Hapo kwenye red vipi wakati unaandika sumu ilikuwa imedondoka kutoka mfukoni mwako ukawa unaiokota ili wasikuone?!
Jahazi linazama jipangeni upya. Namheshimu sana mzee Mengi asinge andika uwongo.
Samahani nimesha edit. Rekebisha na wewe hapo penye sumU WABHEJASANA
Dude, Please !!!!
Is this the best you can do ? You guys.....!
Kama wewe unajua imechakachuliwa, lete ya kwako ambayo haijachakachuliwa tuione.
Jenga hoja kwa evidence na siyo mihemko ya kibavicha.
Hizi kelele unazopiga ni kelele za debe tupu. Huoni huyo aliyeleta uwongo kuhusiana na hili swala ameamua kufunga thread yake haraka na kuukimbia uongo wake.
- Mzee Mengi kwenye hili alichemka maana hata gazeti lake Nipashe halikukubali uongo huu wa gazeti la Mtanzania ambao baadaye wao wenyewe wameomba radhi kwamba sio kweli, kurusha rusha Majina kama kina Mengi ni dalili za kukosa hoja.
Le Mutuz
Gazeti la Mtanzania na Mwananchi yaliripoti habari hii kama ulivyorekodiwa,
Je ni lini yaliwahi kuandika habari ya kuikanusha habari hiyo?
Video ipo uliyozunguza zaidi ya dakika 15, na tayari 98% ya wazee waishio mijini washaona, sasa wewe unaamini umei edit na umeruka kiunzi?
Wale vijana uliowatuma wafuatilie video kwa waandishi wa habari na wawalipe pesa ili wasirushe hewani wamekuingiza mjini, wamekula 20m zenu tu,
Wamekupa copy, original tunayo na
Sisi tutaendelea kuwaonyesha wazee wote nchini kile ulichoongea siku ile mbele ya wanahabari wa nchi hii,
- HA! ha! ha! My Super Brother Ben, nilikwambia hizi siasa za majitaka kwa kijana mdogo kama wewe mwenye bright political future, sio sawa kwako wanaokutuma ni marafiki sana wa hawa wanaokutuma uwachafue, wanakuponza bure mkuu wangu shituka japo kidogo before it is too late!!
- NI USHAURI WA BURE TU KWAKO!!, KWA SABABU HATA UKIFIKIA NAFASI YA KUWA MKUBWA HUKO CHADEMA BADO UNAHITAJI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, KAMA WALIVYO VIONGOZI WAKO WA JUU USIWAONE HIVYO NA KUJIFANYA VIBURI MWISHO WA SIKU NI MARAFIKI WA KARIBU SANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, AMKA KIJANA MDOGO!!
LE MUTUZ
Zako/Zenu mnazoleta huwa ni Original?!Hizi ni fikra zinazoongozwa na watembea na sumu mifukoni kwa ajili ya kuteketezan wenzao.
Haiwezekani kwenye mkutano mtu akazungumza within 11 minutes, hii video imechakachuliwa.
Kingine kinachonyesha video hii imechakachuliwa haijaanzia mwanzo wala haina mwisho ina maana mtu anaanza tuu kuongea from no where hakuna hata kuwasalimia wananchi hakuna?
Halafu unamaliza kuongea hata hakuna kuwashukuru wananchi? uongo mwingine mjipange kabla ya kupost
Na mwisho uombe msamaha kwa kuandika jina la mtu kwa kejeli
Pamefanyaje hapo kwenye (sumu) au we Mkimbizi hata hujui kiswahili?! kwa sababu naona unachanganya herufi ndogo na kubwa,vipi we Mdada lakini?!!!
- HA! ha! ha! My Super Brother Ben, nilikwambia hizi siasa za majitaka kwa kijana mdogo kama wewe mwenye bright political future, sio sawa kwako wanaokutuma ni marafiki sana wa hawa wanaokutuma uwachafue, wanakuponza bure mkuu wangu shituka japo kidogo before it is too late!!
- NI USHAURI WA BURE TU KWAKO!!, KWA SABABU HATA UKIFIKIA NAFASI YA KUWA MKUBWA HUKO CHADEMA BADO UNAHITAJI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, KAMA WALIVYO VIONGOZI WAKO WA JUU USIWAONE HIVYO NA KUJIFANYA VIBURI MWISHO WA SIKU NI MARAFIKI WA KARIBU SANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, AMKA KIJANA MDOGO!!
LE MUTUZ
- Yaani this is the best of JF, yaani FACTS zunawekwa hapa wananchi wanapewa mchele na pumba ahsante sana Katibu wa Uenezi wa Chama changu this is just super!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPUNDUZI!!
Le Mutuz
- Mzee Mengi kwenye hili alichemka maana hata gazeti lake Nipashe halikukubali uongo huu wa gazeti la Mtanzania ambao baadaye wao wenyewe wameomba radhi kwamba sio kweli, kurusha rusha Majina kama kina Mengi ni dalili za kukosa hoja.
Le Mutuz
Ha ha ha ha ina maana huyu nae atakata moto?Huyu babu naye vipi?
Kwa mujibu wa Nape Nnauye kwa umri wako na wewe unasubiri kufa.
Kweli Nape alitusi watu wengi sana!