Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Mwizi wa gari akamatwa Kimara

Aaron Ramsey

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
44
Reaction score
6
Mmoja wa Wezi wa Magaari aliyekamatwa maeneo ya Kimara Stop Over usiku wa kuamikia leo. Wenzie walikimbia yeye kanasa, Gari wanayotumia kufanyia uhalifu ni RAV4 T 423 DAA rangi ya Silver/ White.

Hiyo Gari inatuhumiwa kuhusika na tukio la WIZI wa Gari aina ya NOAH maeneo ya Rift Valley Kimara juzi Jumamosi.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 1421047878351.jpg
    1421047878351.jpg
    59.9 KB · Views: 7,058
  • 1421047899079.jpg
    1421047899079.jpg
    21.4 KB · Views: 6,955
  • 1421048388996.jpg
    1421048388996.jpg
    46.4 KB · Views: 6,933
Mkuu mbona kama kafa tayari inakuaje hapo?
 
Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?
 
Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.
 
Bwana nyuki alishatoa amri wapigwe tu ndo mana wananchi wanajichukulia sheria mkononi
 
...Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?...

Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?...

WEZI WA BIL 306 WAO SAFI hawa waganga njaa wa vigari KUWAUWA
hamjawahi kuibiwa nyie...wakiingia ndani huwa hawasubiri mahakama ithibitishe kama wewe ndo mmiliki wa mali...wanakushughurikia tu!!na wawaue sana...ningekuwepo ningeshiriki!
 
Kwahiyo amejob hundred au ame dead?,kwa kweli hawa jamaa wanastahili kipotezwa,anaewatetea hawa bado hayajamkuta..
 
Ninalaani kitendo cha kumuua mtu wakati mmemkamata na hana uwezo wowote wa kuwadhuru.

Hivi ni mahakama gani imemhukumu kuwa ni mwizi?

Na hao waliomuua, wanauhakika gani kwamba kukutwa kwake hata kama yuko na wezi naye ni mwiiz?

Mara ngapi watu wanakodishwa na watu kuwasaidia usafiri ukizingatia hali ngumu ya maisha?

Mara ngapi watu wanapewa lift halafu mtoa lift anasema, anapitia sehemu anashguhuli kabla ya kuendelea na safari?

Acheni kabisa kumwaga damu za watu hivyo. Mnatengeneza laana kwa mikono yenu.

Ninyi mnadani kwa nini wenziye walikimbia yeye akabaki?

Mtasema nini juu ya damu yake huyu mtu, ikiwa alibaki kwa kuwa hakuwa akifahamu mpango wa hao wengine?

Damu za watu wasioa na hatia zitalia juu ya ardhi ya Tanzania na nchi italaaniwa.

Ninawambea watoto wenu ninyi mliomuua mtu bila kuhukumiwa wala kupewa nafasi ya kusikilizwa, kwamba gadhabu ya Mungu isije kuwaka juu yao.

Nanyi watanzania mnaofurahia mauaji ya watu bila trials, naomba muungame nia hizo ovu mbele za Mungu. La sivyo, msije mkashangaa mabalaa yatakayowaandama kuanzia sasa. Amani itakuwa mbali nanyi.

Mungu hapendi umwagaji damu za watu kwa kuwa damu ni uhai na uhai unatoka kwa Mungu pekee.

Acheni kabisa dhambi na ukatili huo.

Naomba Mungu kwa ajili ya mimi na uzao wangu, pamoja na watu wote wanaochukia uovu huu, na wanaotubu na kuacha Mungu awarehemu, ili atakapoipiga nchi kwa gadhabu yake,, sisi aturehemu. Tusiwe na sehemu katika mapigo hayo.

huu ustaarabu ndio ulifanya watu tuwakimbie panya road na watu wa DSM tukadharaulika na wote kuitwa wanawake
 
hivi hiz gari zinazokamatwa kwa uhalifu na kutelekezwa zinapelekwa wap mwisho wa siku?
 
Kama police wangekuwa wanafanya kazi kwa umakini wezi wasingekuwa wanauawa
 
Watu wanajua sheriiiiia, na vitisho juu: oooh! someni, sijui nini na nini..... blaaa blaaa tu. kama nyie mnaijua sheria si mngeshawashtaki waliopata mgao wa ESCROW. Shughulikieni mambo makubwa sio kuleta u- bush lawyer hapa.
 
Kama ni kuibiwa na hata kuvamiwa na kuumizwa na majambazi hayo yote nimepitia,lakini suala la kuua mtu siwezi afiki kamwe.Kweli tunatofautiana sana kama unaweza kufurahia kuua mtu kwa uvumi tu,wewe unamatatizo makubwa.
 
Alihukumiwa mahakama gani? Je unajua kuwa kweli yeye alihusika? Je kama gari ni la kwake aliazimwa na wahalifu wamekwenda kulifanyia uhalifu?

Ivi Watanganyika watapata lini elimu, nani kawaroga nyinyi? Hebu someni kama hukuwahi kusoma shule japo vitabu vya dini.

Dini ipi imesema Mwizi auliwe sisi waislamu dini yetu inasema mwizi akatwe mkono anaposibitiswa mkono wa kulia na akiendelea wa kushoto je hapo ataweza kuiba tena?

Tusiwe wepesi wa kutoa roho za watu kwa mambo mepesi nchii hii itapata lana kubwa na majanga hayaishi, mbona mmeshaua sana lakini bado watu wanaiba?

Ni Nani Aliwaagiza Mwizi Akatwe Mkono? Ni Mungu Huyu Huyu Au Mnaye mungu wenu?maana Mungu Ninayemjua Mimi Kupitia Imani Si Katili Kiasi Cha Kuagiza Mtu Akatwe Mikono,mzinifu Auawe Kwa Mawe,dini Yenu Bila Kuficha Ni Ya Shetani Kabisa,ila Kwa Ujinga Wenu Hamjui,ni Bora Nikawa Mpagan Kama Kiranga Kuliko Kuwa Muislam,shetani Aue Na Atese,eti Na Mungu Naye Atende Kama Shetani,what A Nonsense Religion???
 
Back
Top Bottom