Mwl. Nyerere aliwahi kutuasa

Mwl. Nyerere aliwahi kutuasa

Soma soma soma

Nisome hewa?

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kama yepi? hatutaki maneno matupu weka ushahidi
 
Mwalimu alisema tuwasikilize wananchi.lakini hakusema tuwape pesa halafu tujidanganye kwamba wanatupenda la hasha.wanapenda pesa lakini si mtu. Kwa hiyo Lowasa hapendwi inapendwa pesa yake.
Wewe umehongwa shingapi.
 
Sisi kwa zama hizi tunaenda beyond huo usia wa baba wa taifa kwa kuhakikisha tunaifuta system yote ya CCM ili kuipata tanzania mpya tunayoitaka.
Tunahitaji mfumo mpya, sio kiongozi mpya pekee.
Tunahitaji kiongozi mpya ndani ya mfumo mpya.
Mfumo wote wa CCM umeoza haufai kukabidhiwa dola tena.
Nyerere alitumia ujasiri wa hali ya juu kuondosha mfumo wa mkoloni, tuenzi ujasiri wa mwl nyerere kwa kuwa wajasiri kuuondosha mfumo wote wa ccm mfumo uliooza na tukabidhi dola kwa mfumo mpya wa UKAWA.
 
alituasa kwamba lpwasa afai ila leo ndo kila! mtu lowasalowasa
shit tucpisikiliza yamkubwa tutavunjika guuuuuuuuu?
 
Baba wa Taifa aliwaasa CCM na hata vyama vingine...MKICHAGUA MTU AMBAYE HAKUBALIKI NA WANANCHI CHAMA KITAKUFA na kitalia machozi ambaye hakuna wa kuyafuta.

Alisema... msidhani mnachagua Katibu wa Chama, jueni kabisa kabisa, mnachagua MTU AMBAYE ANAENDA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI, na kama MLIMTEUA MTU ASIYEKUBALIKA NA WANANCHI chama kitakufa na ndio mtabakia mkilia na Chama mbadala kitachukua utawala...hivyo lazima kabisa Chama kijue WANANCHI kwa wakati husika wanamtaka nani, Sauti ya wananchi ndio jibu la mwisho Chama kumteua nani anapendwa zaidi na wananchi ili agombee Urais.. hapo mtashinda kiurahisi.

Mkileta mizengwe, wananchi wataamua kutafuta mabadiliko ya kiongozi wao nje ya CCM, sababu hamkuwasilikiza.

Na kwa sasa, Lowassa ndie chaguo la wananchi.

Tuone sasa.
 
NAWASHANGAA SANA MASHABIKI WA LOWASA KWA KUJINASIBU NA KWA KUTUMIA MANENO YA BABA WA TAIFA KUMPA KIKI LOWASA,

MCHONGA HAKUMAANISHA ATA KAMA NI FISADI, MWIZI, MLA RUSHWA MAONI HAYO YA NYERERE YAKUBALIKE. PIA ALIONGEZEA KUWA AKUBALIKE NDANI NA NJE YA CHAMA KWANI WAPIGA KURA SI WANACCM PEKE YAO, UYU EDO ANAKUBALIKA NDANI,

MLETENI NJE TUMCHANECHANE TUTAKAVYOTAKa ATA SURA YAKE TUISAWIJISHE MCHANA PEUPE PEE
 
Baba wa Taifa aliwaasa CCM na hata vyama vingine...MKICHAGUA MTU AMBAYE HAKUBALIKI NA WANANCHI CHAMA KITAKUFA na kitalia machozi ambaye hakuna wa kuyafuta...!!!!

Alisema... msidhani mnachagua Katibu wa Chama, jueni kabisa kabisa, mnachagua MTU AMBAYE ANAENDA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI, na kama MLIMTEUA MTU ASIYEKUBALIKA NA WANANCHI chama kitakufa na ndio mtabakia mkilia na Chama mbadala kitachukua utawala...hivyo lazima kabisa Chama kijue WANANCHI kwa wakati husika wanamtaka nani, Sauti ya wananchi ndio jibu la mwisho Chama kumteua nani anapendwa zaidi na wananchi ili agombee Urais.. hapo mtashinda kiurahisi...!!!!

Mkileta mizengwe, wananchi wataamua kutafuta mabadiliko ya kiongozi wao nje ya CCM...sbb hamkuwasilikiza...!!!

Na kwa sasa, Lowassa ndie chaguo la wananchi...!!!! Tuone sasa...!!!

Hiyo hotuba ya nyerere, wafuasi wa EL, Ndio mnapotosha, juzi kuna mtu hivyo alikuwa anaitumia kudanganya watu, ikabidi nimuulize maswali mawili tu, hakuweza kunijibu, hadi sasa hatuelewani!! kwani hakumanisha kuwa hata awe mwizi na anakubalika kwa wananchi kwa kutumia pesa zake ili watu wamuone ndio anafaa!! Huyo EL bila pesa hakuna, EL, eti chama kitakufa mnamtisha nani sasa?? ccm wameshasema hawatamteua mtu kwa shinikizo la watu habari ndio hiyo. Na kama kuna eti mgombea mmoja anasema lazima awe basi pasingekuwa na mchakato huu., nape huyo, nyie muoneni pompoma tu ila ana maana yake.
 
Hawakujiandaa kushindwa ndicho kinschowagarimu sasa hivi
Pamoja na mwenyekiti kuvurunda maeneo mengi lakini wanaccm watamkumbuka kwa kuwapa tahadhari mapema 'kujianda kisaikolojia' na kuachana na ndoto za 'magoli ya mikono'.

Baba wa Taifa aliwaasa CCM na hata vyama vingine...MKICHAGUA MTU AMBAYE HAKUBALIKI NA WANANCHI CHAMA KITAKUFA na kitalia machozi ambaye hakuna wa kuyafuta...!!!!

Alisema... msidhani mnachagua Katibu wa Chama, jueni kabisa kabisa, mnachagua MTU AMBAYE ANAENDA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI, na kama MLIMTEUA MTU ASIYEKUBALIKA NA WANANCHI chama kitakufa na ndio mtabakia mkilia na Chama mbadala kitachukua utawala...hivyo lazima kabisa Chama kijue WANANCHI kwa wakati husika wanamtaka nani, Sauti ya wananchi ndio jibu la mwisho Chama kumteua nani anapendwa zaidi na wananchi ili agombee Urais.. hapo mtashinda kiurahisi...!!!!

Mkileta mizengwe, wananchi wataamua kutafuta mabadiliko ya kiongozi wao nje ya CCM...sbb hamkuwasilikiza...!!!

Na kwa sasa, Lowassa ndie chaguo la wananchi...!!!! Tuone sasa...!!!

Cha msingi tufahamishwe njia gani ya kukusanya maoni ya wananchi imefanyika au ndio hisia tu.
 
Baba wa Taifa aliwaasa CCM na hata vyama vingine...MKICHAGUA MTU AMBAYE HAKUBALIKI NA WANANCHI CHAMA KITAKUFA na kitalia machozi ambaye hakuna wa kuyafuta...!!!!

Alisema... msidhani mnachagua Katibu wa Chama, jueni kabisa kabisa, mnachagua MTU AMBAYE ANAENDA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI, na kama MLIMTEUA MTU ASIYEKUBALIKA NA WANANCHI chama kitakufa na ndio mtabakia mkilia na Chama mbadala kitachukua utawala...hivyo lazima kabisa Chama kijue WANANCHI kwa wakati husika wanamtaka nani, Sauti ya wananchi ndio jibu la mwisho Chama kumteua nani anapendwa zaidi na wananchi ili agombee Urais.. hapo mtashinda kiurahisi...!!!!

Mkileta mizengwe, wananchi wataamua kutafuta mabadiliko ya kiongozi wao nje ya CCM...sbb hamkuwasilikiza...!!!

Na kwa sasa, Lowassa ndie chaguo la wananchi...!!!! Tuone sasa...!!!

Mkuu hizi uzi umeziona?

1. https://www.jamiiforums.com/uchaguz...a-makamba-na-ngereja-sio-wagombea-halali.html

2. https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-wa-mchungaji-mtikila-kwa-edward-lowassa.html

Nyerere naye alisemaje kuhusu haya?
 
Wewe mleta mada, unafikiri watanzania wamesahau zile pesa alizoiba.....?

Pesa ambazo anatumia kwenye Kampeni yake ya kujisafisha na kudanganya akili za watanzania..?

🙅
 
Lowassa ni fisadi na ushaidi wa mazingira unaosha wazi.
 
Kumbe tulikuwa tunashindana?

Naam, mimi nilikuwa nashindana kuwa hayo yaliyoandikwa kuwa Nyerere kayaasa yeye mwenyewe hajawahi kuyafanya.

Inamaanisha nini? just a talker, no more. Like you.

Ulivyokuwa unajibu ulifikiri kuna mdundiko hapa?
 
naomba kuuliza, miaka ya nyuma palikuwa na vazi fulani likiitwa "Baibui" hivi lile vazi lilikuwa ni kipande kimoja tu au vipande viwili gauni na kilemba, au vipande vitatu, sketi, blauzi na Kilemba?
siku hizi silioni kabisa
 
Back
Top Bottom