Yeye lini alitowa fursa ya maoni ya wananchi?
Hakuwapa nafasi watu kama Faiza.
Yeye lini alitowa fursa ya maoni ya wananchi?
Hakuwapa nafasi watu kama Faiza.
Hakumpa fursa mtu yeyote yule, hata kushaurika alikuwa hashauriki, uliza waliokuwepo wakati huo mpaka akabandikwa jina "Aambiliki" kisirisiri, maana akikujuwa tu unapotea.