OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Haya ni maneno ha mwl nyerere. Mwaka 1995.
"ni vizuri wakasikiliza wananchi wanasemaje.msidhani kwamba tutashinda bila kuwasikiliza wananchi. Hamteui katibu wa chama bali rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa hiyo ni vizuri kusikiliza maoni ya wananchi. Chama kitakachopuuza maoni ya wananchi kitahangaika kufuta machozi na hakitopata wa kukisaidia kuyafuta kamwe.
Kama wote ni sawa ila wananchi wanampenda mmoja kuliko mwingine basi huyo wanayempenda ni anayefaa zaidi."