Mwizi atoka nduki baada ya kukuta Supprise!

Mwizi atoka nduki baada ya kukuta Supprise!

Iana

Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
47
Reaction score
3
Mtaani kwetu kuna wezi balaa! Mara kwa mara wamekuwa wakijaribu kufungua mlango wa nyumba yangu usiku wa manane bila mafanikio. Siku moja nilirudi home usiku nikiwa nimechoka mno. Bahati mbaya nikasahau kufunga kulock mlango wangu. Kuamka asubuhi nikakuta mlango wazi lakini hakuna kitu kilichoibiwa! Inaelekea mshikaji a.k.a mwizi alikuja kama kawa ila akapigwa butwaa na mlango ulioachwa wazi alafu kimyaaa.....sasa angeingia ndani aibe?
 
Huyo hakuwa mwizi, mwizi wa ukweli angeinga na kuiba
 
Leo tunakuja boss... Haikuwa zamu yako jana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom