Akitangazwa mshindi nayo mbinu bwashee! Inasikitisha watu kuingia katika kinyanganyilo ukijua utashindwa. Wanaojitambua kama mtoto wa Lowassa hawjiaibishi.Mbinu sawa, lakini ni za kupigiwa kura, sio kutangazwa umeshinda, wakati kura zako ni chache.
Naona umevurugwa kabisa Kama ccm wanatumia polisi Kwa hiyo unatamani upinzani watumie interahamwe si ndiyo!?Uchaguzi ni mpambano na kila mtu au chama kinatafuta mbinu za kushinda! Ukishindwa mbinu utashindwa uchaguzi na mwisho wa yote usilalame! Nakuelezaga kila siku kuwa unatakiwa kuwa mature
Ukonga ni mbeya ya DarNITAWASHANGAA SANA WATOTO WA MJINI, WA UKONGA, WAKITURUDISHIA MSALITI BUNGENI!
Sasa unadhan watoto wa ukonga ndo watakao mchagua mbunge.wabunge wa sasa hivi wanachaguliwa na WIFIUkonga ni mbeya ya Dar
Nani kasema hivyo?Naona umevurugwa kabisa Kama ccm wanatumia polisi Kwa hiyo unatamani upinzani watumie interahamwe si ndiyo!?
KISURA, subiri utamjuaMkuu ni mwanamke gani alieteuliwa na chadema kugombea hilo jimbo?
hizo zinazotumiwa na ccm si mbinu bali ni ubakaji wa kishamba wa Demokrasia , ni bahati mbaya sana kwamba USA imestuka , muda wenu unahesabikaUchaguzi ni mpambano na kila mtu au chama kinatafuta mbinu za kushinda! Ukishindwa mbinu utashindwa uchaguzi na mwisho wa yote usilalame! Nakuelezaga kila siku kuwa unatakiwa kuwa mature
Maria Sarungi.Mkuu ni mwanamke gani alieteuliwa na chadema kugombea hilo jimbo?
Libya Makamanda wote wa jeshi na polisi waliohusika na mauaji ya raia wakati wa Ghadaf wamehukumiwa kunyongwa , walitenda uhalifu huu miaka 7 tu iliyopitaNani kasema hivyo?
Kila zama na masahibu yakeLibya Makamanda wote wa jeshi na polisi waliohusika na mauaji ya raia wakati wa Ghadaf wamehukumiwa kunyongwa , walitenda uhalifu huu miaka 7 tu iliyopita
Hili jamaa lenye kichwa kama korosho silipendi kama nini shithole limelaaniwa, eti mshahara nakupa mm, gari mimi halafu unatangaza ameshinda mpinzani, kweli?Mh alishawambia wakurugenzi kuwa gari ya ccm, mshahara ccm alafu unatangaza mshindi upinzani iiiih ujipendi
Mbunge wa Buyungu ni nani kamanda!?Bila polisi wenye silaha za kivita ccm ni wepesi kuliko pamba , Chiza kaangushwa kwenye kata 12 kati ya 13 lakini ffu 400 wenye makombora wakahakikisha anatangazwa , hata aibu huna mjomba ?
Anaitwa Kamanda Asia MsangiMkuu ni mwanamke gani alieteuliwa na chadema kugombea hilo jimbo?
Mbunge wa wananchi anaitwa Elia , bali kikongwe Chiza ni mbunge wa PolisiMbunge wa Buyungu ni nani kamanda!?