu ni wa pekee duniani,ndivyo Mungu alivyotuumba. Au hata elimu ndogo ya DNA kule O'level hukuipata? Mbali na DNA hata accomplishments zetu nazo ni unique sana tu.

Halafu, kama kwa kusema hivyo unaona ni KUKUFURU na DHAMBI; Je, hii ya mtu fulani kutamani kutamani kuwa Mkuu wa Malaika (ilhali yeye ni mwanadamu mdhaifu sana na aliyeumbwa kwa material duni) na hivyo kumpindua Malaika Gabriel/ Jibril unaizungumziaje? Na unadhani Gabriel au Jibril anamchukuliaje huyo mtu?
siyo DNA YA kukariri O' Level ni ya PH.D utakimbia mjadala.
 
Ukikutana na Binadamu / Mtu anamchukia kabisa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere basi jua ya kwamba huyo si tu kwamba atakuwa ni ' Mpumbavu / Popoma ' lakini pia ni lazima tu atakuwa na Matatizo makubwa mno ya Akili ( Fikra ) na huenda hadi muda huu alipaswa / alitakiwa awe ameshawahishwa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili pale Mirembe Mji Mkuu Mkoani Dodoma. R.I.P Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere.
tatizo ni kutoelewa unachosoma. Kama chapisho hilo linamkosoa Nyerere huna maana afadhali utangulie kulazwa mirembe. ndilo tatizo la elimu ya siku hizi haitoi wasomi wenye upembuzi yakinifu. wakati mwingine ni kujiabisha ukirukia mada ambayo wengine wameilewa ila wewe tu!
 
Joseph Matiko Matare ,Nini maoni yako kuhusu mchakato unaoendelea chini ya kanisa Katoliki kumpa Nyerere hadhi ya Utakatifu "Cannonization" ??
 
Niwe nimeielewa au sijaielewa lakini ninachojua tu ni kwamba ' Ujumbe ' wangu ulio ' Kuntu ' kabisa umefika ama iwe ni Kwako au hata kwa ' Mapopoma ' wengine Waandamizi kama ambavyo niliukusudia. Kwa huu Mrejesho wako tu nimesharidhika kuwa ' Message Sent and Delivered ' kwa ' Receiver ' aliyeusoma na ukamgusa.
 
HONGERA KWA KUFIKISHA UJUMBE
 
MWL. NYERERE HAKUWA MUNGU
Kudai kwamba Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote ni ajali kubwa sana kuliko ajali ya M.V Bukoba ziwa Viktoria na Treni kule Dodoma zilizosababisha maafa makubwa katika nchi yetu.Ni ajali kwa sababu kauli hii inaweza kuua kifikira vijana wengi ambao hawaijui historia ya nchi yetu.Hii ni kwa sababu;
  • Binadamu yeyote anafanana na mwingine kwamba wote wanazaliwa, wananyonya, wanakufa na pia wanaweza kufanana kwa mawazo au matendo ndiyo maana watu wanakuwa katika imani moja ya dini na itikadi mbalimbali ambazo zimeundwa na watu wanaofanana katika imani na itikadi hizo.Kauli hii inaukana ubinadamu wa Nyerere na kumweka katika daraja la malaika au Mungu. Nyerere alikataa jambo hil na hata hakutaka kuitwa mtukufu kwani alijua utukufu ni wa Mungu tu. Alipenda aitwe ‘’Ndugu Rais au Mwalimu’’
  • Kusema Nyerere hafanani na mtu yeyote ni kufuru kwa Nyerere mwenyewe na aibu kubwa kwa msemaji.Nyerere katika kitabu chake cha UJAMAA anasema “Hakuna binadamu asiyekosea (No man is infallible)”. Mwaka 1971 aliandika kitabu kidogo kinaitwa TUJISAHIHISHE na wakati anang’atuka urais alisema yeye si malaika na hata malaika mkuu Gabriel angepewa Tanzania kuongoza asingemaliza matatizo yake yote.Hii ina maana alikiri alikuwa na mapungufu kama binadamu yeyote. Hivyo, kusema hawez kufananishwa na mtu mwingine ni dhambi kubwa.
  • Baada ya uhuru mwaka 1961, serikali ya Nyerere mwaka 1965 ilifuta vyama vingi na kuunda katiba ya chama kimoja (mono-party system) na chama cha TANU kikashika hatamu (party- supremacy). Mwalimu Nyerere aliendelea kugombea chaguzi za urais kwa kutumia picha yake na kivuli. Mpiga kura alitakiwa kuweka tiki kwenye picha ya Nyerere au kwenye kivuli. Ndiyo demokrasia mnayotaka Mh. Magufuli afanye ili afanane na Nyerere? Mko tayari mh. Magufuli akifanana na Nyerere katika hilo?
  • Nyerere hakuleta vyama vingi. Vyama vingi vilianza zamani sana katika mataifa ya Ulaya magharibi lakini katika mataifa ya ulaya mashariki vilianza baada kuanguka kwa ukomunisti wa Urusi chini ya utawala wa Mikael Gorvachev na sera zake za ‘’Perestroika na Glassnots. Wimbi hili la kuvunjika kwa ukominist na kutaka mfumo wa vyama vingi lilikuwa kubwa sana kiasi cha kuathiri nchi nyingine. Nyerere alisoma majira akaona asipokubali hapa atalazimishwa na nguvu za nje ikawa ni aibu. Hivyo, akatangulia kusema kuzungumzia vyama vingi si dhambi tena. Nchi nyingine za Afrika ambazo hazikuwa zimeanza kama Kenya na Uganda zililazimishwa na mataifa makubwa kuingia mfumo wa vyama vingi na ilikuwa ni aibu kwao.Katika kupiga kura tuwe na vyama vingi au kimoja katika Tanzania, asilimia themanini (80%) ya watanzania walichagua chama kimoja lakini Nyerere kwa kuona hali halisi wakati huo alishawishi serikali ya Mwinyi ikubali kuwa na vyama vingi na kwa kuwa yeye ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama, serikali ilikubali.Tusipotoshe vijana wetu, tuwafundishe ukweli kuhusu nchi yao.
  • Nyerere alitaka vyama vingi visimpotezee muda wa kujenga taifa akavifuta, Magufuli anataka vyama visiwapotezee muda wananchi ili watumie muda huo kujenga uchumi wetu na amevipa muda wa kufanya siasa na namna ya kufanya siasa hizo.Hapo ni nani afadhali?
  • Matumizi ya vyombo vya dola yapo dunia nzima na kusudi la vyombo vya dola (State apparati) kuzaliwa duniani ni kulinda tabaka tawala (The dominant class) na tabaka tawala ndilo linaamua vifanye nini, wapi, lini na kwa namna gani kulingana na mazingira yaliyopo.Hii hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Karl Marx na Lenin walitabiri kuwa dola zingetoweka duniani(withering away of states) lakini halikutokea. Nyerere alikwisha kusema dola ni chombo cha mabavu ni sheria,polisi,mahakama ,magereza na majeshi. Hivyo usitarajie kubembelezwa na dola unapotishia usalama wake.
Wewe umefanana na Nani?
Ifike mahali uache chuki itakuua. Hakuna binadamu anayefanana na mwingine.
 
Inaelekea kuna waliodai Marehemu Mwl. J.K. Nyerere alikua mungu (Mungu)! Sasa ndio kaanzisha uzi kuwajibu.
Tunaomba atutajie waliosema Nyerere ni Mungu. Na kama ni issue ya ufananisho Biblia inasema Mungu aliumba mtu kwa mfano wake, akasome.
 
HONGERA KWA KUFIKISHA UJUMBE

Na umefika vile vile kama ambavyo niliukusudia na ndiyo maana unaona hata Mlengwa wake anahangaika kila mara Kujibizana na GENTAMYCINE. Kwangu Mimi waseme wote ila siyo hawa wafuatao kwani sitokunyamazia:

Late Mwalimu Julius Nyerere
Late Samora Machel
Late Nelson Mandela
Late David Ben Gurion
Late Edward Sokoine
Late Patrice Emery Lumumba
President Yoweri Museveni
President Paul Kagame
President Dkt. John Magufuli
Premier Benjamin ' BIBI ' Netanyahu
President Vladmir Putin
Former President Benjamin William Mkapa
Musician Jean Bedele Tshituka Mpiana and His Congolese Wenge Musica BCBG Band

Kazi Kwako.
 
Joseph Matiko Matare ,Nini maoni yako kuhusu mchakato unaoendelea chini ya kanisa Katoliki kumpa Nyerere hadhi ya Utakatifu "Cannonization" ??
SAWA! mimi kama mtumishi wa Mungu ninaelewa kwamba Mungu pekee ndiye anayetakasa na ambaye anaweza kutamka mtu ni mtakatifu. mwanadamu hawezi kumtamka mwingine mtakatifu kwa sababu utakatifu ni swala la kiroho na mungu pekee ndiye anajua mambo ya rohoni mwa mtu. sisi binadamu tunachoweza kuelewa juu ya mtu mwingine ni matendo yake yawe mema au mabaya. Nyerere alifanya mambo mazuri mengi ndio maana tunayo kila sababu ya kuheshimu mchango wake na kumuenzi. kwa hili la utakatifu tumwachie mungu na mungu alishamaliza.Biblia inasema mtu akifa tu hukumu(WABRANIA 9:27). Wakatoliki wana imani yao na utaratibu wao nauheshimu sina ugonvi nao.siku ya mwisho kila imani itasogezwa mbele ya mungu kuhukumiwa kama ilikuwa sahihi kulingana na neno lake.
 
Na umefika vile vile kama ambavyo niliukusudia na ndiyo maana unaona hata Mlengwa wake anahangaika kila mara Kujibizana na GENTAMYCINE. Kwangu Mimi waseme wote ila siyo hawa wafuatao kwani sitokunyamazia:

Late Mwalimu Julius Nyerere
Late Samora Machel
Late Nelson Mandela
Late David Ben Gurion
Late Edward Sokoine
Late Patrice Emery Lumumba
President Yoweri Museveni
President Paul Kagame
President Dkt. John Magufuli
Premier Benjamin ' BIBI ' Netanyahu
President Vladmir Putin
Former President Benjamin William Mkapa
Musician Jean Bedele Tshituka Mpiana and His Congolese Wenge Musica BCBG Band

Kazi Kwako.
kama ni hao unaowaheshimu? ugomvi wangu unatoka wapi? nlishaandika juu ya wote hao juu ya mchango wao kwa jamii zao isipokuwa wa mwisho ambaye sijawahi kumsikia
 
MWL. NYERERE HAKUWA MUNGU
Kudai kwamba Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote ni ajali kubwa sana kuliko ajali ya M.V Bukoba ziwa Viktoria na Treni kule Dodoma zilizosababisha maafa makubwa katika nchi yetu.Ni ajali kwa sababu kauli hii inaweza kuua kifikira vijana wengi ambao hawaijui historia ya nchi yetu.Hii ni kwa sababu;
  • Binadamu yeyote anafanana na mwingine kwamba wote wanazaliwa, wananyonya, wanakufa na pia wanaweza kufanana kwa mawazo au matendo ndiyo maana watu wanakuwa katika imani moja ya dini na itikadi mbalimbali ambazo zimeundwa na watu wanaofanana katika imani na itikadi hizo.Kauli hii inaukana ubinadamu wa Nyerere na kumweka katika daraja la malaika au Mungu. Nyerere alikataa jambo hil na hata hakutaka kuitwa mtukufu kwani alijua utukufu ni wa Mungu tu. Alipenda aitwe ‘’Ndugu Rais au Mwalimu’’
  • Kusema Nyerere hafanani na mtu yeyote ni kufuru kwa Nyerere mwenyewe na aibu kubwa kwa msemaji.Nyerere katika kitabu chake cha UJAMAA anasema “Hakuna binadamu asiyekosea (No man is infallible)”. Mwaka 1971 aliandika kitabu kidogo kinaitwa TUJISAHIHISHE na wakati anang’atuka urais alisema yeye si malaika na hata malaika mkuu Gabriel angepewa Tanzania kuongoza asingemaliza matatizo yake yote.Hii ina maana alikiri alikuwa na mapungufu kama binadamu yeyote. Hivyo, kusema hawez kufananishwa na mtu mwingine ni dhambi kubwa.
  • Baada ya uhuru mwaka 1961, serikali ya Nyerere mwaka 1965 ilifuta vyama vingi na kuunda katiba ya chama kimoja (mono-party system) na chama cha TANU kikashika hatamu (party- supremacy). Mwalimu Nyerere aliendelea kugombea chaguzi za urais kwa kutumia picha yake na kivuli. Mpiga kura alitakiwa kuweka tiki kwenye picha ya Nyerere au kwenye kivuli. Ndiyo demokrasia mnayotaka Mh. Magufuli afanye ili afanane na Nyerere? Mko tayari mh. Magufuli akifanana na Nyerere katika hilo?
  • Nyerere hakuleta vyama vingi. Vyama vingi vilianza zamani sana katika mataifa ya Ulaya magharibi lakini katika mataifa ya ulaya mashariki vilianza baada kuanguka kwa ukomunisti wa Urusi chini ya utawala wa Mikael Gorvachev na sera zake za ‘’Perestroika na Glassnots. Wimbi hili la kuvunjika kwa ukominist na kutaka mfumo wa vyama vingi lilikuwa kubwa sana kiasi cha kuathiri nchi nyingine. Nyerere alisoma majira akaona asipokubali hapa atalazimishwa na nguvu za nje ikawa ni aibu. Hivyo, akatangulia kusema kuzungumzia vyama vingi si dhambi tena. Nchi nyingine za Afrika ambazo hazikuwa zimeanza kama Kenya na Uganda zililazimishwa na mataifa makubwa kuingia mfumo wa vyama vingi na ilikuwa ni aibu kwao.Katika kupiga kura tuwe na vyama vingi au kimoja katika Tanzania, asilimia themanini (80%) ya watanzania walichagua chama kimoja lakini Nyerere kwa kuona hali halisi wakati huo alishawishi serikali ya Mwinyi ikubali kuwa na vyama vingi na kwa kuwa yeye ndiye alikuwa mwenyekiti wa chama, serikali ilikubali.Tusipotoshe vijana wetu, tuwafundishe ukweli kuhusu nchi yao.
  • Nyerere alitaka vyama vingi visimpotezee muda wa kujenga taifa akavifuta, Magufuli anataka vyama visiwapotezee muda wananchi ili watumie muda huo kujenga uchumi wetu na amevipa muda wa kufanya siasa na namna ya kufanya siasa hizo.Hapo ni nani afadhali?
  • Matumizi ya vyombo vya dola yapo dunia nzima na kusudi la vyombo vya dola (State apparati) kuzaliwa duniani ni kulinda tabaka tawala (The dominant class) na tabaka tawala ndilo linaamua vifanye nini, wapi, lini na kwa namna gani kulingana na mazingira yaliyopo.Hii hutofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Karl Marx na Lenin walitabiri kuwa dola zingetoweka duniani(withering away of states) lakini halikutokea. Nyerere alikwisha kusema dola ni chombo cha mabavu ni sheria,polisi,mahakama ,magereza na majeshi. Hivyo usitarajie kubembelezwa na dola unapotishia usalama wake.
Niulize tu kama mpita njia kwenye uzi huu - Wewe unamfananisha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK) NA NANI KWA SASA AU HATA KWA MIAKA ISHIRINI ILIYOPITA? Hasa hasa kama UNAMFAHAMU VIZURI JK!
 
Aliyekuambia alikuwa ni Mungu ni nani?
 
Wewe umefanana na Nani?
Ifike mahali uache chuki itakuua. Hakuna binadamu anayefanana na mwingine.
kama umeshindwa kuona jinsi DNA ilitumika kutambua majeruhi wa ajali ya Morogoro kwa kutumia watoto au wazazi. uwelewa wako ni mdogo sana huwezi kunielewa.Tufunge mjadala .
 
Niulize tu kama mpita njia kwenye uzi huu - Wewe unamfananisha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JK) NA NANI KWA SASA AU HATA KWA MIAKA ISHIRINI ILIYOPITA? Hasa hasa kama UNAMFAHAMU VIZURI JK!
samahani nieleweshe vizuri kufanana katika nini kiakili, kisiasa kivitendo, kifalsafa, kizalendo au nini?
 
My point is that we should not consider other people so unique that they become demi-gods. All human beings have got similarities and differences as well strengths and weaknesses including whoever happened to be a leader of this noble country of Tanzania even Magufuli. Read my articles and understand what they stand for otherwise you will end up misjudging me for nothing wrong. THANK YOU FOR ASKING!
Is there anyone who doesn't know differences and similarities that we have? What we consider here is how much differences do we have among us? for positive or negative? How much similarities do we have? For positive or negative? For example, how many Tanzanian have the same similarities like that of Mwl. Nyerere? Joseph Matiko Matare do you?
 
Back
Top Bottom