Mwizi aliyetajwa na Magufuli kuiba milioni saba kwa dakika asomewa mashtaka 199

Usishangae akipangua mashtaka hayo yote 199
Binafsi siwaamini hao mawakili wa serikali waliopangiwa kesi hii. Wawili kati yao wanatoka katika lile kabila linalosifika kwa kupenda pesa na uwizi. Ni rahisi sana kuhongwa hao.
 
Siku zote huwa sisiti kusema hili jambo "nchi hii tukiwaamini na kuzitumia taarifa sahihi za vijana wa Usalama wa Taifa tuaifikisha mbali".

Tuna kila sababu ya kujali umuhimu wa hii taasisi katika kuwabaini washenzi wote katika nchi hii.

Kudos wahusika.
 
kweli
 
Majaji na watendaji wanasoma kozi malaum Lushoto mwezi mzima!!! ...labda baadae wanaweza kuwahamishia huko!! Ila wameisha aiseee makosa yote hayo watawakosa kweli?? Sidhani!! Na hamna dhamana walahi watazeeka!!!! Uhujumu uchumi ni noma isikie tu
Nilitarajia kesi hii ingepelekwa Mahakama ya Ufisadi iloanzishwa majuzi na serikali ya Mzee Pombe. Nilitarajia hivyo kwa sababu inagusa kwa sehemu KUBWA wstumishi na watendaji wa serikali - TRA na Wizara. Imekuwaje kesi rahisi ya kusikiluzwa na Makama ya chini kama Kisutu!!!???
 
Sanaa zimeanza kwa hiyo kesi za mafisadi zimeanza kusikilizwa kisutu, hiyo mahakama ya mafisadi itafanya kazi gani sasa
Hivi mahakama ya mafisadi itakuwa na rumande zake tofauti huku mtaani wanasema watu wajitayarishe na makarai badala ya ndoo au debe!!!
 
Kesi za tanzania zilivo za kipuuz cjui kama jamhuri itashinda..
Naomba kujua kilichojiri kwenye kesi ya KASUSURA..
n:b kipindi hicho ckua interested na magazeti
 
Nilitarajia kesi hii ingepelekwa Mahakama ya Ufisadi iloanzishwa majuzi na serikali ya Mzee Pombe. Nilitarajia hivyo kwa sababu inagusa kwa sehemu KUBWA wstumishi na watendaji wa serikali - TRA na Wizara. Imekuwaje kesi rahisi ya kusikiluzwa na Makama ya chini kama Kisutu!!!???
.....Wana taka iishie Kilugumi-lugumi...(ama Kama ile Meli ya KICHINA ndani ya Bahari Kuu).

Ataonekana HANA HATIA katika MAKOSA YOOOTE 119.
Watasema prosija hajiza fwatwa.. Inauma sana kuona gharama kubwa kuendesha kesi ambayo "Ushahidi uko RED HENDED" lakini "Mtuhumiwa" anasevu...
 
Kesi zote zinaanziaga mahakama ya Kisutu na kuhamishiwa mahakama za juu. Wakipelekwa Kisutu wanakatazwa kujibu mashtaka kwa kuwa mahakama haina uwezo wa kusikiliza kesi husika.
Huko ni kupoteza muda na matumizi mabaya ya fedha za serikali,kama wanajua kabisa tangia hawali mahakama ya kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi za uhujumu uchumi kwanini waipeleke pale? kwanini wasingeipeleka moja kwa moja mahakama kuu kipunguza mlolongo?
 
Back
Top Bottom