Mwizi wa BAJAJI na wenye hasira zao kali

Mselema

Member
Sep 23, 2012
14
1
hatima ya mwizi wa Bajaji dsm
 

Attachments

  • DSCI1223.JPG
    DSCI1223.JPG
    29.6 KB · Views: 334
  • DSCI1224.JPG
    DSCI1224.JPG
    22.6 KB · Views: 353
  • DSCI1227.JPG
    DSCI1227.JPG
    27.8 KB · Views: 771
  • DSCI1232.JPG
    DSCI1232.JPG
    25.3 KB · Views: 843
  • DSCI1252.JPG
    DSCI1252.JPG
    26 KB · Views: 763
hivi mnafikiri kuuana wenyewe kwa wenyewe ni suluhisho?halafu utakuta watu wengine wanakuta watu wanapiga mwizi na wao wanaingilia kumwua mwizi,nchi hii bana bado sana,mafisadi wanaondoka na mihela yenu nyie mnahangaika na wezi wa simu?
 
Kuchukua sheria mkononi ni kosaa,raia inabidi tutii sheria,kipigo alichopata ni zaidi ya bajaji.
 
Ukiona watanzania wanajichukulia sheria mokononi ujue kuna tatizo la kiutawala katika eneo husika,hapa inaonesha wazi kuwa hata kama wangempeleka polisi ni sawa na kazi bure maana mpaka haki ije kupatikana huchukua muda mrefu na hata wakati mwingine wezi kama hawa tunakutana nao tena mitaani baada ya kuwa wamefanya wizi wao.
 
Mtu anaiba kuku tunampondaponda kiasi hiki, lakini wale wanaoiba vijisenti vyetu na kuvihifadhi uswis tunawatukuza na kuwapa heshima zote katika taifa. Kweli inasikitisha sana.
 
Mtu anaiba kuku tunampondaponda kiasi hiki, lakini wale wanaoiba vijisenti vyetu na kuvihifadhi uswis tunawatukuza na kuwapa heshima zote katika taifa. Kweli inasikitisha sana.

Taifa lililo jaa wanafiki.....
 
attachment.php



attachment.php



attachment.php


This is too bad! ... binadamu wanapokuwa hawathamini UHAI wa MTU! ... ipo wapi haki ya mtu ya Kuishi?! ...

Jambazi anaua ... (that's too bad) ... mbaya zaidi na Raia nao wanaua! ...

Hivi ... Je! mfano ukikuta kasingiziwa ... au labda hajaiba .... ni nani wa kubeba lawama za maisha ya mtu huyu? ... hata kama kaiba!

Ipo wapi haki ya mtu ya Kuishi?! ...
.


 
mara ukute hakuiba, yalitoke makosa kwa aliye dai kuibiwa, walio ua watajisikiaje!!!
 
hatima ya mwizi wa Bajaji dsm
Mkuu kinachonisikitisha mimi ni kwamba mambo haya yanafanyika wakati watoto wanaona, na picha moja hapo inaonyesha kijana akiwa na sare ya shule nae anampiga huyo 'anayetuhumiwa'.
Nakumbuka kama miaka mi3 iliyopita kuna kijana(pichani) alituhumiwa kuiba pikipiki, kumbe si kweli. Kilichotokea ni kwamba, yeye alipeleka pikipiki yake kwa fundi pikipiki na alipokuwa na shida fundi akamuazima pikipiki ili akafanye mambo yake then akirudi ya kwake itakuwa imesharekebishwa. Kuna kijana mwingine anaijua hyo piki2 ya fundi, alipoona huyo jamaa anaendesha na hamjui basi akampigia mayowe ya mwizi wa pikipiki. na kwa sababu wengi waliishaibiwa pikipiki zao, hawakuhoji wala nini wakaanza kumpiga huyo kijana na hatima yake ndio kama unavoona katika hii picha hapa chini.Toka wakati huo, napata hofu sana ninapoona watu wanatoa hukumu kama hizi.

21082010(002).jpg
 
Kuna umuhimu mkubwa sana wananchi waelimishwe na kuonywa juu ya uchukuaji wa sheria mikononi. Ni kweli kwamba wezi wanakera sana na majambazi wanatisha hasaaa! Lakini kumponda ponda binadamu kama nyoka ni ukatili uliopitiliza. Hata wale wanaopewa hukumu ya kifo hawauawi kikatili kiasi hicho.
 
Me sijapenda hiyo kitu wallah its too bad...imenihuzinisha kweli even if ni mwizi but hakustahiki kupewa mateso kama hayo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom