...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

@w.j.malecela njoo huku ujaribu kuokoa jahazi
Kesi ya Nyani unampelekea Tumbili kwani huyu na Nape wana tofauti gani? Type ya akina Lusinde wao wanatoa matusi kama nyoka anavyorusha mate, hakuna aliye afadhali hapo
 
Nape Nnauye kumshinda Ben kwenye hoja itakua muujiza.Tofauti ni kuwa Ben anajenga hoja kisomi na anashawishi hata unayempinga ila mwenzake Nape na akina W.Malecela wamebobea kwenye mipasho ambako Ben pia anamudu.Nilicheka sana jasho lilivyomtoka huyu mtoto wa mzee Malecela.Alipewa za uso hadi akapoteza network akaishia kumtukana kada Mwenzake Mchambuzi ambaye kimsingi katika ujenzi wa hoja amewaacha maccm wenzake mbali.Nilipenda jinsi Ben alivyomgeuzia Wilium Kibao kuwa kauli ya Nape inamlenga Yeye maana ana miaka zaidi ya 50 na pia inamlenga Mzee Malecela(ex Pm) .Jamaa alikumbwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ghafla.Sasa leo naona Nape anapewa za uso baada ya kujitahidi kuokoa jahazi usiku kucha.Idd itakua mbaya sana kwake maana ameambiwa kwamba uongo ni asili yake kwani hata alipoanza kutoa majibu tu amezusha tuhuma ambazo hana data nazo kuwa Ben anatumwa.Bila kupoteza ajizi kauli hiyo ikatumika kuthibitisha tuhuma dhidi yake.Inahitaji uwezo mkubwa wa debate kumshinda kamanda Ben
 
Last edited by a moderator:
@w.j.malecela njoo huku ujaribu kuokoa jahazi

Bwahahahaha !!!

Lemutuz haumtakii mema maana jana alijifunga kibwebwe Kamanda Ben akampa za uso hadi akapoteza network umwambie arudi hapa?Nape alipoona Le Mutuz amepoteza mwelekeo akasubiri hadi usiku wa manane akaweka clip baada ya Le Mutuz kumsaidia kule kwenye blog.Asubuhi ngoma imerudi pale pale mjomba.Nyongo itawatoka hawa magamba leo
 
Nape nawewe unakuja na madudu ya video za Mwigulu za ku edit?

Unataka tuilete hapa video nzima ya ulichoongea siku ile?

Jambo baya zaidi kwako nikuwa HOJA ya Ben Saanane haikuishia kwenye kauli yako kwa wazee tu,

Iligusa mambo mengi ya husuyo wewe na siasa za nchi hii, mbona unajaribu kujibu moja tu tena sio kujibu bali kujivua nguo zaidi?
 
Nape nawewe unakuja na madudu ya video za Mwigulu za ku edit?

Unataka tuilete hapa video nzima ya ulichoongea siku ile?

Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!
 
Mbona ile ya soweto nyie hamuileti au munaiedit au ni kwa ajili ya "SYMPATHY VOTE" 2015?
 

umenena mkuu..nape ame tudharau wana jamvi, ame weka video ya kuchakachua...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha

Imekula kwako kudadek. Kwa bahati nzuri Ben ametoa mlolongo wa kauli zako na pia nyingine kuwa wanaopinga serikali mbili hawana akili timamu.Na pia Ben ametumia kauli ya kijanja kwa kusema 'Kama Kweli nape alisema......'

Sasa wewe si uweke video nzima?Security guard ni nani ......!
 

Mkuu wenye macho na masikio tumesikia na kuelewa zaidi ya hapo hawa watu watakupotezea muda wako bure
 

Huna Lolote wewe.

Huna uwezo wowote wa kupambana kwa Hoja na Ben Saanane sanasana atakuvua nguo zaidi na uapoteza kabisa dira.

Kwa ushauri zaidi siku nyingine ukiona hoja ya Ben kimbia mbio futi 100.

BTW,Ulikuwa una maana gani kusema wale wazee tunaowaheshimu sana kwenye tme ya Katiba wanasubiri kufa? Nimeamini ulevi wa madaraka ni kitu kibaya sana.
 
Last edited by a moderator:

Gazeti la Mtanzania na Mwananchi yaliripoti habari hii kama ulivyorekodiwa,

Je ni lini yaliwahi kuandika habari ya kuikanusha habari hiyo?

Video ipo uliyozunguza zaidi ya dakika 15, na tayari 98% ya wazee waishio mijini washaona, sasa wewe unaamini umei edit na umeruka kiunzi?

Wale vijana uliowatuma wafuatilie video kwa waandishi wa habari na wawalipe pesa ili wasirushe hewani wamekuingiza mjini, wamekula 20m zenu tu,

Wamekupa copy, original tunayo na
Sisi tutaendelea kuwaonyesha wazee wote nchini kile ulichoongea siku ile mbele ya wanahabari wa nchi hii,
 

Acha na hawa mkuu Nape wanaweza kukuharibia siku na hata unaweza kuwatukana bure.angalia Pm yako kaka.Hawa ni mabingwa wa kugeuza maneno na siasa za propaganda chafu
 
Nape kwa kitu kama hichi ulichokipost unazidi kudhihirisha jinsi ulivyokuwa mweupe kichwani kwa suala zima la kumbukumbu,sasa sijui ndio huko CCM mnavyofundishwa kukanusha ukweli mliousema,mwenye busara hukaa chini na kuomba msamaha kwa wale aliowakosea na kuwaudhi.Ili ukweli ujulikane why dont you put here the whole clip from the beginning to the end of your speech?sio kuedit na kutuwekea vitu unavyotaka wewe.

MWENYE BUSARA HUKAA CHINI NA KUFIKIRIA WAPI ALIPOKOSEA AU KUWAKOSEA WATU NA KUAMUA KUWAOMBA MSAMAHA NA SI KUKURUPUKA NA KUKANUSHA ULICHOKISEMA.
 
Nape muogope MuNGu kwa kauli zako zisizo kuwa na maadili!
 
Hii kauli ya huyu nape ya kutaka wazee wafe inawezekana ikawa ni matokeo ya frustration alizokua nazo kwa kutomjua baba yake

Na hata pale alipokua anaing'ang'ania familia ya nnauye, hiyo familia ilimkataa na kujitenga nae. Ushaidi ni lile tangazo la kumbukumbu ya mzee nnauye

Hapa mtapoteza muda kumjadili mtu mwenye frustration
 
Hayo maneno tumesha ya zoea siuiweke hapa au ndio mtaji bwana mdogo dah wadanganyika bwana!

mara tunayo mara rais aunde tume munayo wewe na nani povu linawatoka kwa hoja za kijinga upuuzi mtupu.
 

Ungekuwa hujaelewa kama unavyojitapa usinge ijipu post, lakini inaonesha kuwa "message delivered".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…