KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 698
Sheria inatambua ukubwa wa kosa ndugu yangu ndo maana kuna makosa huwezi kupewa hata dhamana. Makosa yote jinai ila yanatofautiana. Hata mtoa taarifa ana mazingira.
Sasa kwa hili aliyeibiwa si Mengi, ni mtaa mzima! Na mwizi si mwizi wa shati au kibaka, ni aliyezungusha fensi mtaa mzima. Na kwa muktadha huo huo walio wengi hawajui kinachoendelea. Mengi anajua na ana ushahidi. Kupaaza sauti na kusema kuwa tumeibiwa ni njia sahihi ya kuwatambulisha walio mamlakani au jamhuri kuchukua hatua. Amepaaza sauti na amesema, je polisi wamesikia au hawakusikia??
Ndugu yangu Pundamilia tuangalie logic ... si misimamo.