Ni kweli Nape Nnauye hata wewe vua Gamba ilikuaibisha na sijui hatima yako Lowassa akiingia
Bila kutumia uongo na ahadi za kitapeli Chadema hawawei kupata wateja
Ben kama kama kuchukuliwa hatua za kinidhamu ungetakiwa kuchukuliwa weweNadhani Nape Nnauye anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kudai tunatumiwa/tunatumwa bila kuja na uthibitisho wowote.Pia kama mnataka hilo litimie Mwambie Nape alete video ambayo imethibitishwa kuwa ni original maana video hii haionyeshi alipoanzia wala alipoishia.Je hiyo video haijawa edited na kukatwa baadhi ya vipande?If you come,come correctly otherwise don't come at all!
Kwa Ben Saanane, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU!
Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!
Yaani kweli kabisa hoja ya Saanane ndo unaijibu na haka kavideo chako ambacho hakana hata punje ya majibu kwa maswali aliyouliza Ben?
Ningekuelewa haraka sana kama ungeweka hoja baada ya hoja kwa yote aliyoainisha Ben.
Inaitwa ukomavu wa kiakili na fikra na nguvu ya hoja hususan kwa mtu kama wewe unaeongea na vijana wengi Tz hii kupitia ofisi uliyopewa.
Jipange. La sivyo utashangaa vijana wadogo zaidi wanapewa kazi yako hiyo ya uenezi hapo mbeleni.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ushahidi kamili ni upi ikiwa hawezi kututhibitishia kuwa video haijawa edited?
Nape kuwa na huruma na wazee wetu usiwaue jamani
.....Naunga mkono kuwa Video ni muendelezo wa uchakachuzi wa Magamba. Kama mliweza kuchakachua mkanda wa Lwakatare mkaonekana hakuna kesi ya ugaidi, mtashindwa hiyo clip ya dakika kadhaa. Hivi katika huo mkutano Nepi alihutubia dakika 11?Kama wewe unajua imechakachuliwa, lete ya kwako ambayo haijachakachuliwa tuione.
Jenga hoja kwa evidence na siyo mihemko ya kibavicha.
Hizi kelele unazopiga ni kelele za debe tupu. Huoni huyo aliyeleta uwongo kuhusiana na hili swala ameamua kufunga thread yake haraka na kuukimbia uongo wake.
Mkuu mshauri Nape Nnauye aweke video yote kuanzia mwanzo.By Ben Saanane
Ushahidi kamili ni upi ikiwa hawezi kututhibitishia kuwa video haijawa edited?
Weka wewe iliyo halisi
Nape haishii tu kumwita Dr. Slaa kibabu kwamba hana faida na asisikilizwe, amenukuliwa "wazee wanaopendekeza serikali 3 wanasumbuliwa na uzee na wanasubiri kufa", 'kama ni wanaccm ni oil chafu'
chanzo:Mawio
My Take:kama ni kweli
nape hana wazazi?
hana heshima na anajitabiria kifo ujanani na kutoufikia uzee